Men have less pull towards marriage than women why?

afraid to loose their freedom
think marriage put them in chain
afraid of responsibility

Mawazo yangu tu!
 
Gyal age ya kushain btn 17-25 hapo ndio kigoli wangu wangu so anajitahidi ndani ya umri huo ashajizolea mtu wa kumpa ugali kwa upande wa mwanaume ng'ombe azeeki maini.

:nono::nono: kakudanganya nani mbona tuko wa 40+ na mambo swafi tu....
 
wakati mwingine unaona kwa nn ujibebeshe mzigo! km unaweza pata kila kitu bila kuvuja jasho? ndo maana mizuka ya kuoaga inapunguaga!!!!
huu ni mtazamo wangu tu
 
afraid to loose their freedom
think marriage put them in chain
afraid of responsibility

Mawazo yangu tu!

For me its the first one...Men enjoy their freedom but once you're tied to a marriage dooh inakua issue...ukitaka kutoka unaulizwa unatoka unaenda wapi, kufanya nini na utarudi saa ngapi..i hate such questions...guys like to hang around with their boys watch football drink some beer talk and staring at girls passing by and enjoy life. that's what men do, it aint no big deal is it?? sio kuwekeshwa ndani kila wakati....:A S wink:
 
je na yeye mkeo akitaka kutoka unamuuliza pia anaenda wapi?
 
Kuoa badae sana jaman, maswali ya bi mkubwa tu yalinifanya nihame home, mtu unafanya kazi but ukichelewa kurud maswali, sasa nahisi kwa wife itakuwa zaidi, acha nile ujana as life is too short he he he, yaani mi hata girlfriend tu maswali yakizidi tunaachana, my car is like kabati siti ya nyuma hata nikitoka job nikapatwa na mzuka wa club ni kiasi cha kutoa jins na raba kwenye siti ya nyuma na kuunga tela he he he, wife mbona kazi anayo kunibadilisha,
 
tODAYS Marriage is not helathier, afraid of loosing happyness. What about quality of those who to be married are they promising the bright future not obvious? we marry because it is human thing,
 
tODAYS Marriage is not healthier, afraid of loosing happyness. What about quality of those who to be married are they promising the bright future not obvious? we marry because it is human thing,
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom