menu plan, heeeelp pliiiiz

beibe nasty

JF-Expert Member
Apr 11, 2012
1,640
523
jaman jaman kichwa kimestuck asubuhi hii nataka pika ila sijui nipike nin pilau mekula jana na upolo upo, maharage juz na samaki kitoga sa sielew tupo mtu tatu mim mama na dogo sijui nipike nin mwenzenu hapa nina mwekundu unga,mchele vipo hebu nambien nipike nini nipo serious utan badae sio sahiii tafadhali hebu nipen ushauri tuuu afu nione ntapika nin.

Morning
 
Ama ugali na kuku wa kuchanganya na mnafu na nazi, then kachumbari kiduchu.

Kuna tambi zile nyembamba kama mchele, kwa nyama ya kusaga. Unapika separate unaweka kwenye chombo (casserole ya glass ndo mwake mwake), tanguliza nyama ya kusaga iliyoungwa, tandazia tambi juu. Kwangua cheese (yoyote), halafu weka kwa oven dakika chache ama palia mkaa.

Uniite basi leo sijafunga
 
Hii meipenda kesho ntapika hii utaniandikia kwa uzuri mahitaji sawa love? Sahii ngoja ntoke kitandan nianze usafi kwanza mana saa zaenda hakuna mfanoo
 
Sasa leo ndo tunapika nini? Sema niandae my stomach isije ikaunguruma kama radi mom akaogopa.

Ninawazo la maini wali wa maua bt it will b jion mchana my young kapropose tule kipolo cha pilau coz chai tutakunywa na vitavunwa
 
Cha kukushauri Pika Prawns waliokaangwa na mafuta ya tui la nazi,changanya na maharagwe machanga+rosechilli tia na Royco,hoho,karoti,ngogwe na kandimu kwa mbali bila kusahau kijitui cha nazi.
Baada ya hapo sukuma chapati za maji halafu ule pamoja na huo mchanganyiko wako (hata ugali,wali,pasta,ndiz,viaz,mkate waweza kutumika).
Taste yake iko so mwaaa!!
Waweza shushia na Guava juice ndo mwake.

Je beibe nasty wahtaji kufahamu jinsi ya kuandaa pilipili laini kwa kutumia mbogamboga iliwayo ikiwa ndani ya fridge?
Karibu.
 
Last edited by a moderator:
Madame B, kumbe we ni mtaalamu kias hiko. hebu nipm email yako niwe nakuja tuishen ya mapishi mara ntokapo jf. . .
 
Last edited by a moderator:
unaweza tengeneza vegetable spaghett na maini ya kukaanga. yan hyo sp unaipika hv. chemsha maji moto sna kisha epua,katakata sp ktk size utakayo dumbukiza ktk yale maji ya moto. zikilainika toa weka pembeni. weka mafuta jikon,tia kitunguu,nyanya.hoho na karot na kama utapenda masala/carry powder waweza weka pia. huo mchanganyo ukiiva unatia zile sp kwa muda mfup tu zinakuwa tayari. thn kaanga maini km kawaida yakiiva mlo wako unakuwa tayar kabisa. usisahau matunda / juice of ur choice! mapish mema
 
Mhhh...hii inanifaa mimi supa bachelor...will try t nkirudi home.
Senkyu charminglady
 
Last edited by a moderator:
Yes Mentor!!!
Kiasi chake c sana.
Haya leo na wife/gf wako mnataka mpike nini niwasaidie?
Ninaweza ku-solve labda.

Walaa..mwenzio nko kwa mama angu wikendi hii...ila monday ntakua kwangu....ntaitajije msaada wako.
Btw av always wanted to make chapati...ila mi mwenyewe sikuamini kama nmesahau.
The other day nlitengeneza za maji (sijui ndo zinaitwa ivo..au za kumimina) nikaziboresha na hoho na vitunguu..they were really swit.
Basically Madame B nataka tu vyakula simpo na vyenye afya for a tired bachelor kama mimi nnaporudi zangu home jioni...something ata ukiwaza tu inakupa hamu ya kupika not the usual feeling of 'wali again'!!!!
 
Last edited by a moderator:
Ama ugali na kuku wa kuchanganya na mnafu na nazi, then kachumbari kiduchu.

Kuna tambi zile nyembamba kama mchele, kwa nyama ya kusaga. Unapika separate unaweka kwenye chombo (casserole ya glass ndo mwake mwake), tanguliza nyama ya kusaga iliyoungwa, tandazia tambi juu. Kwangua cheese (yoyote), halafu weka kwa oven dakika chache ama palia mkaa.

Uniite basi leo sijafunga

Cha kukushauri Pika Prawns waliokaangwa na mafuta ya tui la nazi,changanya na maharagwe machanga+rosechilli tia na Royco,hoho,karoti,ngogwe na kandimu kwa mbali bila kusahau kijitui cha nazi.
Baada ya hapo sukuma chapati za maji halafu ule pamoja na huo mchanganyiko wako (hata ugali,wali,pasta,ndiz,viaz,mkate waweza kutumika).
Taste yake iko so mwaaa!!
Waweza shushia na Guava juice ndo mwake.

Je beibe nasty wahtaji kufahamu jinsi ya kuandaa pilipili laini kwa kutumia mbogamboga iliwayo ikiwa ndani ya fridge?
Karibu.
Kwa hesabu ya haraka haraka nyie wawili hakuna atakayekuwa na uzito chini ya kg 90! Khaaa!!!
 
Back
Top Bottom