Men Have "Better" Friends...

tete'a'tete

JF-Expert Member
Feb 10, 2010
472
62
Wakuu Mnajifunza nini hapa.............

Friendship among Women:
A woman didn't come home one night.
The next morning she told her husband that she had slept over at a friend's house.
The man called his wife's 10 best friends.
None of them knew anything about it.

Friendship among Men:
A man didn't come home one night.
The next morning he told his wife that he had slept over at a friend's house.
The woman called her husband's 10 best friends.
Eight confirmed that he had slept over, and two said he was still there!
 
Iko safi...!
Lakini wakati mwingine tunateteana hadi kuzidisha, kama hiyo familia ilivyoumbuka!...hapo ni kukaa na kushauriana tu, na kuyamaliza chumbani!
 
Iko safi...!
Lakini wakati mwingine tunateteana hadi kuzidisha, kama hiyo familia ilivyoumbuka!...hapo ni kukaa na kushauriana tu, na kuyamaliza chumbani!

Ila wanawake wakiamua kuchonga uongo hawakamatwi ng'oo! Wanaume uongo hamuuwezi...
 
that tells men are proffesional liers....they know how to cover each other's asses very well...
I wouldnt even bother to ask his friends.. honestly waste of energy and time...
 
Do you think huo ni urafiki au unafiki?hapa inaonesha kuwa wanaume ni waongo by nature wakati wanawake ni wa kweli.Wameeleza ukweli.
 
NANI ASIYEUJUA USHANKU N AKU WA WANAWAKE?
UZANDIKI NA ROHO MBAYA NA GUBU NDIVYO VILIVYO WAJAA.
ASANTE MUNGU KWA HIl JINSIA ULIYONIPA.
HAKIKA MIMI NIMEUMBWA KWA MFANO WAKO.
 
Men don't lie..they joke!
 
wakuu mnajifunza nini hapa.............

friendship among women:
a woman didn't come home one night.
the next morning she told her husband that she had slept over at a friend's house.
the man called his wife's 10 best friends.
none of them knew anything about it.

friendship among men:
a man didn't come home one night.
the next morning he told his wife that he had slept over at a friend's house.
the woman called her husband's 10 best friends.
eight confirmed that he had slept over, and two said he was still there!
nasikia nyie wanawake huwa hampendani. Unachekelea unapoona mwanamke mwenzio yupo matatizoni.
 
NANI ASIYEUJUA USHANKU N AKU WA WANAWAKE?
UZANDIKI NA ROHO MBAYA NA GUBU NDIVYO VILIVYO WAJAA.
ASANTE MUNGU KWA HIl JINSIA ULIYONIPA.
HAKIKA MIMI NIMEUMBWA KWA MFANO WAKO.
HAPO HAPO MZEE MWENZANGU, unajua kule mbinguni inaelekea hakuna wanawake. Adamu,mfano wa Mungu,Malaika Gabriel ni mwanamme. Biblia inasema,............na tumfanye mtu kwa mfano wetu( alieumbwa ni adamu = wote kule ni wanaume/mfano wa Adamu.Biblia ya kimombo inasema hivi,Then god said''Let us make man in our image,according to our likeness....Genesis 1.26 sasa wale wenzangu tulioumbwa kwa mfano wa Mungu halafu mkaanza kutamani mngekuwa wanawake ndo mnaniacha hoi.

Do you think huo ni urafiki au unafiki?hapa inaonesha kuwa wanaume ni waongo by nature wakati wanawake ni wa kweli.Wameeleza ukweli.
hata mimi naona kweli wanaume ni waongo by nature isipokuwa mimi TALL tu.Sisemagi uongo mimi.
 
Men don't lie..they joke!

ooow they do?

oww u know what? i will not bother to ask him why he didnt come last night, actually I will be happy to have all the bed and blancket for myself... atleast i will have a peaceful sleep without being awake by his snore...
 
Wakuu Mnajifunza nini hapa.............

Friendship among Women:
A woman didn't come home one night.
The next morning she told her husband that she had slept over at a friend's house.
The man called his wife's 10 best friends.
None of them knew anything about it.

Friendship among Men:
A man didn't come home one night.
The next morning he told his wife that he had slept over at a friend's house.
The woman called her husband's 10 best friends.
Eight confirmed that he had slept over, and two said he was still there!

Here a woman is not a great thinker...! She did that without even taking precautions, but a man did...! This shows that women always do not know how to deal with things....! Even looking in the future for the friendship...!
 
What about a man? yaani yeye ndo ameharibu kabisaaaaaaaaaaaaaaa! a woman anaweza akamtajia rafiki ambaye alilala kwake na wakampigia ku-confirm, kwa mwanaume imekaaje? hapo ni fact kuwa hakulala kwa any of the friends
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom