Asante sana Mkuu Shalom,911,
Thanks kwa kumweleza ukweli gembe anaye someshwa na fisadi(bado hajakana) ngoja niweke hapa nini alisema katika hizo link ulizo weka hapo juu ili iwe rahisi kwa watu kuunganisha chuki yake kuprove kuwa ukifadhiliwa na fisadi kweli lazima tu umchukie mengi.
Mengi anachukia mafisadi
Mafisadi wanamsomesha gembe
Gembe atamchukia mengi ( hii itatokea automatic kama ulivyokili)
Sasa soma maneno ya gembe hapo chini kutoka kwenye kinywa chake
"Ndiyo mana huwa simpendi Mengi na nitasimamia hapo hapo...Mzee huyu anajidai ni msaada kwa watanzania ila hana chochote" na hiyo nyingine unasema "Inaezekana Mengi akawa hana kosa ila Mie Personally simpendi Mengi.Hivyo ndivyo nilivyo"
Gembe ushindwe na ulegee tuachie Mengi wetu bwana
sasa ndugu Gembe usitake kutupotezea muda wetu wa kupambana na mafisadi kwa chuki zako binafsi dhidi ya Mengi!
Labda ukitaka tuendelee kuchangia mada yako hii tunaomba uweke wazi ni sababu zipi binafsi zinazo kufanya umchukie Mengi kama ulivo sema hapo juu??Vinginevyo usitake kuuza chuki zako kwa mengi kwa watu wengine tusio husika!
Binafsi namfagilia sana Mengi hasa kwa jitihada zake na misaada yake mikubwa anayo itoa kwa jamii mbali mbali ya watanzania wenye uhitaji. Angekuwa mbinafsi naye angeenda jenga mahekalu ushelisheli kama akina yahe....