MENGI aamua kuwabana wazushi

Hivi vita vya mafisadi inatakiwa kuwe na uangalifu mkubwa, ama itakuwa fisadi ndani ya ma fisadi. Mfumwa kupinga ufisadi, haimaanishi si fisadi. Hivyo kama kuna tatizo atafanya Mengi, tuangalie tatizo, na tusifikie tu uamuzi sababu anapiga vita mafisadi wanamzushia. Jaji Warioba baada ya kuanza kusemwa kuwa naye atafikishwa mahakamani, watu wakasema kuwa sababu alikuwa anawasema mafisadi. Sendeka kampiga mtu ngumi, watu wanasema anasukiwa mbinu sababu yuko katika listi ya wale wanaopinga ufisadi. Sasa wapinga ufisadi wakikosa watu wasiseme?.
 
Ndugu Mengi pole sana kwa kuandamwa na mafisadi,uwe imara tuko nyuma yako mafisadi yanatatapa kwa kuwa ni wafa maji.Tuwabane haji pumzi ya mwisho,wakitoa kashfa zilizo wazi tuwashitaki ili tuchukue sehemu ya fedha zao zinazowawasha.Najua wabaya wako ni Rostam,Manji,Lowassa na wengine.Hawa ni wezi wachache wanatapatapa kwa kuogopa vivuli vyao kwa wizi mkubwa walioufanya na wamegundulika.
 
Hivi vita vya mafisadi inatakiwa kuwe na uangalifu mkubwa, ama itakuwa fisadi ndani ya ma fisadi. Mfumwa kupinga ufisadi, haimaanishi si fisadi. Hivyo kama kuna tatizo atafanya Mengi, tuangalie tatizo, na tusifikie tu uamuzi sababu anapiga vita mafisadi wanamzushia. Jaji Warioba baada ya kuanza kusemwa kuwa naye atafikishwa mahakamani, watu wakasema kuwa sababu alikuwa anawasema mafisadi. Sendeka kampiga mtu ngumi, watu wanasema anasukiwa mbinu sababu yuko katika listi ya wale wanaopinga ufisadi. Sasa wapinga ufisadi wakikosa watu wasiseme?.

Uko sahihi kaka, huwezi kufanya makosa ukaachwa eti kwa sababu unapiga vita ufisadi, lakini hoja ni pale watu wanapokuzushia. Suala la mradi wa UNAIDS haliwezi kuwa siri na wenyewe UN wameshasema hawajawahi kutoa fedha kwa Mengi na hawaitambui taasisi inayoitwa Mengi. Pia NBC wamesema hawana hiyo akaunti na slee ilikuwa imeghushiwa, hizo ni taarifa za siku nyingi na zilikuwa public, kwamba watu wametengeneza makaratasi wakaenda kwa Manji kumwambia kwamba wamempata Mengi kwa kupata doc zake za kuwa ni fisadi amekula fedha za Ukimwi wakavuta mamilioni yeye Manji akawapa waandishi waandike. Mengi akazinasa doc akaenda hewani kwamba kuna nyaraka zinatembezwa na yeye hazitambui na hajawahi kuwa na akaunti wala NGO ya jina hilo. Msajili wa NGO amesema hatambui wala hajawahi kuona hiyo NGO sassa TAZAMA leo wanaibuka na kumshambulia Mengi na hadithi ya kutunga na zipo hadithi nyingi tu za kutunga kwani ipo doc nyingine kama hiyo imetengenezwa na imeshaanza kuandikwa na baadhi ya magazeti. Sasa hapo ujue kuna ujinga mwingi sana.

Kuhusu Sendeka kumpiga mtu, hata mimi sipendi mtu mbabe japo JK alipomtangaza Wasira kuwa Waziri, alimuita Tyson na jina hilo alilipata kwa kumpiga mtu ngumi. TAFAKARI. Lakini tujiulize, na malengo yamewekwa bayana kwamba sasa Millya anataka Sendeka ajiuzulu Ubunge, hapo ndio ujue hoja si ugomvi hoja ni ubunge na sasa wote, kina Kilango, Sitta, Kwakyembe, Selelii, wametengewa mabilioni ya fedha wasirudi bungeni 2010, je, ni kwa maslahi ya nani? Hapa JF tuko tayari kwa hilo? Tuko upande gani? TAFAKARI
 
Kama hiyo NGO haipo na wala hizo pesa hazijawahi kuombwa na B/Statement ni ya kughushi, So what the F&#*@&&.
Wataandika sana upumbavu wao lakini wakumbuke Tanzania ya 1922 si ya leo tena. Watanzania wa leo wana uelewa zaidi kuliko upumbavu wanaofanya hao waandishi wa TAZAMA na mabwana zao. Ndiyo, nimesema MABWANA ZAO.
 
Kilichofanyika kwa MWANAHALISI kifanyike na kwa TAZAMA pia.
Chilligati alidai kuwa habari ya MWANAHALISI miezi kadhaa iliyopita ilikuwa ni ya kuhatarisha amani, hivyo akachukuwa uamuzi wa kulifungia. Sasa hii habari ya TAZAMA si kuhatarisha amani na kuleta chuki kati ya waathirika wa HIV na Bw. Mengi??
Chilligati tumia vigezo vilevile vilivyotumika kwa MWANAHALISI.
 
Kuhusu Sendeka kumpiga mtu, hata mimi sipendi mtu mbabe japo JK alipomtangaza Wasira kuwa Waziri, alimuita Tyson na jina hilo alilipata kwa kumpiga mtu ngumi. TAFAKARI. Lakini tujiulize, na malengo yamewekwa bayana kwamba sasa Millya anataka Sendeka ajiuzulu Ubunge, hapo ndio ujue hoja si ugomvi hoja ni ubunge na sasa wote, kina Kilango, Sitta, Kwakyembe, Selelii, wametengewa mabilioni ya fedha wasirudi bungeni 2010, je, ni kwa maslahi ya nani? Hapa JF tuko tayari kwa hilo? Tuko upande gani? TAFAKARI

Watenge Bilioni, trilioni, Zilioni wanahangaika bure. Watanzania wameshawajua na kuwatambua mashujaa wanaopigania haki zao. Kuwa mbunge si lazima ugombee kupitia SISIEMU, na haki si lazima ipatikane kupitia Chama Cha Mafisadi. Kilango, Seleli, Mwakyembe hata wakigombea kupitia ZANU-PF watapita tu. Aaah Did I say ZANU-PF, kwa Mugabe!! Stop jocking man.
Anyway, nilipotaja ZANU-PF wanaJF naamini mnaelewa nilikuwa naamanisha kuwa hata wakigombea kupitia kwenye chama Kichanga, watashinda kwa sababu wananchi wanaelewa wazi kuwa They fight for the people.
 
Back
Top Bottom