Mengi anatarajiwa kufahamu watendaji wake wote kwa majina?

Kudadadeki

Member
Oct 7, 2010
70
3
Last Thursday, kulikuwa na kipindi maalumu kilichorushwa na ITV majira ya saa 3- 4.30 usiku. Walikuwa wanaonyesha "dhifa" ya chakula cha mchana iliyoandaliwa na Bwana Mengi kwa walemavu pale Diamond Jubilee.

Kituko ni pale Mengi alipokuwa anawa introduce staff wa IPP ambao wange serve chakula. Alisema yeye angeongoza na akachagua meza ambayo ange serve. Then, aliwa introduce Joyce Mhavile na Mshana. Ilipofika zamu ya Deo Rweyunga, akawa introduced na Mengi kwa jina la Theo, na kuwa ni mtangazaji wa vipindi vya michezo (wakati Deo ni Mkurugenzi wa Capital Radio.....).

Sasa, inakuweje Mengi Hamfahamu Director wake ? Alichaguliwa na nani ? Huwa hawakutani kwenye management meetings ?

Am so puzzled.....
 
wewe hujawahi kusahauna kumtamani mke wa mtu ilhali una wako? usahaulifu ni kiti huwa kinatokea
 
It happens mkuu sometimes mind huwa inkwenda blank.... unaweza hata ukasahau mchana ulikula chakula gani...., ila huwa inatokea kwa muda mfupi ukifikilia vizuri unakumbuka.... hii inatokea especially ukiwa tired... mi ninajua watu wengi wanachanganya majina ya watoto wao
 
Kitu cha kawaida sana mkuu,mi huwa nasahau jina la mtoto wangu kabisaaa.na huwa inatokea tu mara nyingi
 
Deo sio mkurugenzi wa capital tv mkurugenzi ni Abdallah Mwaipaya.
Deo ni mkurugenzi msaidizi wa Joyce so anamonitor na radio zote na itv pia.
 
Mengi siyo mtendaji wa kila siku..watendaji ni Joyce ... hana sababu ya kuwajua ndani nje wafanyakazi wa biashara zake.
 
Kwani Mengi si mswahili tuuu, na sifa kubwa ya mswahili kusahau/kudharau.hatujali I see! sijui kwanini!
 
Mengi ni Myenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, shughuli zake za kila siku hazihusiani moja kwa moja na Deo ingekuwa MD Mhavile kasahau jina la Deo na cheo chake ingekuwa issue. Fikiria kabla ya kuanzisha hoja za kibabu wee.
 
Kama jana shemeji alisahau jina la bro akamuita jina langu wakiwa bedroom lakini bro akatake easy
 
Nivizuri kuwajua watendaji wake wakuu ila halazimiki maana ye si mtendaji wa kila siku na inategemea level ya madaraka alowapa watendaji wake hivyo si lazima pia ajue kila mtu anapopandishwa cheo.
 
Jamani mnazidi kuboronga mkurugenzi wa capital yvone tv msemembo, ila Mengi alikuwa enzi zake anawapenda saaaan wasoma habari ITV kama John Ngayhoma, Suzan Mungy Betty Mkwasa Laura George hao subutuuu!!!!! hata umkurupushe vipi atakutajia
 
Back
Top Bottom