Wanasheria wa Reginald Mengi wakutana na waandishi wa habari na Kumjibu Rostam Aziz

Status
Not open for further replies.
Hii mipasho ndo suluhu ya kumaliza ufisadi Tanzania? Dola ipo kwa ajili ya nini?Mhakama zipo kwa ajili ya nini? Huu ndio msingi wa utawala bora kweli?

JK nchi yetu umewauzia wanyang'anyi.......we need our beloved land back...so please do something!
 
...Ila Mengi mbona ameharakisha sana? Atulie na kuweka facts zake vizuri kabla ya kuzimwaga kwa wananchi. Ukiwa na hasira kali huwezi kuweka mambo sawa...

Tumchukie au tumpende inabidi tukubali RA anajua kupanga hoja zake na ana-deliver 'killer blows'.Mengi achukue muda kujipanga na kujibu,hatutaki kusikia 'inasemekana' au 'inajulikana'.Atafute msaada wa watu ili aje na facts,figures,names and dates au ataenda na maji.
 
Hii mipasho ndo suluhu ya kumaliza ufisadi Tanzania? Dola ipo kwa ajili ya nini?Mhakama zipo kwa ajili ya nini? Huu ndio msingi wa utawala bora kweli?

JK nchi yetu umewauzia wanyang'anyi.......we need our beloved land back...so please do something!

wakati mwingine unahitaji unconventional means ku deal with a problem.
A cocktail of dawa ya ufisadi - activism + rule of law = solution? huenda.Lets wait and see.
 
mwisho wa ubaya ni aibu!
Wanajikaanga kwa mafuta yao wenyewe na kujinyonga kwa kamba zao wenyewe.

Kwenye Jerry Springler kuna sehemu huwa wanaachia wagomvi wazichape kidogo. NATAMANI IWE HIVYO waachiwe kidogo watoboe siri za uchafu wao alafu ndio DOLA iiingilie kati.
 
Wana JF

Mi naomba kuuliza TUNAENDA WAPI? Tz yetu haina vyombo vya Usalama? Huyi Kiranja wetu Mkuu Hizi habari ahazioni au kusikia..........usikute ananyimwa kuuangalia TV kwenye White House yake a.k.a IKULU............Mbona amekaa kimya tuu?
Hii nchi imeshanyakuliwa na wenye nayo ndugu yangu
 
Jamani kila siku tunalalamika tunajadili humu and nothing happens..sasa its happening mbona tunakuwa waoga..tunataka mwenendo mpya wa siasa tanzania...sasa ndo vita imeanza!! tutajua mengi sana by december this yr...
Tatizo ni kuwa kujua kwetu bila hatua kuchukuliwa haitatusaidia. Serikali ya JK ni washiriki wa ufisadi kitu kinachofanya sheria isiwe na ubavu. Sijui tukimbilie wapi sasa.
 
Redinald Mengi anataka Tanzania iwe kama United States,kwamba fisadi Papa mmoja akiwataja fisadi Papa wenzake,yeye aachiwe huru,wale wengine wakamatwe.
 
Nafahamishwa na mwandishi wetu kuwa wameambiwa atafanya Press Conference SI ofisini kwake bali Royal Palm (Movenpic) Hotel.

Wakuu Invisible/Lunyungu,

tafadhali Abraham aulizwe yafuatayo:

1. Baada ya kutoa tuhuma za mafisadi papa, ulichukua hatua gani zaidi?
2. Nini kilikusuma hasa kutoa zile tuhuma? Kwa nini hukuwataja wengine/tutajie waliobaki wale watano.
3. Taifa linagawanyika kwa malumbano yenu. Hatari iliyopo ni kuzuka kwa chuki kati ya makundi haya, ambazo hatuna hakika mwishowe utakuwaje, je huoni kama unahitaji njia mbadala ya kushughulikia tuhuma zako kuliko kupitia kwenye vyombo vya habari kila mara?

Wengine ongezeeni tafadhali au mboreshe haya yaliyopo...
 
4. Mwenzako alitoa data je wewe unazo? zitoe wananchi tunataka facts na sio bla bla.
5. Ni kweli ulisaidia kununua share kwenye ile kampuni kutumia hela za NICO huku ukijua iko taabani.
6. una account nje, ni kweli?
7. tupe list ya mafisadi wazawa na wafanya kazi wanaiowasaidia hawa mapapa
 
Tumchukie au tumpende inabidi tukubali RA anajua kupanga hoja zake na ana-deliver 'killer blows'.Mengi achukue muda kujipanga na kujibu,hatutaki kusikia 'inasemekana' au 'inajulikana'.Atafute msaada wa watu ili aje na facts,figures,names and dates au ataenda na maji.

RA, Manji, Patel, Serikali pamoja na vibaraka wote waliwapachika serikalini na CCM wako wote agaist Mengi. Unategemea Mengi aje kichwa kichwa....kumwaga kila kitu hadharani?? Au hujua leo hii Waziri wa Mambo ya Ndani Masha ana hicho cheo kwa sababu ya RA??!!!

Hii vita inamalizika ushindi ukienda kwa mtu mwenye FACTS zilizosimama, sio anayejua kuongea vizuri mbele ya waandishi wa habari.
 
Wakuu Invisible/Lunyungu,

tafadhali Abraham aulizwe yafuatayo:

1. Baada ya kutoa tuhuma za mafisadi papa, ulichukua hatua gani zaidi?
2. Nini kilikusuma hasa kutoa zile tuhuma? Kwa nini hukuwataja wengine/tutajie waliobaki wale watano.
3. Taifa linagawanyika kwa malumbano yenu. Hatari iliyopo ni kuzuka kwa chuki kati ya makundi haya, ambazo hatuna hakika mwishowe utakuwaje, je huoni kama unahitajinjia mbadala ya kushughulikia tuhuma zako kuliko kupitia kwenye vyombo vya habari kila mara?

