Hata mimi ndo nasubiria kuipata hiyo "Live" coverage. Heri mimi sijaahidiTunasubiri live coverage, muda ndo huo kuna dalili ya mkutano jamani?
Heri mimi sijaahidi
naomba nielekezeni Heidery pulaza iko wapi wajamini, niende hukoko huko, hata nikichelewa, lakini nijue nimeshiriki katika siku ya leo.
Unajua garama za kupload kwa bongo @ kapinga
...mkutano wa mengi leo unatakiwa kuzuiwa na vyombo vya usalama ..kwa kuwa unaaingiza nchi kwenye malumbano yasiyoisha .....muda wa mengi kuanza kusumbuliwa na dola wazi umefika ..uvumilivu wao umefika kikomo...
sio mengi tu hata rostam hatakiwi kuzungumza tena....wote wameongea sasa waachie polisi na mahakama zifanye kazi...wasigawe wananchi..
katika taratibu za kawaida za usalama ndio hivyo...sasa ndio tutajuwa kama kweli rais ameapa kulinda usalama wa wananchi au la...hatuwezi kuwa na taifa la kiumbea umbea wa kusutana kama wake wenza ...miaka mitano yote tumekalia kusutana tu hakuna kinachofanyika .... we are tied with this weak gorvernment....watuache tufanye kazi!!