Men fall in love through sex while women fall in...

Men fall in love through passion, women fall in sex through love

Sasa Masanilo hebu muulize Fidel80 yule demu wake aliyekuwa anamkula 7000/= kwa wiki alikuwa anampenda au?
 
Hehehehe wale maduu ngoja nitapita kisha naminya pale Mambo club ndo iwa wanapenda sana kujiachia pale.

Kaka unafika pale saa ngapi, nawavizia pale, by the way sio nawavizia ila nina kaki-meo kangu na mimi kakuonyesha uanaume. Mkuu labda tunagonganaga bila kujijua eti eeh?
 
'This is very important'.....(Iddi Amin Style, kwa wale mnaokumbuka ile movie ya raid on entebbe)

Sio kweli kugeneralise kuwa men wnafall in love through sex....inategemea mambo mengine mengi tu apart from that...

Iddi Amin yule alikuwa muhuni tu, jamaa utafikiri alikuwa anacheza pornograph bwana? Anakaa kati uku kimwana halafu huku kimwana. Ila style yake ya kuchagua ndio ilikuwa inaniacha hoi, kama pale alipokuwa anashiriki rally....
 
Pita Mabibo Hostels kule mzee mzima lazima utaibua kitu....kwi kwi Kwi

Mimi sipati picha washikaji wenye wachumba wao ambao wanakaa hizi hostel halafu wao wako mikoani wanajisikia vipi wakisoma hapa. Mimi nafikiri wanasikia kizunguzungu na mipresha kibao. Sasa kama Mimi nina demu pale, Fidel80 na Masanilo wana mademu pale halafu mkumbuke kuwa hawa ni watu ambao wanapenda sana kwenda masjala (tiGO)
 
Nway kimsingi nilichojifunza hapa ni kwamba wanaume ni watu ambao wanavutiwa na mwanamke kwanza via tamaa then wakienda kwenye sex ndio inakuwa finali kweli kama huyo mwanamke ana credit za kuwa wife au la.
 
.....lakini kwa wanawake bwana huwa wananichosha sana kwenye mapenzi kwasababu ukikutana na mwanamke aliyetendwa atakwambia yule mwanaume nilimpenda kuliko mwanaume mwingine yeyote duniani. Lakini hapo ukumbuke yuko na mwanaume mwingine na akija akaachana na huyu wa sasa hivi tena atakwambia nilimpenda huyu mwananume kuliko mwanaume mwingine yeyote. Sasa tuwaeleweje hawa watu wao kila mwanaume walimpenda kuliko mwanaue mwingine yeyote. Mimi naona kuna mtafaruku mkubwa sana hapa ambaondio unaopelekea wanawake wengi kutendwa na wapenzi wao pale mwanzoni mwa penzi husaau na kwaambi wapenzi wao wapya kuwa mpenzi wangu aliyepita nilimpenda kuliko kitu chochote lakini bado hakunijali na alinisaliti. Kwahiyo unakuta huyu mwanaume anaingia na huyu mwanamke kwasababu anataka mechi tu baadae anatimua kwasababu kuna mtu alipendwa kuliko yeye.

Nawasilisha
 
Mimi sipati picha washikaji wenye wachumba wao ambao wanakaa hizi hostel halafu wao wako mikoani wanajisikia vipi wakisoma hapa. Mimi nafikiri wanasikia kizunguzungu na mipresha kibao. Sasa kama Mimi nina demu pale, Fidel80 na Masanilo wana mademu pale halafu mkumbuke kuwa hawa ni watu ambao wanapenda sana kwenda masjala (tiGO)

Nimecheka sana Kiongozi, sisi tunawapa ile huduma wasiopata kwingine na kuwafanya wafurahie maisha mapya ya kimapenzi...
 
Hii kama ingalikuwa kweli wanaume waliopo kwenye ndoa wasinge cheat kabisa maana 'kila siku anapata' na kadri anavyopata kwa mujibu wa hiyo hypothesis ndivyo mapenzi yanavyoongezeka!

Si kwa wote...mi niko kwenye ndoa lakini sipati kila siku. Wakati mwingine mara moja kwa mwezi.
Lakini huo msemo una ukweli ndani yake....I testify.
 
Sasa kama Mimi nina demu pale, Fidel80 na Masanilo wana mademu pale halafu mkumbuke kuwa hawa ni watu ambao wanapenda sana kwenda masjala (tiGO)

Hahahaha mkuu hapo andika maumivu bab kubwa.
 
Kaka unafika pale saa ngapi, nawavizia pale, by the way sio nawavizia ila nina kaki-meo kangu na mimi kakuonyesha uanaume. Mkuu labda tunagonganaga bila kujijua eti eeh?


kazi mnayo, sasa kama wanawapa raha mbona mnawaita majina ya ajabu ajabu hivyo?....we Sipo
 
Back
Top Bottom