MEN: Dont play with women's feelings!

Vituka

JF-Expert Member
Nov 9, 2011
2,257
1,247
Jamani tumsaidie kijana mwenzetu kwa ushauri na hapo hapo tujifunze, not to play with women's feelings.

Huyu jamaa aliwagonganisha wanawake wawili, wao hawakujuana kwa muda wa miaka3. Jamaa alipoamua kuoa, akamtosa mmoja. Yule alotoswa alimpenda sana jamaa na aliumia sana jamaa alipooa ila alimwambia kuwa iko siku atajuta kumuacha.

Soon baada ya harusi, jamaa alipoteza uwezo wa kufanya mapenzi na mkewe wa ndoa. Huu ni mwezi wa 4 sasa jogoo hawiki! Jamaa amehangaika sana hospitali, kwa waganga wa kienyeji na hata kwenye maombi lakini wapi, bado tatizo liko pale pale. Mkewe hadi sasa yuko nae bega kwa bega katika kutafuta suluhu ya tatizo ila hajui kuwa jamaa alikuwa na mwanamke mwingine.

The guy is desparate, hajui la kufanya. Yeye anahisi yule mdada alomtosa ndo kamsababishia hilo tatizo. Aliniomba nimshauri ila nikaona nije kwenu waungwana mnisaidie ushauri wa kumpa.

NOTE:WANAUME, MSICHEZE NA HISIA ZA WANAWAKE!
 
Pole yake!
Afu unaeza kukuta wala mdada wa watu hajamfanya chochote anajihisi tu!......afu ukishakuwa na woga kwenye tatizo lolote lazima tatizo liongezeke mara dufu......aache woga, asipaniki, aondoe mawazo kuwa kalogwa, aende akawaone wataalamu wa saikolojia kwa msaada na ushauri zaidi!....awaeleze kile anachofikiria watamsaidia kukiondoa!
 
Anasema ameshaenda kwa madaktari kadhaa hapa DSM tatizo lipo pale pale
 
uwiiiiiiiiiiiii pole yake! very soon watamgongea wife, chezeiya vidume vya bongo vikipata mwanya?! lolest! hivi inalalaje jamani?? ina maana hata kwa kuboost hainyanyuki?
 
Hell knows no fury like a woman scorned.
Source: william shakespear.
 
uwiiiiiiiiiiiii pole yake! very soon watamgongea wife, chezeiya vidume vya bongo vikipata mwanya?! lolest! hivi inalalaje jamani?? ina maana hata kwa kuboost hainyanyuki?

cacico mbona maswali yako magumu sana?
 
Last edited by a moderator:
uwiiiiiiiiiiiii pole yake! very soon watamgongea wife, chezeiya vidume vya bongo vikipata mwanya?! lolest! hivi inalalaje jamani?? ina maana hata kwa kuboost hainyanyuki?

Hainyanyuki cacico lol kama vipi kamsaidie kuboost!
 
Last edited by a moderator:
uwiiiiiiiiiiiii pole yake! very soon watamgongea wife, chezeiya vidume vya bongo vikipata mwanya?! lolest! hivi inalalaje jamani?? ina maana hata kwa kuboost hainyanyuki?

Kumbe babu yenu huwa mnam boost eh? Ana presha huyo mjue.
 
Huyo ana bahati mbaya tu! hii story sidhani kama itasaidia watu kugonganisha.

kuchanganya ndio mpango mzima wa maisha, men will always be boys.
 
Jamani tumsaidie kijana mwenzetu kwa ushauri na hapo hapo tujifunze, not to play with women's feelings.

Huyu jamaa aliwagonganisha wanawake wawili, wao hawakujuana kwa muda wa miaka3. Jamaa alipoamua kuoa, akamtosa mmoja. Yule alotoswa alimpenda sana jamaa na aliumia sana jamaa alipooa ila alimwambia kuwa iko siku atajuta kumuacha.

Soon baada ya harusi, jamaa alipoteza uwezo wa kufanya mapenzi na mkewe wa ndoa. Huu ni mwezi wa 4 sasa jogoo hawiki! Jamaa amehangaika sana hospitali, kwa waganga wa kienyeji na hata kwenye maombi lakini wapi, bado tatizo liko pale pale. Mkewe hadi sasa yuko nae bega kwa bega katika kutafuta suluhu ya tatizo ila hajui kuwa jamaa alikuwa na mwanamke mwingine.

The guy is desparate, hajui la kufanya. Yeye anahisi yule mdada alomtosa ndo kamsababishia hilo tatizo. Aliniomba nimshauri ila nikaona nije kwenu waungwana mnisaidie ushauri wa kumpa.

NOTE:WANAUME, MSICHEZE NA HISIA ZA WANAWAKE!

Kama anaamini aliyemfanya hivyo ni huye wa zamani, mwambie akampigie magoti
 
uwiiiiiiiiiiiii pole yake! very soon watamgongea wife, chezeiya vidume vya bongo vikipata mwanya?! lolest! hivi inalalaje jamani?? ina maana hata kwa kuboost hainyanyuki?
cocico ebu fafanua hapo kuboost inakwaje?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom