Menu bar ya pc hairespond

Tectoner

Member
Dec 5, 2011
48
0
Ile bar inayokuwa chini ya display inagoma kufunguka. So nikiminimize file nashindwa kulifungua tena.msaada jamani
 
Back
Top Bottom