Mengi and new ventures

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
59,188
79,401
Naona mzee bado yuko makini katika ku-hit jackpot sasa si mambo ya lottery bali mambo ya bling...Aika Meku! Endelea kututoa tongotongo!

IPP Resources

IPP Gold

Ila umepunguza speed ya kuandika maovu ya Bulyanhulu na North Mara! :tonguez: sijui media ina uhusiano na biashara zako mpya?
 
mengi ananishangaza mno

yaani wafanyakazi wanakimbia ipp media na kwenda kuajiriwa na wahuni wa clouds
na yeye haoni inavyomvunjia heshima???????
 
Tatizo kubwa la mengi ni utaratibu wa kulipana maslahi ambao
1. Unapata mshahara kulingana na nani alikuleta IPP media
2. Mshahara unakuwa mdogo na posho kiasi kikubwa
3. Kadri unapozidi kukaa IPP kiasi cha posho kinapungua
4. Malipo unapata kwa mafungu mafungu
5. Mengi kila siku anaonekana katika TV akitoa misaada wakati mishahara kwa wafanyakazi wake ni mgogoro
6. Ukabila ni kigezo kimojawapo cha kupata kiwango cha mshahara
 
yaaani

anaonekana hajui hizo details zote sawasawa

yaani soon wakenya wataingia kwenye soko la media tz
na wataasomba all the best emloyeees...........
 
Dalili zimeshaonekana gazeti la mwananchi linampelekesha puta, NIPASHE wako nyuma ya Mwananchi kimauzo na lina wana habari wazuri
 
mengi ananishangaza mno

yaani wafanyakazi wanakimbia ipp media na kwenda kuajiriwa na wahuni wa clouds
na yeye haoni inavyomvunjia heshima???????
hayo magazeti na televisions lazma zijiuze...au unataka atoe fedha kwingine kulipa mishahara kama TBC na dailynews? Kuhimili ushindani inapaswa wafanyakazi wa haya mashirika nao wajitume! maana sitashangaa kama atauza haya makampuni na kufanya kitu kingine kama hayaleti tija maana ana hulka ya biashara haswa!
 
Tatizo kubwa la mengi ni utaratibu wa kulipana maslahi ambao
1. Unapata mshahara kulingana na nani alikuleta IPP media
2. Mshahara unakuwa mdogo na posho kiasi kikubwa
3. Kadri unapozidi kukaa IPP kiasi cha posho kinapungua
4. Malipo unapata kwa mafungu mafungu
5. Mengi kila siku anaonekana katika TV akitoa misaada wakati mishahara kwa wafanyakazi wake ni mgogoro
6. Ukabila ni kigezo kimojawapo cha kupata kiwango cha mshahara

Kwenye 'red' wafanya biashara karibu wote + wahindi etc ndivyo tunavyofanya hiyo inatuokoa mambo mengi sana ya kodi na pale mfanyakazi anapoondoka kwenye kampuni kwanjia yoyote(kuacha, kustaafu, kufa n.k)
Pia hata wewe leo hii ukimiliki biashara utafanya hivyo hivyo wala usidanganyike ila ukiwa mwajiliwa utakuwa na mtazamo tofauti
 
Back
Top Bottom