Wengine ongezeeni tafadhali au mboreshe haya yaliyopo...

4. Je ni kweli kuwa ana account ya nje ya nchi? Personally sidhani kama kuwa na account nje ya nchi ni tatizo, lakini Mengi ndo kalianzisha hili so aulizwe.

5. Kwa vile anamwambia Rostam aende mahakamani kujisafisha na tuhuma zake, Je na yeye(Mengi) ataenda lini mahakamani kujisafisha na tuhuma za Rostam?
 
majibu

1. atachukua hatua gani na wakati jk mwenyewe anawalinda
2. hao wengine watanao hajawataja kwa ajili hana document zao zilizokamilika na wanajificha nyuma ya mapapa
3. taifa haligawanyiki waindi ni kidogo na wezi na hii ni fact
wacha unafiki wewe mbona jana ukutuma maswali ya rostam
 
JK nchi imemshinda na tena nasikia anaondoka leo ama kesho kuenda nchi za ulaya most probably scandinavian countries
 
mzee Mengi anahisi serikali inwakingia kifua mafisadi na inawasaidia kuwakandamiza wanaopinga ufisadi. Mh!, tusubiri....
, sio anahisi, bali anajua wazi ndio maana anachokifanya sio kuwashitaki mafisadi kwa wananchi, bali kuwashitaki kwa wananchi, hawa wanaowakingia kifua mafisadi hata kama kwa kauli anadai anamsaidia mkulu, infact ndio anamzamisha.

kwa upande wangu, sitishwi na wanaopigishana kelele, Mangi na Manji, bali natishwa na wanaokaa kimya kama ma 'don' wa mafia.

Pia kusema ukweli, mzee Mengi ni mtu mwenye inferiority complex ya ajabu, hivyo kitendo cha kuvurumishiwa makombora ya jana, kimemprovoke, atajibu kwa ukali, kwa hasira na anaweza kujikuta pia anatema na utumbo.

Kwa ushauri wangu wa bure, Mzee wetu Mengi ushauri, asiendelee kujibizana na mafisadi papa ili kuilinda heshima yake.

Kitendo pekee cha kuwataja kwa majina ni japo kinyume cha sheria, ni cha ushujaa wa ajabu kumfanya awe shujaa wa taifa, sasa asiuharibu huo ushujaa kwa kuipiga zaidi hii ngoma yake, mwishowe itampasukia.
 
4. Je ni kweli kuwa ana account ya nje ya nchi? Personally sidhani kama kuwa na account nje ya nchi ni tatizo, lakini Mengi ndo kalianzisha hili so aulizwe.

5. Kwa vile anamwambia Rostam aende mahakamani kujisafisha na tuhuma zake, Je na yeye(Mengi) ataenda lini mahakamani kujisafisha na tuhuma za Rostam?
majibu

kukopa sio dhambi, na wala kampuni kufilisika sio dhambi
RA jana amethibitisha kwamba mengi hela zake ni mikopo benki na hii ndio njia kuu inayotumiwa na wafanyabiashara wote duniani

je source ya hela za RA ni hipi?
au huu ni utajiri wa Peter Noni?
je RA anauhusiano gani na Peter Noni?
 
Wakuu Invisible/Lunyungu,

tafadhali Abraham aulizwe yafuatayo:

3. Taifa linagawanyika kwa malumbano yenu. Hatari iliyopo ni kuzuka kwa chuki kati ya makundi haya, ambazo hatuna hakika mwishowe utakuwaje, je huoni kama unahitaji njia mbadala ya kushughulikia tuhuma zako kuliko kupitia kwenye vyombo vya habari kila mara?...

Hii sio sahihi. Taifa halijagawanyika na wala hakuna suala la kuzuka kwa chuki, labda dhidi ya mafisadi, iwe ni magabacholi au wamasai n.k. wote hawapendwi na sio suala la rangi au kabila. Taifa liko nyuma ya yeyote anayepinga ufisadi. Kudo Mengi.
 
majibu

kukopa sio dhambi, na wala kampuni kufilisika sio dhambi
RA jana amethibitisha kwamba mengi hela zake ni mikopo benki na hii ndio njia kuu inayotumiwa na wafanyabiashara wote duniani

je source ya hela za RA ni hipi?
au huu ni utajiri wa Peter Noni?
je RA anauhusiano gani na Peter Noni?

Huyu Peter Noni ni nani mkuu, mwanga kidogo?
 
I believe it is the best to do. ROSTAM amemtaka Mengi akanushe shutuma. Mengi hatujui anaenda kukubali au kukataa. Lets wait and hear...then tukutane hapa hapa kwa mawazo na discussions. Huu ndio uhuru wa habari. Nashangaa mnashangaa kuwa Mengi atakuwa na conference au mnadamu ya kifisadi?
 
siku hizi Rostam na Mengi hawalali hii ndiyo kadhia ya wizi, utapeli, rushwa kubwa kubwa = ufisadi. On my side Rostam ndo mwizi namba 1 Tanzania, yeye ndo king maker wa wizi wa EPA, Richmond na Dowans sasa anaendeleza mpango wake wa kuvuruga nchi.

Mtikila licha ya kula pesa zake alisha tutahadharisha, where are you Mtikila? i think you must be responsible on this...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom