Men's Only: Sala ya Mume Mwenye Wivu

Dawa ni kuwajibika kwa wake zetu tukiwa uwanjani ukiwa mvivu kugongewa hakukwepekii na hata wakina dada msipojitahidi kutumegea vizuri na sisi kuchomoka na vicheche hakukwepeki.

ila wanaume wengine wakware hata ukipewa tigo bado unanyofoka na vicheche
 
Kwani mwanaume anaetembea na mke wa mtu ana kosa gani?
Hao wake zenu wanalazimishwa?
Si wanataka wenyewe?

Natamani nikuone nikipongeze kwa hili jibu lako,hawalazimishwi.....hawabakwi....hawashikiwi ma...ja wenyewe kwa raha zao wanateremsha vyu..i.Tena mi nawatafuta sana hawa wake za watu wanaogawa niwatie adabu na ndogo tu,MBAFU ZAO
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom