menu plan, heeeelp pliiiiz

[h=1]Makange ya kuku [/h]
Mahitaji-kuku 1
-karoti 3
-vitunguu maji vikubwa 2
-vinega/limao/ndimu
-pilipili kiasi
-mafuta ya kukaanga

Jinsi ya Kuandaa
-Kata kata kuku
-kaanga kuku
-weka vinega/limao/ndimu kwenye bakuli katia humo na pili pili
-tia kuku funika bakuli tikisa ichanganyike.
-chukua kikaango katia kitunguu na mwagia wale kuku
-katia karoti na hoho acha zichanganyike kwa dakika 5
-ipua na pakua

tamu eeeh!

Tamuuuuuuu aluuuuuu
 
Cha kukushauri Pika Prawns waliokaangwa na mafuta ya tui la nazi,changanya na maharagwe machanga+rosechilli tia na Royco,hoho,karoti,ngogwe na kandimu kwa mbali bila kusahau kijitui cha nazi.
Baada ya hapo sukuma chapati za maji halafu ule pamoja na huo mchanganyiko wako (hata ugali,wali,pasta,ndiz,viaz,mkate waweza kutumika).
Taste yake iko so mwaaa!!
Waweza shushia na Guava juice ndo mwake.

Je beibe nasty wahtaji kufahamu jinsi ya kuandaa pilipili laini kwa kutumia mbogamboga iliwayo ikiwa ndani ya fridge?
Karibu.

si ndo mana siku ile nikakuambia lile jambo!...unakumbuka?...
that i wanna WIFE you!
 
Last edited by a moderator:
si ndo mana siku ile nikakuambia lile jambo!...unakumbuka?...
that i wanna WIFE you!

jamani BAGAH,
Mbona nishasahau?
Umenipenda kwa ajili ya upishi au?
Hebu nijuze wangu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom