Wanasheria wa Reginald Mengi wakutana na waandishi wa habari na Kumjibu Rostam Aziz

Status
Not open for further replies.
Niende NICO kufanya nini?

Du mkuu! Utapata kujiridhisha na unachokijua na kukiamini au utapata uhakika wa maswali yako yoyote kuhusu Mengi vs NICO!

Mimi nitaendelea kusoma na kuchambua hayo tunayoletewa na wahusika wenyewe.

Kwa nini upoteze muda kuchambua kitu usichokiamini, while unaweza kupata taarifa sahihi NICO.....na unaruhusiwa kufanya hivyo? Kama huwezi, mwombe mwandishi wa habari yeyote akusaidie!

je mengi ni board member wa nico?

Kwa mujibu wa wakili wake, aliresign mwaka 2007 (kama sijakosea)
 
Hili la RA na RM linanifanya niamini kabisa kuwa nchi hii ina mafisadi wengi na ndo maana kila anayethubutu kumsema mwenzake naye anamlipulia la kwake. Si mnakumbuka ya Kk. Hosea wa PCCB, alijaribu kuwakosoa wabunge jinsi wanavyoifisidi nchi hii nao wakamlipua na ufisadi wake wa RICHMOND, nk. Mengi naye (fisadi mwingine) kamgusa R. Aziz naye kamlipua na ufisadi wake.

Na hili ndilo linalomfanya KIKWETE asite kuwashughulikia hawa mafisadi WENZAKE akina ROSTAM, KARAMAGI,nk.ili wasije wakamharibia. Si mnakumbuka hata lile la LOWASA hadi akajiudhuru KIKWETE alisema ni AJALI YA KISIASA!!!

Lakini kwa haya yote yanayotokea ninajifunza kiti kikubwa sana kutoka kwa MZALENDO namba moja wa nchi hii, DK. WILBROAD SLAA kuwa huwenda ndiye mtu safi pekee aliyepo katika nchi hii. otherwise angeisha lipuliwa.

MTU SAFI HAWEZI KUTOKA CCM.
 
Hili la RA na RM linanifanya niamini kabisa kuwa nchi hii ina mafisadi wengi na ndo maana kila anayethubutu kumsema mwenzake naye anamlipulia la kwake. Si mnakumbuka ya Kk. Hosea wa PCCB, alijaribu kuwakosoa wabunge jinsi wanavyoifisidi nchi hii nao wakamlipua na ufisadi wake wa RICHMOND, nk. Mengi naye (fisadi mwingine) kamgusa R. Aziz naye kamlipua na ufisadi wake.

Na hili ndilo linalomfanya KIKWETE asite kuwashughulikia hawa mafisadi WENZAKE akina ROSTAM, KARAMAGI,nk.ili wasije wakamharibia. Si mnakumbuka hata lile la LOWASA hadi akajiudhuru KIKWETE alisema ni AJALI YA KISIASA!!!

Lakini kwa haya yote yanayotokea ninajifunza kitu kikubwa sana kutoka kwa MZALENDO namba moja wa nchi hii, DK. WILBROAD SLAA kuwa huwenda ndiye mtu safi pekee aliyepo katika nchi hii. otherwise angeisha lipuliwa.

MTU SAFI HAWEZI KUTOKA CCM.
 
Mimi naona kuipata familia ya watanzania tulio huru na Tz njema ni kazi sana.
Hawa jamaa wote wametuhumiana ni majambazi sasa sisi tuna tetea nini ? hapa hawa jamaa wakamatwe watiwe lockup.

Harafu atakeyekutwa na kosa anapigwa jela na faini juu,maana hawa wametukanana mbele ya kadamunasi kitu ambacho ni kinyume na sheria ya jamhuri ,kwanza kwa maneno yao waliyotukanana jamhuri inatakiwa iwashitaki.
 
Wakuu,

Naomba mfuatilia mjadala huu kwanza, Mengi's response to Rostam's allegations kisha tunaweza kuunganisha mijadala hii kwa pamoja.

Kikubwa ni kuwa kwenye hizo videos kuna sehemu ambazo kwenye videos za Rostam hazikuonekana nasi tumeziweka ili wadau mjue kuna wenzetu waliuliza maswali mliyouliza na majibu yake mtayasikia toka kwa mheshimiwa Rostam Aziz.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom