Mengi na Makamanda wa Ufisadi kutua Nzega J'mos Hii

Masatu CCM ni kapu la wajanja kila mmoja anapiga hesabu kufika na kuchukua wa kwanza si utani .
 
Waheshimiwa wana wa Nchi! sisi wakazi wa Nzega tumekuwa kwa muda mrefu tukisubiri mamilioni toka kwa bwana Mengi kama ambavyo tumekuwa tukiahidiwa mara kwa mara, tulipopata taarifa za ujio wa Bwana mengi Nzega tukaamini kuwa kwa kiasi fulani tutaweza kupambana na umaskini tukaanza kutekeleza yafuatayo kwa maelekezo ya Mama doto ambaye ndiye mratibu wetu wa VICOBA Nzega. mchango wa mapokezi ya ujio wa Mengi na makamanda wa ufisadi kwa kila mwana kikundi 20,000/= kiingilio cha uanachama 12,000/= sare kanga 6000/=,tshirts 6000/= hivyo kila mjumbe amejitolea Tshs 44,000/=
kwa kiasi cha milioni 100 alizoahidi kuzitoa Mengi kwa vikundi 80 ambapo kila kikundi kina wanachama wasiopungua 20 mgao wa fedha hizo za VIKOBA hautazidi 48, kwa kila mwana kikundi, mmetuumiza mno! ninapo sema mno nina maana ya mno kingine ambacho ni kibaya sana kikundi ambacho chaweza kunufaika kidogo ni kile cha mama Selelii ambacho kutokana na kuwa karibu na Mh Mb chaweza kupata fedha isiyopungua M30 je ni kweli kwamba tuamini ujio wa Mengi na makamanda wa ufisadi nzega madhumuni yake makuu ni kupigana na umasikini au kutuletea umaskini? jambo lingine ambalo inawezekana lisiwe na maana sana kwa mchango huu ni pale nilipomsikia Nauye Jnr na mheshimiwa wa Simanjiro wakisema bashe wa Nzega asichaguliwe eti kwa kuwa ana uraia wa kuandikishwa,Nape usiende hivyo tuna kutegemea sana katika mabo mengi hasa ya Uvccm unapoanza kuhubiri Siasa za ubaguzi huo hata baba yako huko aliko nadhani anatoa machozi sidhani kama katika uhai wake Mzee nauye aliwahi kuwakana kina Amir Jamar,Shamim Khan,Salim A Salim na wengine wengi tumekuwa na A. Kinana kwenye NEC kwa miongo kadhaa. pole sana Nape yawezekana matamshi yale yalikutoka ili uendelee kupata mkate wako w kila siku kwa RM maana wahenga walisema maradhi yote ugua kuchacha usiombe!

Wewe ni miongoni mwa wapumbafu ambao ni heri aandae sherehe ya birthday na kipaimara kuliko kupeleka mtoto shule. Mzee mengi aliwaambia anataka sherehe?? kama ni sherehe mbona anaweza kujiandalia mwenyewe hata ulaya?? Kama mlifanya hivyo kwa kudhani yeye atawarudishia hizo za sherehe mmeliwa.

Yeye anasaidia kuwapa mtaji ili mjibidishe mzalishe na hatimaye mjikwamue na umaskini, sasa kama mnakwenda kunywa kangara halafu mnamlaumu mengi, huo ni ujinga mlio zaliwa nao.

Nape unamlaumu nini?? wewe ulitumwa kupeleka vipepelushi ili hafla ya VICOBA isifanikiwe lakini umajionea mwenyewe watu lukuki. Wambie hao waliokutuma kuwa wewe na wao mmefulia!!
 
... kwa vikundi 80 ambapo kila kikundi kina wanachama wasiopungua 20 mgao wa fedha hizo za VIKOBA hautazidi 48, ...
Hiyo 48 ulimaanisha 48,000/= ? Nimejaribu kupiga hesabu za haraka haraka ili niweze kuchangia hoja, lakini nilipoona majibu yako yana kasoro, nimeamua niishie tu kukokotoa bila kuchangia zaidi.
100,000,000 ÷ 80 = 1,250,000
1,250,000 ÷ 20 = 62,500
Bado sijaelewa hiyo 48,000/= yako inatoka wapi.
 
Waheshimiwa wana wa Nchi! sisi wakazi wa Nzega tumekuwa kwa muda mrefu tukisubiri mamilioni toka kwa bwana Mengi kama ambavyo tumekuwa tukiahidiwa mara kwa mara, tulipopata taarifa za ujio wa Bwana mengi Nzega tukaamini kuwa kwa kiasi fulani tutaweza kupambana na umaskini tukaanza kutekeleza yafuatayo kwa maelekezo ya Mama doto ambaye ndiye mratibu wetu wa VICOBA Nzega. mchango wa mapokezi ya ujio wa Mengi na makamanda wa ufisadi kwa kila mwana kikundi 20,000/= kiingilio cha uanachama 12,000/= sare kanga 6000/=,tshirts 6000/= hivyo kila mjumbe amejitolea Tshs 44,000/=
kwa kiasi cha milioni 100 alizoahidi kuzitoa Mengi kwa vikundi 80 ambapo kila kikundi kina wanachama wasiopungua 20 mgao wa fedha hizo za VIKOBA hautazidi 48, kwa kila mwana kikundi, mmetuumiza mno! ninapo sema mno nina maana ya mno kingine ambacho ni kibaya sana kikundi ambacho chaweza kunufaika kidogo ni kile cha mama Selelii ambacho kutokana na kuwa karibu na Mh Mb chaweza kupata fedha isiyopungua M30 je ni kweli kwamba tuamini ujio wa Mengi na makamanda wa ufisadi nzega madhumuni yake makuu ni kupigana na umasikini au kutuletea umaskini? jambo lingine ambalo inawezekana lisiwe na maana sana kwa mchango huu ni pale nilipomsikia Nauye Jnr na mheshimiwa wa Simanjiro wakisema bashe wa Nzega asichaguliwe eti kwa kuwa ana uraia wa kuandikishwa,Nape usiende hivyo tuna kutegemea sana katika mabo mengi hasa ya Uvccm unapoanza kuhubiri Siasa za ubaguzi huo hata baba yako huko aliko nadhani anatoa machozi sidhani kama katika uhai wake Mzee nauye aliwahi kuwakana kina Amir Jamar,Shamim Khan,Salim A Salim na wengine wengi tumekuwa na A. Kinana kwenye NEC kwa miongo kadhaa. pole sana Nape yawezekana matamshi yale yalikutoka ili uendelee kupata mkate wako w kila siku kwa RM maana wahenga walisema maradhi yote ugua kuchacha usiombe!

piga kazi tu mzeya!achana na ''kujikwamua kisiasa''.watakupotezea hawa ''matajiri wasafi''
 
Uzuri wa hapa JF ni kwamba ukiangalia thread tu unajua huyu aliyeandika analenga nini. m-bongo, baada ya kuona vipeperushi alivyopewa asambaze vimemdodea sasa kakimbilia JF ili amalizie hasira zake hapa, hapo umekosea kwa sababu unatoa maoni yako ya kijinga kwa watu werevu kuliko wewe na hao waliokutuma. Bora ukaendelee kunywa kangara yako tu kwani hapa kila mtu anakupuuza.
 
Ama kweli ule usemi umetimia "in every village there is an idiot" Mimi sielewi M--go anasema nini? huyu ni mtanzania kweli au mwanaye RA?? Hivi unathubutu mumwona Nape anamakosa?? Unawataja hiyo miponjoro ya zamani ambayo ndiyo sababu ya watz wengi sana kubakia maskini mpaka leo hii?? Watoto wao wote wamehamia Ulaya baada ya Baba zao kuiba raslimali zetu Tanzania. Walikuwa wanafanya wanavyovifanya leo kina Vilani, RA, Manji nk. halafu unajitahidi kutuhalalishia hayo? Kama Jamal alikuwa anaipenda nchi iliyompa heshima kubwa namna ile kwanini hawakukubali azikwe Tanzania, tena inaaminika huo ulikuwa usia wake. Sina hakika nini kiliacha aandike jambo hilo lakini inaonyesha wazi nini kilikuwa ndani ya moyo wake kuhusi Tanzania.
Wacha kulala, amka anza kuwaza, ungana na wananchi wenzako wenye nia njema na Taifa hili. Ukienda huko kwao hao unaoona wanabaguliwa hata uwe na PhD ya Sayansi ya jamii huruhusiwi hata kutamka kugombea ujumbe wa nyumba kumi, na ukisimama kuongea kuhusu nia yako utauwawa hata kabla hujaongea neno moja. Mwombe RA akupe nauli uende kutembelea atokako kama hujawahi tembea na kama kweli si mtoto wa RA, usituletee udhaifu wako humu JF!
 
9/7/2009

Akina Mwakyembe watetea ziara zao mikoani

Na Frederick Katulanda, Mwanza

WABUNGE wanne wa CCM ambao jana walichangia Sh12milioni kusaidia miradi ya jumuiya mbili za chama hicho, wamesema wanafanya ziara za pamoja kuzungukia majimbo yao kwa ajili ya kutafuta umoja katika vita yao ya kupambana na ufisadi.

Dk Harison Mwakyembe, mbunge wa Kyela, James Lembeli (Kahama), Lucas Seleli (Nzega), Christopher Ole Sendeka (Simanjiro) na Fred Mpendazoe (Kishapu) ambaye jana alikuwa mwenyeji wao wilayani Kishapu, walichanga fedha hizo kwa ajili ya kusaidia miradi ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) na Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM).

Mpendazoe pekee alitoa Sh6milioni kati ya fedha zote hizo.

Akizungumza na gazeti hili mara baada ya kumaliza mkutano wa hadhara katika jimbo la Kishapu, Dk Mwakyembe alisema kwa vile mafisadi wamekuwa wakitumia fedha, wao wameamua kutumia umoja kupambana nao.

Mwakyembe alisema:“Unajua mafisadi wanatumia fedha, sisi nguvu yetu ni umoja katika kupambana na nguvu ya fedha za mafisadi.”

Naye Christopher Ole Sendeka alisema wamekuwa wakialikana katika majimnbo yao kwa ajili ya kusaidia miradi mbalimbali na kwamba wameamua kufanya hivyo kwa sababu wao ni ndege wa aina moja hivyo wameamua kuruka pamoja.

Ole Sendeka alisema wakiwa katika ziara hizo wamekuwa wakizungumzia ufisadi ili kuwaeleza wananchi na kuongeza kuwa kwa kufanya hivyo wamekuwa wakitekeleza ilani na katiba ya CCM ambayo inapingana na ufisadi na kuwataka wanachama wake kusema kweli daima.

“Hii ni vita... tutendelea kupigana na kwa kufanya hivyo hatuingilii uhuru wa vikao vya chama. Hivyo hatuhitaji ridhaa ya chama kwa sababu tunayofanya ni matakwa ya Ilani ya chama na katiba ya CCM inayosema kuwa rushwa ni adui wa haki” alieleza Ole Sendeka.

Habari zaidi zinaeleza kuwa Jumamosi wabunge hao wataendelea na ziara mkoani Tabora wakiongozana na mfanyabiashara Regnald Mengi. Mkoani Tabora watapokewa kwa maandamano na katika ziara hiyo Mengi anatarajiwa kukabidhi hundi Sh150 milioni kwa vikundi 80 vya ujasiriamali.
 
Pamoja na juhudi zote za kuondoa post zihusuzo makamanda wa ufisadi nitaendelea kuandika hadi nitakapo thibitishiwa kuwa JF sio jukwaa huru lakini kama JF ni jukwaa huru ambalo kila mtu naweza wa kutoa mawazo yake kwa uhuru hili halitanikwaza nikiwa naelekea kwenye post 200! Baada ya heka heka za Nzega taarifa nilizo nazo za uhakika ni kuwa Bwana Reginald Mengi na wale wanaojiita makamanda wa ufisadi wanajiandaa kuja Tabora mjini ili kutoa wanachoita misaada yao kwa wananchi ili wajikwamue na umaskini. maandalizi yote kwa jimbo la Tabora yanasimamiwa kificho sana na Mh Aziza Sleyum Aly na vikao vinafanyika katika Club ya VOT ( Rufita Club) inayomilikiwa na Al haji Aden Ismail Rage(japo ni Alhaj anayeuza Pombe) Mh aziza ambaye hata katika mkutano wa Nzega wa mengi alichangia Tshs 1,000,000/= kwa kutuma mwakilishi ili asijulikane na viongozi wengine wa CCM ngazi ya mkoa ingawa nadhani kwa bahati mbaya Mh selelii alitangaza mchango wa Aziza na ule wa Spika ambaye naye alituma katibu wake bwana Paul Shija ambaye alitoa salaamu za uwakilishi. kinachofuata sasa makamanda hao wa ufisadi wanajiandaa kuja Tabora soon baada ya mfungo kwa lengo la kuja kumsaidia Mh Aziza Ally kwa jimbo la Tabora mjini. once again karibuni makamanda wa ufiadi Tabora mjini kwa matarajio kuwa kwa mara ya kwanza nchi itatikisika kwani hatutakubali upumbavu wa mengi na wenzake. Tabora si kama mikoa mingine ambayo watu wametukana na kuondoka salama hapa lazima waache hata soksi kama sio vipara vyao
 
Last edited:
Pamoja na juhudi zote za kuondoa post zihusuzo makamanda wa ufisadi nitaendelea kuandika hadi nitakapo thibitishiwa kuwa JF sio jukwaa huru lakini kama JF ni jukwaa huru ambalo kila mtu naweza wa kutoa mawazo yake kwa uhuru hili halitanikwaza nikiwa naelekea kwenye post 200!

Peleka hayo hapo juu kwenye complaints......!

Baada ya heka heka za Nzega taarifa nilizo nazo za uhakika ni kuwa Bwana regina Mengi na wale wanaojiita makamanda wa ufisadi wanajiandaa kuja tabora mjini ili kutoa wanachoita misaada yao kwa wananchi ili wajikwamue na umaskini.

Ndo nani tena?

maandalizi yote kwa jimbo la Tabora yanasimamiwa kificho sana na Mh Aziza Sleyum Aly na vikao vinafanyika katika Club ya VOT ( Rufita Club) inayomilikiwa na Al haji Aden Ismail Rage(japo ni Alhaj anayeuza Pombe) Mh aziza ambaye hata katika mkutano wa Nzega wa mengi alichangia Tshs 1,000,000/= kwa kutuma mwakilishi ili asijulikane na viongozi wengine wa CCM ngazi ya mkoa ingawa nadhani kwa bahati mbaya Mh selelii alitangaza mchango wa Aziza na ule wa Spika ambaye naye alituma katibu wake bwana Paul ambaye alitoa salaamu za uwakilishi. kinachofuata sasa makamanda hao wa ufisadi wanajiandaa kuja tabora soon baada ya mfungo kwa lengo la kuja kumsaidia Mh Aziza Ally kwa jimbo la tabora mjini. once again karibuni makamanda wa ufiadi Tabora kwa matarajio kuwa kwa mara ya kwanza nchi itatikisika kwani hatutakubali upumbavu wa mengi na wenzake tabora si kama mikoa mingine ambayo watu wametukana na kuondoka alama hapa lazima waache hata soksi kama siom vipara vyao

No wonder why mods huwa wanado the needful!
 
M-Bongo, tunashukuru kwa kutuhabarisha.

Ila unatakiwa kujua kuwa hakuna mbunge mwenye haki miliki ya jimbo. Ukae ukijua kila Mtanzania yuko huru kutembea popote tena kifua mbele pasipo kubughudhiwa ili mradi havunji sheria za nchi. Kwa hiyo waunge mkono hao makamanda kwani mkoa wenu ndo unaongoza kuwa na FISADI PAPA.

Cheers!
 
hongereni kina Mengi......hongereni sisis Watanzania tuko nyuma yenu tukitoka hapo tunaamia jimbo la Rostam Aziz
 
Pamoja na juhudi zote za kuondoa post zihusuzo makamanda wa ufisadi nitaendelea kuandika hadi nitakapo thibitishiwa kuwa JF sio jukwaa huru lakini kama JF ni jukwaa huru ambalo kila mtu naweza wa kutoa mawazo yake kwa uhuru hili halitanikwaza nikiwa naelekea kwenye post 200! Baada ya heka heka za Nzega taarifa nilizo nazo za uhakika ni kuwa Bwana regina Mengi na wale wanaojiita makamanda wa ufisadi wanajiandaa kuja tabora mjini ili kutoa wanachoita misaada yao kwa wananchi ili wajikwamue na umaskini. maandalizi yote kwa jimbo la Tabora yanasimamiwa kificho sana na Mh Aziza Sleyum Aly na vikao vinafanyika katika Club ya VOT ( Rufita Club) inayomilikiwa na Al haji Aden Ismail Rage(japo ni Alhaj anayeuza Pombe) Mh aziza ambaye hata katika mkutano wa Nzega wa mengi alichangia Tshs 1,000,000/= kwa kutuma mwakilishi ili asijulikane na viongozi wengine wa CCM ngazi ya mkoa ingawa nadhani kwa bahati mbaya Mh selelii alitangaza mchango wa Aziza na ule wa Spika ambaye naye alituma katibu wake bwana Paul ambaye alitoa salaamu za uwakilishi. kinachofuata sasa makamanda hao wa ufisadi wanajiandaa kuja tabora soon baada ya mfungo kwa lengo la kuja kumsaidia Mh Aziza Ally kwa jimbo la tabora mjini. once again karibuni makamanda wa ufiadi Tabora kwa matarajio kuwa kwa mara ya kwanza nchi itatikisika kwani hatutakubali upumbavu wa mengi na wenzake tabora si kama mikoa mingine ambayo watu wametukana na kuondoka alama hapa lazima waache hata soksi kama siom vipara vyao

M-bongo

Nakushauri uende kwenye darasa la elimu ya watu wazima ujifunze kuandika! Huwezi panga hoja, Paragraph nzima ina vituo viwili, matumizi ya herufi kubwa shida....wacha MODS wafanye kazi zao duuu! boga kweli wewe!
 
M-Bongo huenda una habari nzuri ya kutueleza JF. Tatizo linakuja unapoweka 'emotions" zako katika habari ambayo kwanza ni tetesi. Ingekuwa vizuri kama ungeachia pale unaposema Mengi na kundi lake wanakuja Tabora kwa nia ya kumgoa Mhe. Kaboyonga, n.k. Lakini kwa kusema "hutukubali upumbavu wa Mengi" tayari umesha bias story which with all due respect we can only take with a pinch of salt.
 
Hivi Kaboyonga ana lipi la kupigiwa mfano alilolifanya ?
wale Makamanda wako huru katika nchi huru kufanya vitu vyao (kuwatumikia wananchi) tena wanatuhamasisha na vicoba na misaada tele ! MUNGU WASAIDIE WAJA WAKO HAWA.
Kama kweli Ujio wa Wabunge hao utamkwaza Kaboyonga si atasema mwenyewe ? yawezekana akajiunga nao maana siasa haina uadui wa kudumu.
 
kabanyoka sijui kaboyonga,walafi tu hao wa taiffa ngoja tuone mkuki kwa nguruwe utakavyokuwa.Hata kama hataki kufulia inabidi tumfulishe lazima afulie tuone atapata wapi jukwaa la kuwashambulia wapinga ufisadi.......
 
Tatizo la kuchapa kimakosa inawezekana ni sababu ya kukimbizana na time watcher! kwani naishi nje ya mji wa Tabora kwa maana ya kijijini sasa kama kuna mtu amekwazika kwa hilo aniwie radhi! pili yule anayedai kuwa hakuna mwenye haki miliki ya jimbo namshukuru sana kwani yupo sahihi maana hata kina Mwakyembe, Selelii nk hawana haki miliki ya jimbo hivyo kung'olewa ni haki yao na isiwe mkuki mtamu kwa sungura all in all MESSAGE SENT!
 
Pamoja na juhudi zote za kuondoa post zihusuzo makamanda wa ufisadi nitaendelea kuandika hadi nitakapo thibitishiwa kuwa JF sio jukwaa huru lakini kama JF ni jukwaa huru ambalo kila mtu naweza wa kutoa mawazo yake kwa uhuru hili halitanikwaza nikiwa naelekea kwenye post 200! Baada ya heka heka za Nzega taarifa nilizo nazo za uhakika ni kuwa Bwana Reginald Mengi na wale wanaojiita makamanda wa ufisadi wanajiandaa kuja Tabora mjini ili kutoa wanachoita misaada yao kwa wananchi ili wajikwamue na umaskini. maandalizi yote kwa jimbo la Tabora yanasimamiwa kificho sana na Mh Aziza Sleyum Aly na vikao vinafanyika katika Club ya VOT ( Rufita Club) inayomilikiwa na Al haji Aden Ismail Rage(japo ni Alhaj anayeuza Pombe) Mh aziza ambaye hata katika mkutano wa Nzega wa mengi alichangia Tshs 1,000,000/= kwa kutuma mwakilishi ili asijulikane na viongozi wengine wa CCM ngazi ya mkoa ingawa nadhani kwa bahati mbaya Mh selelii alitangaza mchango wa Aziza na ule wa Spika ambaye naye alituma katibu wake bwana Paul Shija ambaye alitoa salaamu za uwakilishi. kinachofuata sasa makamanda hao wa ufisadi wanajiandaa kuja Tabora soon baada ya mfungo kwa lengo la kuja kumsaidia Mh Aziza Ally kwa jimbo la Tabora mjini. once again karibuni makamanda wa ufiadi Tabora mjini kwa matarajio kuwa kwa mara ya kwanza nchi itatikisika kwani hatutakubali upumbavu wa mengi na wenzake. Tabora si kama mikoa mingine ambayo watu wametukana na kuondoka salama hapa lazima waache hata soksi kama sio vipara vyao

Sasa kama hao wanapambana na mafisadi kwa nini wewe unakasirika? Au na wewe ni mmoja wa hao mafisadi?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom