Meno ya rangi

Hii dental clinic iko hapa Dar es salaam, city center; mtaa wa Asia. Doctor anaitwa Dr. Mohamedali and the clinic's name is SD Dental Clinic.

You can go w/out appointment
naomba tujuze zaidi juzi nimemuuliza dadangu akasema ni lazima kufanyiwa hiyo kitu kila baada ya miezi sita ,usipofanya meno yanakuwa na kama vidotidot vyeusi na kufubaa kabisa,kuna ukweli ndugu?????????
 
hii huduma ipo shabbir dental clinic hapo city center; actually scientifically one has to go 4 dental check up after every six months ... so this bleeching can also be done after six months but not necessarily after six months; once u do the bleeching its permanent ila with time meno becomes yellow or dull in color ( comon for every1) so inorder to inhance the color u can do it every six months......... its nt very expensive!!

hot much?
 
mimi niliona kwenye news citizen tv ya kenya!kuna mmama anafanya hiyo kazi,yeye anasukutua kwa miti shamba rangi yote inatoka!wenye ndugu Nairobi naomba muwapatie wana JF hii info.alifanya demo kweli yanakua meupe.
 
Hii wanaita teeth coating. Wanachofanya wanasafisha meno af wana bandika dawa flani nyeupe juu ya meno yote yanakuwa meupe. Gharama yake huanzia laki moja hadi mbili hivi. Nadhani inapatikana almost katika dental clinic zote za kisasa. Wahi fasta ukang'arishe meno.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom