Meneja/Afisa utumishi!!!

Akili Unazo!

JF-Expert Member
Feb 18, 2009
3,930
4,893
wakuu naomba mnisaidie majukumu ya hawa watu wawili juu ya wafanyakazi na mwenye kampuni/firm fulani.

Nimeileta hii maada kwa kuwa kila kunapotokea kuna mgomo kampuni fulani utakuta/kusikia chanzo ni hawa watu wawili.

Je hii ni kwa sababu wafanyakazi hawajui majukumu husika ya hawa watu au ni kwakuwa hawa watu hawajui wanatakiwa kuwatendea nini wafanyakazi zaidi ya kuwaadhibu na kuwapa onyo kwa ajili ya kutetea chakula/posho yao.
 
Back
Top Bottom