Men perfume

Tshs 4,500/- tu, nakula kitu cha CHASTITY au ROYALE na siku inaenda!!

Perfume sio issue sana kama mwili haunuki ha ha ha!!
Acha mambo ya kizamani,watu hawapaki perfume kwakuwa wananuka,wanachohitaji ni kunukia.
 
...HIvi ONE MAN SHOW na ROYAL MIRAGE zimeishia wapi? Binafsi kuna wakati nilikuwa nikiitumia sana hii Royal Mirage. Imetulia sana na kuna siku moja moja pia huwa najikumbushia...!
Zipo mkuu kuna mahali nimezikuta wanauza 15,000/=,ila hata mimi nazikubali ni nzuri ingawa inabidi uwe makini kuna fake na original ukienda kichwakichwa utalia.
 
Huwezi kuamini ila mie ninazo PERFUMES nzuri sana za KIKE na KIUME.

Kwa bei hiyo utapata Perfume nzuri kabisa MADE IN EUROPEAN UNION na tuna kibali kabisa kutoka kiwandani na unaweza hata kuwaandikia baadaye kuhakikisha kama kweli sisi ni WASAMBAZAJI WAO kwa Tanzania.

Ngoja nikuwekee Tangazo langu hapo chini:

Dada yangu anauza Perfumes kwa sasa. Nashukuru Mungu kuwa wote wanaozijaribu, wananunua palepale. Wengine wananunulia hadi ndugu zao au rafiki zao. Bei zetu za juu ni Sh.30,000 kwa chupa ya Ml.100 kama unataka tukuletee (Kwa Dsm tu), Sh.25,000 ukija kwetu au maeneo ya mjini, na Sh.20,000 kwa bei ya jumla. Bei ya jumla tunaanzia chupa 10 kwenda juu (+ gharama za usafiri). Zilizobaki nyingine ni chini ya hiyo bei. Ukiangalia hapo, utaona kuwa ni bei nzuri sana kwa Perfumes ambazo ni Original na zimetengenezwa ndani ya European Union.

Karibuni wenye maduka, wauzaji rejareja ofisini na watumiaji wa kawaida. Kuna baadhi tayari zimeisha, hivyo wahi ujipatie kwani kwa sasa ni Promotion Price. Mzigo utakaofuata, bei kidogo zitapanda. Tuwasiliane +255717283199 (Neema)

kaka kwa sasa niko Arusha lakini mwezi wa 10 nitakuwa Dar, je ninawezaje kufanikisha?
 
Simu ipo hapo na kama utakwama basi nijulishe ntakuunganisha kwa Sister mwingine na watakupatia.

Kwa sasa nauza za bei nafuu tu ila kama utataka za bei juu basi nipe muda hadi mwakani ndipo ntajiweka sawa na watakaokuwa wanataka za bei ya juu, basi ntawaletea pia.

Ila hizo za bei juu, huwa naagiza kutoka USA. Nafikiria kuwa nanunua kutoka UK ila tatizo la UK, bidhaa zao chache si sawa za USA ambako ndipo hata HQ ya COTY na BOSS zipo.

Kama utataka nyingi sana, basi twaweza kuzungumza na tukafanya utaratibu wa kuagiza moja kwa moja kutoka kwa wasambazaji wakubwa huko SPAIN ila tu tatizo lao wale, wanataka kiasi cha chini ununue Euro 12,000. Chini ya hapo hata usiwasumbue. Na unavyokuwa na kiasi kikubwa hicho, inabidi ufanye usajili kwenye Ukaguzi wa Madawa, Vipodozi na Vyakula ambapo napo bei si nzuri sana kwa kila aina ya Perfume.
kaka kwa sasa niko Arusha lakini mwezi wa 10 nitakuwa Dar, je ninawezaje kufanikisha?
 
Wakuu Perfume Original, Zinagundulika Vp?
Maana Perfume Zangu Zote,zinakaa Mwilini Masaa Mawili 2!
 
Mkuu Majigo,
Njia mojawapo umeshaifahamu kuwa ukipuliza basi inakaa muda mfupi na hapo ujuwe umenunua bandia.

Bei yake pia inaweza kusema mengi. Wee manukato yanayouzwa $100 USA, mtu anakuuzia Tanzania kwa bei ya Tsh 100,000 basi hiyo ni feki au kaiba huyo.

Wakati mwingine ni ngumu sana kujua feki na kweli. Ila angalia unapopuliza (spray) perfume, ile feki inatoka kama maji maji na yenyewe Original inatoka kama Mvuke. Inakuwa hivyo kwa sababu hawa wa Feki wanatumia vizibo vya bei powa na wale origininal hutumia vizibo vizuri ila bei kubwa.

Moja ya kinachosababisha bei kupanda huwa ni Chupa yake na box.

Mengine jaribu ku-Google kwenye Internet unaweza kupata majibu yake.


Wakuu Perfume Original, Zinagundulika Vp?
Maana Perfume Zangu Zote,zinakaa Mwilini Masaa Mawili 2!
 
How to differentiate original and fake perfume

Hello friends and customers, I have been receiving lots of question on how to differentiate original and fake designer perfume. As we already know, there's a lot of fake designer perfume sold in the market. Of course, we can easily identify the cheap RM10-RM20 perfume as fake. By the price itself, automatically we will know that the perfume is Fake. So when you come to a store that selling designer perfume below RM50, please don't ask the seller ‘clever' question "Is this original perfume?". They will just smile at you or maybe telling you lie straight at your face "yes its original" :p

But nowadays, new level of fake designer perfume has entered the market. Normally called ‘Gred A or Gred AA' perfume. This Gred AA perfume has almost everything it takes to be called ‘Original perfume'. The packaging, the bottle, and the scent are almost same. But of course if its falls under ‘fake' category, it can never beat the long lasting and scent that original designer perfume have. I believe most perfume-mania can identify if the perfume they bought Is original or fake. So the information that I'm about to share here is: How we as consumer can identify the perfume sold is original or fake.

1. The Packaging
I have to skip packaging because most of my perfume doesn't have packaging. We normally import our perfume without box and bundled is as loose item. We can save a lot on import duty by doing this. So if we manage to save on the duty, we can offer you a cheaper price to enjoy our perfume
p/s: don't worry, we give you the perfume in nice velvet pouch. This is good enough to protect your perfume bottle when you want to bring the bottle with you all the time.

However, you can easily know the perfume is fake if:

  • They misspelled the perfume name on the box. How can an exclusive designer perfumes accidently misspelled their brand on their product? Remember, designer perfumes are luxury item, this kind of mistakes will never happens.
  • The wrapping is not perfect, original perfume should have its plastic cellophane wrap neatly around the box.

2. The Bottles

  • You should always see the country of origin at plastic stickers under the bottles (eg: Made in France, Made in USA). Note that most fake perfume will not put country of origin. But..Be careful!! I have seen some Gred AA perfume also print country of origins under the bottles. But don't worry there are still few way to check if the perfume is original. Continue reading..
  • Original perfume will have high quality bottles, you can know this by the smooth and fine surface while fake perfume is a bit rough and contoured. The brand name printed on the bottle is normally embossed and can't be easily erased.
  • The cap of original perfume should fit snugly and stay in place if you flip the bottle upside down. Most of fakes perfume's caps do not fit nicely with its bottle. You can know this by trying to open and close the cap.

3. The content

  • Some people will tell you to shake the bottle to see if the perfume is original. What should we see actually? OK, for original perfume, the bubbles that appear when you shake the bottle should disappear in a span of approximately 10-15 seconds. However, fake perfume's bubbles will immediately disappear after you shake it.
  • The color should be consistent. If you are a die-hard fan of certain perfume, you should know its original color.

4. The scent

  • Original perfume will have 3 layers: Top notes, middle notes, and base notes. That's why you can smell the perfume differently when you first pray it, later you will smell the middle notes and finally you can smell the base notes. However, fake perfume may smell familiar but have a flat, one-dimensional quality to them like they are missing an entire layer of notes.
  • Original perfume should last at least 2-3 hour or more when you wear it. Fakes will only last less than 1 hour.
  • Original perfume should last more than 24hour when sprayed on paper (EDP), while EDT will last at least 24 hour.
Hope I have provided you enough information for you to survive in buying original perfume
You can always trust sellers who have a return policy. If they are selling original perfume, they should be confident of their product. Imagine if fake perfume-seller having a return policy..i think they will end-up spending their time to exchange all perfume that they have sold to customer
If you think the information is not enough, you can always google around in the internet to study more, maybe you will end-up to be perfume experts one day,hehe.

Enjoy your perfumes!!

Regards,
PerfumeMania.Shop


From: https://www.facebook.com/notes/perf...?comment_id=3456141&offset=0&total_comments=3
 
kwa hiyo pesa nunua tu sabuni ya dettol yenye manukato mazuri uwe unapaka. au nunu mafuta ya YU au SHANTA yatakusaidia.( nakutania nudgu usi mind)

zipo perfume za rasasi kwa hiyo bei zinaweza kukutoa. kwa masaa 12-24 harufu inakuwepo kuwepo si haba nawe unaonekana una utuli mwilini. otherwise nunua perfume zetu za 200,000 mpaka 500,000 hizi si mbaya sana.
 
kwa hiyo pesa nunua tu sabuni ya dettol yenye manukato mazuri uwe unapaka. au nunu mafuta ya YU au SHANTA yatakusaidia.( nakutania nudgu usi mind)

zipo perfume za rasasi kwa hiyo bei zinaweza kukutoa. kwa masaa 12-24 harufu inakuwepo kuwepo si haba nawe unaonekana una utuli mwilini. otherwise nunua perfume zetu za 200,000 mpaka 500,000 hizi si mbaya sana.
Ninunue perfume ya laki tano ili iweje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
matumizi tu ndugu yangu wala si gharama sana. mi huwa nanunua za 600,000 mpa mil 1. napenda perfume nikiwa nimeishiwa ndo nanunua hizo za 400,000. ni uevi tu kama wewe unavyotumia simu ya mil 1.5 wakati yangu mimi ni 900,000 tu. au unavyovaa saa ya 700,000 - 1,000,000. wakati mimi yangu ni ya bei rahis 570,000 tu. kupanga ni kuchagua.

Ninunue perfume ya laki tano ili iweje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
matumizi tu ndugu yangu wala si gharama sana. mi huwa nanunua za 600,000 mpa mil 1. napenda perfume nikiwa nimeishiwa ndo nanunua hizo za 400,000. ni uevi tu kama wewe unavyotumia simu ya mil 1.5 wakati yangu mimi ni 900,000 tu. au unavyovaa saa ya 700,000 - 1,000,000. wakati mimi yangu ni ya bei rahis 570,000 tu. kupanga ni kuchagua.
hahahahaha GuDume kupanga ni kichagua
 
kwa hiyo pesa nunua tu sabuni ya dettol yenye manukato mazuri uwe unapaka. au nunu mafuta ya YU au SHANTA yatakusaidia.( nakutania nudgu usi mind)

zipo perfume za rasasi kwa hiyo bei zinaweza kukutoa. kwa masaa 12-24 harufu inakuwepo kuwepo si haba nawe unaonekana una utuli mwilini. otherwise nunua perfume zetu za 200,000 mpaka 500,000 hizi si mbaya sana.
swali sept 19 2012
jibu Aug 29 2017
kazi kweli kweli :D:D:D:D:D
 
ha ha ha ha.... si ajabu hata aliyeuliza alishafariki... umenifanya nicheke sana. anyway akija kusoma uzi wake tena atapata msaada.
sema kufukua nyuzi kama hizi sometimes inasaidia tunajifunza vitu
sikuwahi kuuona kabla huu uzi ila nimejifunza kitu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom