Mengi yanayosemwa kuhusu UDOM kwenye soko la ajira si kweli.

njoro

Senior Member
Dec 21, 2010
178
8
Wana JF wengi wetu kutokana na kutokua na info,au kwa chuki tumekua tukipotosha kuwa waajiri hawataki graduates from UDOM.
To prove u guys wrong mwaka jana makampuni makubwa kama PRICEWATERCOOPERS(PWC) walikuja kutafuta wahitimu na kuwaajiri, Mwaka huu vile vile PWC wamekuja UDOM kujitangaza na kuchukua wahitimu wa kuwaajiri baadhi, Delloite, standard chattered, KPMG pia walikuja, na kuna idadi wa ya wahitimu kutoka UDOM ambao wameajiriwa na makampuni haya.
Rai yangu kwa WanaJF ni kuacha kupotosha na kusema ukweli kutokana na Facts
 
umetuwa?!? au......... mbona kama sijakuelewa au na ww kiraza?
 
wivu tu unawasumbua wazee wa udsm,wanapata stress wakiona 'chipukizi' UDOM akirun tz.Me ni mmojawapo wa 2liograduate mwakajana na nimepata kaz kampun ya maana tu tofauti na porojo zao eti 'udom wanakataliwa'
 
''Udom'!bado sana..better ulete story nyingine tu.kuna jamaa kama 20 nawajua wamesoma bcom udom na wamemalza mwaka juzi,cha kushangaza hawajawah kuitwa hata kwenye interview mpaka leo!
 
''Udom'!bado sana..better
ulete story nyingine tu.kuna jamaa kama 20 nawajua wamesoma bcom udom na
wamemalza mwaka juzi,cha kushangaza hawajawah kuitwa hata kwenye
interview mpaka leo!

Tatizo co chuo hapo ni course hiyo haina market mtaani.
 
''Udom'!bado sana..better ulete story nyingine tu.kuna jamaa kama 20 nawajua wamesoma bcom udom na wamemalza mwaka juzi,cha kushangaza hawajawah kuitwa hata kwenye interview mpaka leo!

bro wangapi wa UDSM wamemaliza hadi leo hii wanatembeza bahasha hamna kitu
 
tuulize ma'human resource manager acha kujpa moyo, udom wengi mnatoka chuoni hamna kitu. Kwenye ofisi yetu wiki iliyopta graduates wa udom ndio walkuwa wengi bt hamna hata aliefuzu.
 
Dah haya bhana,,,,,,,,
tuulize ma'human resource manager acha kujpa moyo, udom wengi mnatoka chuoni hamna kitu. Kwenye ofisi yetu wiki iliyopta graduates wa udom ndio walkuwa wengi bt hamna hata aliefuzu.

sikukataa kusoma udom kimakosa,,,,asante Rwekaza kwa kunipa admission,asante kwa kunipa cheti changu
 
Huu ni ulimbukeni tu kusifia na kubeza chuo alichosoma mwenzako. Mwisho wa siku hakuna atakaeuliza umesoma wapi, bali atauliza unajua/unaweza nini. Siku hizi sehemu nyingine hata mavyeti (Na GPA zake) ni vitu vya mwisho. Acheni kukumbatia ujinga wa kusifia wakwe badala ya mke.
 
well said,tatizo wazee wa udsm wanajifanya wao ndo wao,wapo nnaowafaham street tumemaliza pa1 but wao bado wanasota kitaa'jobless'
 
huu ujinga wa kuponda chuo cha mwenzako, wana jf wenye tabia hii sijui wataacha lini,,,,, mwisho wa siku, hela is what matters,,, ni body will ask umesoma wapi!! As long as u r successful... Niulize hata mmoja wenu kati ya nyie mnaobishana, said salum bakhresa alisoma chuo gani????,,, it does not matter udom, udsm, havard o wherever!!,,, he is successful,, na ndo tunachoangalia!!!,,,, kuhusu suala la ajira, it is what u produce mdogo wangu,,, watu sku hizi wanaajiriwa hata wenye certificate, alimradi wanaproduce na kudeliver vizuri,, thats it!!,,,,
 
tuulize ma'human resource manager acha kujpa moyo, udom wengi mnatoka chuoni hamna kitu. Kwenye ofisi yetu wiki iliyopta graduates wa udom ndio walkuwa wengi bt hamna hata aliefuzu.

we ni HRM wa kampuni gani au org gan yenye profile kubwa zaidi ya PWC, DELLOTE, STD CHATTERED na wengineo ambaye unajua zaidi yao?
 
huu ujinga wa kuponda chuo cha mwenzako, wana jf wenye tabia hii sijui wataacha lini,,,,, mwisho wa siku, hela is what matters,,, ni body will ask umesoma wapi!! As long as u r successful... Niulize hata mmoja wenu kati ya nyie mnaobishana, said salum bakhresa alisoma chuo gani????,,, it does not matter udom, udsm, havard o wherever!!,,, he is successful,, na ndo tunachoangalia!!!,,,, kuhusu suala la ajira, it is what u produce mdogo wangu,,, watu sku hizi wanaajiriwa hata wenye certificate, alimradi wanaproduce na kudeliver vizuri,, thats it!!,,,,

well said
 
Umekwiva Architec!,UDOM KAMA VYUO VINGNE INATOA GRADUATES AMBAO WANAKIDHI VIWANGO VYA KITAIFA NA KIMATAIFA.TATIZO LA UDOM NI UONGOZI HASA PROF.MLACHA SHAABANI AMBAYE ANAKULA NA KUIBA HADI HELA ZA KUJIKIMU NA ZA PRACTICAL FIELD ZA WANAFUNZI WA UDOM.kwa mfano HADI SASA WANAFUNZI HAWAJAPATA PESA ZAO ZA CHAKULA NA MALAZI HATA UFATILIAJI HAUPO NA WATU WANASHINDA NJAA.Wakiandamana na kufanya mgomo eti wanasiasa wanachochea migomo vyuoni.Muda wowote watu watakinukisha maana hata nguvu za wanafunz kuingia pindi hazipo.SERIKALI KUPITIA WAZIRI WA ELIMU ACHENI KUCHEZEA MAISHA NA UHAI WA WATU WAPENI PESA ZAO KWA WAKATI OTHERWISE MNAANDAA NA KUJIANDALIA MABOMU MTAANI YAKIJA KURIPUKA MTAJUA WENYEWE.
 
'' mtoto acha kupiga mayowe,acha watu wayaone wenyewe''
UDOM ni chuo cha kata tu.juzi mmepewa pilau na nape mkasahau shida za Tanzania.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom