Menu ya leo kwenye hotel za mbugani!!

Chips Swala 2000 naipataje hii@Kakakiiza
Mbona niwewe kusema tuna deliver on door step!!wewe sema!!

sawa darling....na mimi ndio maana nikakuchagua kwa sababu unajua menu za maana.......
Mbona hujawai kuniambia??nina menu tofauti na navionjo pia tofauti!!express ur self mama!!mwaaaaa!

haahaahaahaahaa hii kali aisee! nimecheka hadi mbavu zinauma du! mi naomba huo mchemsho na pilipili ya kutosha
Toa oder ya ukweli na kiasi gani!!

nimependa sana hiyo kwenye bold, niandalie bill please!!
Lakini ni vitu expensive ukumbuke!!simchezo!

Kongosho mzima wewe!! Nifundishe best, unagongaje double like? Lol!
Mimi nifundishe ku tag!

Juicy ya dodoki 300
nipe hiyo mkuu
najua itanifaa kwenye huu uzee.

hiyo bei ni hela ya madafu au ya kwa mzee obama mkuu.
Mkuu hanohano be!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom