Men perfume

Huwezi kuamini ila mie ninazo PERFUMES nzuri sana za KIKE na KIUME.

Kwa bei hiyo utapata Perfume nzuri kabisa MADE IN EUROPEAN UNION na tuna kibali kabisa kutoka kiwandani na unaweza hata kuwaandikia baadaye kuhakikisha kama kweli sisi ni WASAMBAZAJI WAO kwa Tanzania.

Ngoja nikuwekee Tangazo langu hapo chini:

Dada yangu anauza Perfumes kwa sasa. Nashukuru Mungu kuwa wote wanaozijaribu, wananunua palepale. Wengine wananunulia hadi ndugu zao au rafiki zao. Bei zetu za juu ni Sh.30,000 kwa chupa ya Ml.100 kama unataka tukuletee (Kwa Dsm tu), Sh.25,000 ukija kwetu au maeneo ya mjini, na Sh.20,000 kwa bei ya jumla. Bei ya jumla tunaanzia chupa 10 kwenda juu (+ gharama za usafiri). Zilizobaki nyingine ni chini ya hiyo bei. Ukiangalia hapo, utaona kuwa ni bei nzuri sana kwa Perfumes ambazo ni Original na zimetengenezwa ndani ya European Union.

Karibuni wenye maduka, wauzaji rejareja ofisini na watumiaji wa kawaida. Kuna baadhi tayari zimeisha, hivyo wahi ujipatie kwani kwa sasa ni Promotion Price. Mzigo utakaofuata, bei kidogo zitapanda. Tuwasiliane +255717283199 (Neema)
 
Kama upo Mwanza, basi zinapatika Mtaa wa Uhuru karibu na daraja la Wakoma.

Ukifika hapo, uliza dukani kwa Mzee Jabir Shikamkono na watakuelekeza.

Pichani ni baadhi ya Perfumes zangu (BI-ES PERFUMES) ambazo zipo tayari Mwanza.

Ni bidhaa safi sana na yenye ubora wa EU Standard. Ninauza bei rahisi kwa sababu nachukua kiwandani.

10497_10150972419766876_71120292_n.jpg
 
Ningelikushauri uchukue PORTO DI CAPRI au EGO Platinum maana zimetulia sana. Utajipulizia na ninakuhakikishia kuwa utashinda nayo siku nzima. Kila aliyejaribu aliipenda na kurudi tena.

Ninakaribisha wanaotaka kununua kwa wingi kwenda kuuza rejareja. Bei zetu zipo wazi ili kuwapunguzia watu usumbufu wa simu au email. Wahi wahi uchukue kwa bei ya PROMOTION maana huko mbeleni zitapanda kidogo......
 
Huwezi kuamini ila mie ninazo PERFUMES nzuri sana za KIKE na KIUME.

Kwa bei hiyo utapata Perfume nzuri kabisa MADE IN EUROPEAN UNION na tuna kibali kabisa kutoka kiwandani na unaweza hata kuwaandikia baadaye kuhakikisha kama kweli sisi ni WASAMBAZAJI WAO kwa Tanzania.

Ngoja nikuwekee Tangazo langu hapo chini:

Dada yangu anauza Perfumes kwa sasa. Nashukuru Mungu kuwa wote wanaozijaribu, wananunua palepale. Wengine wananunulia hadi ndugu zao au rafiki zao. Bei zetu za juu ni Sh.30,000 kwa chupa ya Ml.100 kama unataka tukuletee (Kwa Dsm tu), Sh.25,000 ukija kwetu au maeneo ya mjini, na Sh.20,000 kwa bei ya jumla. Bei ya jumla tunaanzia chupa 10 kwenda juu (+ gharama za usafiri). Zilizobaki nyingine ni chini ya hiyo bei. Ukiangalia hapo, utaona kuwa ni bei nzuri sana kwa Perfumes ambazo ni Original na zimetengenezwa ndani ya European Union.

Karibuni wenye maduka, wauzaji rejareja ofisini na watumiaji wa kawaida. Kuna baadhi tayari zimeisha, hivyo wahi ujipatie kwani kwa sasa ni Promotion Price. Mzigo utakaofuata, bei kidogo zitapanda. Tuwasiliane +255717283199 (Neema)

Tangazo halijitoshelezi, weka brand name ya hizo perfume...hapo ndio tutajua kwa hiyo bei uliyoitaja ni sawa au lah!
 
Mkuu, brand name baadhi zipo hapo kwenye PICHA.

Ni kiwanda ambacho kipo Czech Republic na Poland ila mafuta ya Perfume (Oil Perfumes) wananunulia kutoka Ufaransa maana huko ndipo wakali wa hizi bidhaa.

Kwenye biashara ya Perfumes, watu huwa wanalipa hela nyingi sana kwenye Chupa, Matangazo ya biashara, kodi, vibali, usafiri na takataka nyingine ndogondogo.
Bei hasa ya yale maji ya ndani hata iwe perfume ya ukali gani, unakuta haizidi US $ 15 na ikipanda sana basi $20.

Sasa hapo ndipo wanakuja watu na viwanda vidogo na kutengeneza perfumes za bei nafuu na zenye ubora mzuri tu. Ukiona jina unaweza kudhani ni ya ovyo ila ukishaitumia, basi utarudi tena.

Kama wewe unaweza kununua hizo za Malaki, basi hizi hazikufai. Ila kama uwezo wako mdogo na hutaki yale Madude feki ya China ambayo ukitumia waweza hata kupata ugonjwa wa ngozi, basi hizi bidhaa zangu ni jawabu lako. Pia ni nzuri sana kumnunulia mtu zawadi.

Kiwanda ninacho nunulia, wana bidhaa nyingi za watoto ambazo zimetengenezwa kwa kibali kutoka Disney.

247651485-5586184-700_700.jpg
151.jpg

Hizi bidhaa ni mpya kwa Tanzania na hivyo huwezi kusema ulinganishe na sehemu nyingine. Ila kama utataka kwenye minada ya kimataifa basi waweza kuziona. Ila hizo hapo juu, ambazo kwangu zinauzwa kwa bei ya 20,000 jumla na 25,000 reja reja kwa chupa za 50Ml, unaweza kuziona kwenye Internet bei zake maana hata USA, Canada, Australia wanaziuza .

Kwa kawaida ya biashara, unakuta viwanda kama hivi ndiyo huwatengenezea hata hata wale wakali perfumes zao. Kwa mfanio nilishangaa kukuta kiwanda cha Avon cosmetics kipo hapa Poland kwa baadhi ya bidhaa zao. Na jamaa wakasema ukitaka tukutengenezee bidhaa zako, wanakutengenezea na wanaziita kwa mfano WATU8.

Sijui kama ntakuwa nimekupa jibu la kutosha maana bidhaa hizi inabidi uzione na ndiyo utatoa uamuzi wako.
Tangazo halijitoshelezi, weka brand name ya hizo perfume...hapo ndio tutajua kwa hiyo bei uliyoitaja ni sawa au lah!
 
Kwa hiyo hela ninakuhakikishia utapa bidhaa nzuri sana kwangu. Ila usitegemee kupata BOSS au J'adore maana hawa jamaa hutumie zile OIL PERFUMES za bei juu kidogo ukilinganisha na hizi zangu.

Ila bei hupanda kwa sababu nilizozisema hapo juu. Angalia chupa kama hii, chupa pekee ni $20.

7587.jpg

Kwa hiyo hela labda ununue deodorant!!!
 
...HIvi ONE MAN SHOW na ROYAL MIRAGE zimeishia wapi? Binafsi kuna wakati nilikuwa nikiitumia sana hii Royal Mirage. Imetulia sana na kuna siku moja moja pia huwa najikumbushia...!
 
watu8, baadhi ya bidhaa za KIUME zilizopo ni hizi hapa chini. Nasema baadhi kwa sababu siyo zito zipo.

Ego
eau de toilette
100ml

Ego Bambus
eau de toilette
100ml

Ego Platinum
eau de toilette
100ml

Feel OK
eau de toilette
100 ml

Porto di Capri
eau de toilette
100ml

Red Fire
eau de toilette
100ml

Royal Brand Blue
eau de toilette
100ml

Royal Brand Gold
eau de toilette
100ml

Brossi
eau de toilette
100ml

Brossi Blue
eau de toilette
100 ml

Cooler
eau de toilette
100ml

Crystal
eau de toilette
100ml

Dollar
eau de toilette
100ml

Dynamix Black
eau de toilette
90ml

Dynamix Blue
eau de toilette
90ml

Dynamix Silver
eau de toilette
90ml

Last edited by a moderator:
Kwa hiyo hela ninakuhakikishia utapa bidhaa nzuri sana kwangu. Ila usitegemee kupata BOSS au J'adore maana hawa jamaa hutumie zile OIL PERFUMES za bei juu kidogo ukilinganisha na hizi zangu.

Ila bei hupanda kwa sababu nilizozisema hapo juu. Angalia chupa kama hii, chupa pekee ni $20.

7587.jpg

mkuu i have been luking for this cologne kwenye hiyo picha, wapi nitaweza kuipata kwa Dar es Salaam? maana hata jina lake nilikuwa nimelisahau
 
Mkuu kwa kweli sifahamu. Kwa sasa mie hata Dar sipo na nimeshakuwa si mwenyeji wa hapo tena.

Bahati mbaya sitegemei kuja Dar hivi karibuni maana ningelikuletea. Kuzichanganya na hizi inakuwa ngumu maana ukituma Perfumes kwa makampuni kama DHL, wanasumbua sana mpakani. Ndiyo maana makampuni mengi wanagoma kutuma kwani sheria za hawa watu wanaodhibiti Madawa, Vipodozi na Vyakula, wamekuwa wakali sana.

Tafuta mtu wa USA anayeshuka hivi karibuni Dar akuletee maana huko bei ni nafuu. Pana wakati nilizileta hizi hapo Dar ila hadi leo sijui ziliishia wapi. Biashara na ndugu kasheshe kweli na wala siwezi kudai.

Kuwa mwangalifu na FEKI maana Wanazifyatua kama Original.....
mkuu i have been luking for this cologne kwenye hiyo picha, wapi nitaweza kuipata kwa Dar es Salaam? maana hata jina lake nilikuwa nimelisahau
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom