Mengi na Uanachama wake CCM

Hiyo ndio Tanzania yetu, where leaders on the frontline, dare to talk boldly only to think later on!Siyo Kilumbe tu, tukiomba wanajamvi walete quotes za viongozi kuropoka then next day baada ya kufikiri wanasahihisha utashangaa. Kama unakumbuka any of those confusing statements rusha hapa. Tunaanza na Kilumbe, who is next? Kazi kwenu wanajamvi
2.
3.
4.
5.
6.

Walioandamana toka Longido mpaka Ikulu ni Wakenya, sio Watz. Next
 
The politician has never been killed by swallowing his own words.. Then it is possible to say this today and tomorrow you refute and not even issuing a word of apology?
 
Mzee wetu Mengi alichelewa sana kujiunga CCM( April 1977). Hakupita hata JKT nini?
 
KATIBU wa CCM mkoani Dar es salaam, Kilumbe Ng'enda amekanusha taarifa kuwa alipingana na ufafanuzi uliotolewa na mwenyekiti wa IPP, Reginald Mengi dhidi ya madai kuwa mfanyabiashara huyo maarufu si mwanachama wa chama hicho tawala.

Mmmh hiyo avatar yako niliiona mahali mmh please f**k me!
 
Ndo faida ya kuropoka, mwisho wa siku unajulikana kweli ni mjinga. Afadhali huyo mama afuate ushauri wa Malecela wa kupima akili.
 
Ndo faida ya kuropoka, mwisho wa siku unajulikana kweli ni mjinga. Afadhali huyo mama afuate ushauri wa Malecela wa kupima akili.
Kwangu wote waropokajii..SS anafaidikaa zaidi na kuropoka kwani kumemfikisha hapo alipo..

Mengi ni mwana CCM tangu 1977!!!! hapa nani mwerevu zaidii?? naona CCM wanaendeleaa kufaidikaa na malumbanoo hayaa zaidii na ushabiki wetuu ndo (upofuuu) faida kubwaa kwao
 
Kwangu wote waropokajii..SS anafaidikaa zaidi na kuropoka kwani kumemfikisha hapo alipo..
Mengi ni mwana CCM tangu 1977!!!! hapa nani mwerevu zaidii?? naona CCM wanaendeleaa kufaidikaa na malumbanoo hayaa zaidii na ushabiki wetuu ndo (upofuuu) faida kubwaa kwao

CCM kweli chama cha mafisadi na wajanja. Wamegundua wakimweka pembeni atajisingizia anapambana na ufisadi. Kwa hiyo kazi kwake Mangi maana sasa anathibitishiwa tu kwamba na yeye ni fisadi maana yuko kwenye chama hicho toka 1977. Na kwa sababu CCM ni mafisadi basi mzee Mengi wameshamkabidhi naye jukumu la kutetea mafisadi wenzie
 
Haya yote ni matokeo ya kupewa uongozi kwa ushabiki...! Bwana Kilumbe ng'enda hana sifa za kuwa kiongozi..., kiongozi huwa hana hulka ya kuropoka au kushabikia n then later anakuja kukiri hadharani alifanya kosa!
Mimi nadhani udhaifu wa kuweka viongozi wa aina hii, inatokana na viongozi wa juu wa CCM, kiongozi safi mwenye maadili sina hakika kama atamteua mtu asiye na maadili, ni lazima amteue mtu safi na mwenye maadili kama yeye mwenyewe...! tatizo lipo ktk uongozi wa juu wa CCM! huwa TAI ANARUKA NA TAI MWENZIE HAWEZI RUKA NA KUNGURU...!
 
Pole pole ndo mwendo dadangu. Tumejengwa ki fikra namna hiyo na viongozi wetu na wanapoona tumeshituka hubadili kauli zao bila wasiwasi wowote wakijua sisi ni wadanganyika tu.
 
yaani jamani sijui wapi tunaenda,mimi kila ninapoamka huwa nafikiria kama nipo katika nchi au kichaka.
 
Hii kali sasa kwani huyu Kilumbe Ngenda si alisema amepita matawi yote ya chama chao DSM hajaona jina la uwanachama la Mengi sasa iweje akakiri? alitumwa na nani kuropoka bila kuwa na uhakika?
 
Kwani mtu kutkuwa wamanachama wa chama chochote cha siasa ni DHAMBI au ni kosa huko Tanzania.

Au kutokuwa mwana CCM ni kosa la jinai?
 
Alichotakiwa kufanya Katibu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam ni kumuomba msamaha Bw. Reginald Mengi. Huku ni kudhalilishana bila mpango. Wao walikuwa na agenda nyingine na Bw. Mengi amewaumbua
 
So Mengi was right kwamba huyo katibu hajaenda shule au? maana alikiri kuwa kapita kila tawi hajaona jina la Mengi, leo anabadili kuwa mengi ni mwanachama tena bila kuomba msamaha kwa wanachama wenzie akiwemo Mengi mwenyewe... Hii kali kwelikweli!!!
 
Back
Top Bottom