Mengi awaponda wanaomwandama

Mambo Jambo

JF-Expert Member
Jul 11, 2008
1,100
81
Mkurugenzi mtendaji wa IPP Bw Reginald Mengi amewaponda Jeshi la Polisi, Takukuru, kamati ndogo ya usalama wa taifa kwa kumuhoji na kumwagiza apeleke ushadi juu ya mapapa aliowataja katika kituo chake cha Tv cha ITV, vile vile amewaponda Sophia Simba kwa kumkejeli kuwa amechemka na Bw Mkuchika kwa kumuita kuwa ni racist, amehoji ni nani yuko juu ya sheria baada ya waziri mkuu kutoa tamko la kwamba mahakama iachiwe ifanye kazi yake.

Habari kwa ufupi.

MJ
 
Huyu jamaa hajakoma kupayuka.
Analo analolitafuta, asubiri tu atalipata.
 
This is an incomplete story, hence unreliable! Maswali mengi mno yanajitokeza: aliongea wapi, ameongea lini, mbona uswahiba na JK uko kwenye title tu lakini hauonekani kwenye body ya story nk.
 
Huyu jamaa hajakoma kupayuka.
Analo analolitafuta, asubiri tu atalipata.

Kabla ya kuanza kumhukumu mtu ulitakiwa kwanza uthibitishe hiyo taarifa angalau kwa kuomba maelezo zaidi kama vile chanzo cha habari na haya maneno mengi aliyasemea wapi.

Ukiangalia habari yenyewe haijatulia maana hajataja source yake.
 
amezungumza haya wapi ?
Taarifa ya habari ya ITV saa mbili jioni leo 31/05/09.Akiwa kijijini kwao Machame.
Jamaa anaujasiri, kama ni wa kulazimisha basi tuone Mama Mipasho(SS) atasemaje sasa.
 
Mkurugenzi mtendaji wa IPP Bw Reginald Mengi amewaponda Jeshi la Polisi, Takukuru, kamati ndogo ya usalama wa taifa kwa kumuhoji na kumwagiza apeleke ushadi juu ya mapapa aliowataja katika kituo chake cha Tv cha ITV, vile vile amewaponda Sophia Simba kwa kumkejeli kuwa amechemka na Bw Mkuchika kwa kumuita kuwa ni racist, amehoji ni nani yuko juu ya sheria baada ya waziri mkuu kutoa tamko la kwamba mahakama iachiwe ifanye kazi yake.

Habari kwa ufupi.

MJ

Mbona kwenye habari hiyo hapo juu hakuna pahala aliposema JK ni rafiki yake mkuu? Ama macho yangu?
 
Wanamchimba tu.....Mengi wa watu...ameshasema hatatoa ushahidi popote zaidi ya court o law
 
Huyu jamaa hajakoma kupayuka.
Analo analolitafuta, asubiri tu atalipata.

Ninyi ndio mnaoipeleka Tz bapaya kwa uwoga wenu. Biblia inasema heri mtu mmoja kufa na wala sio taifa zima kuangamia wewe bado unaendekeza mambo ya kijinga na upumbafu, kwani matatizo/ kifo si ameumbiwa mwanadamu. Mengi sio mjinga kuzungumza bila data. Nchi hii inahitaji ujasiri wa KIPALESTINA NA TAMIL TIGERS wa kuvaa mabomu na kulipuka na watu kama afanyavyo Mhe Mengi
 
amezungumza haya wapi ?
.....kwenye kipindi maalum ITV.
unajua hata sheik Hayha amesema JK ni rafiki yake wa karibu sana,na si mbaya kwa Rais kuwa na marafiki,ila najiuliza Mbona Marehemu Nyerere(R.I.P) hakuwahi kuwa na watu waliojitokeza hadharani na kutangaza urafiki wao kwake??:confused::confused:
 
Mbona kwenye habari hiyo hapo juu hakuna pahala aliposema JK ni rafiki yake mkuu? Ama macho yangu?

Kutokana na taarifa ya ITV, Mheshimiwa Mengi aliutaja urafiki wake na JK katika mstakabali kuwa yeye hamuogopi mtu ila antegemea mambo matatu:-
1. Mwenyiezi Mungu.
2. Rais JK ambaye ni rafiki yake mkubwa (presumably because mpaka sasa JK hajamtaja Mengi kwa jina katika matamshi yake. Lakini katika hotuba yake ya mwezi uliopita alizungumzia juu ya mtu mzima kupayuka payuka mwisho wake atakuja vunjiwa heshima).
3. Wananchi walalahoi ambao wanateseka na ufisadi (hasa ufisadi papa).

Hizi ndio ngao zake zinazomfanya asiwaogope mafisadi. Ameahidi mbele ya kanisa kuendeleza vita.
 
Bazazi,
Wanaoendekeza mambo ya kijinga na upumbavu ni watz, wanao'nga'ngania CCM tuuu, na unafik wao unawapofua mpaka wanashindwa kuona kwa macho ya wazi kuwa kiwalacho ki nguoni mwao. Kelele za ufisadi wanazopiga zinaishia kuwa nyimbo za kuwabembeleza ikifika wakati wa uchaguzi wanawapigia kura haohao mafisadi na kuwarejesha madarakani9(mfano mdogo uchaguzi wa Busanda) Kupiga vita ufisadi hakuhitaji bwabwaja za Mengi ambaye pia huotoa michango kwa chama cha mafisadi, bali kunahitaji ww na watz wenzako kuamua with one voice in ballot box kuwa HATUKITAKI CHAMA CHA MAFISADI. KWISHA HABAR
 
Mengi na yeye kenda jiosha kwao kama walivyofanya wenzie Lowassa na Chenge....bwa ha ha ha ha aaa..
 
... Mzee wa sauti ndogo sauti kubwa!

Kama Phillips vile, do not underestimate. Kama wewe ni wa sauti ya radi, subiri hadi kuwe na mawingu, kama ni wa sauti ya umeme vijijini hutaweza.
 
Last edited by a moderator:
Ushauri nasaha kwa Mzee Mengi Watanzania hatuna haja ya kutaka kujuwa Urafiki wake wa karibu na watokea zamani kwa Rais Kikwete sisi hautusaidiii ni yurafiki wenu na mnajuwana wenyewe au mtajuwana wenyewe kwani Mtaka nyingi nasaba hupata mwingi msiba wahenga walinena. Towa ushahidi Mahakamani wa Mafisadi PAPA nasi tuko Nyuma yako, lakini ikiwa sio kweli umesimama kwa ajili ya Kukashifu wenzako kwa mitizamo ya kiushindani wa Kibiashara basi tarajia kupata laana ya Walalahoi tuliowengi ndani ya Nchi yetu, tumechoka kusikia kila uchao nyimbo hii ya UFISADI Sisi tuliowengi tunasubiri kuona hatuwa dhidi yao zikichukuliwa harakiza kwenda Mahakamani hivi sasa ili haki itendeke na ionekane kuwa inatendeka.
 
Back
Top Bottom