memory card ya nokia E-72

Bingley

Senior Member
Apr 25, 2011
103
9
natafuta memory card ya nokia E-72, 1 Gb. Nipo Dar es Salaam, kimara mwisho.
Simu 0685650019
plz ni PM
 
natafuta memory card ya nokia E-72, 1 Gb. Nipo Dar es Salaam, kimara mwisho.
Simu 0685650019
plz ni PM

hebu weka wazi kwanza kwa kutoa specificaitons za hiyo card, kama vile ni sd, mini sd, mc , mmc , micro sd au kabila gani?
 
e72 zinatumia micro sd...ambazo zpo kila kona,nenda duka lolote utazpata!
 
asanteni. Ila pia ningependa kujua na bei zake kwa m2 yeyote anayejua bei zake, plz!
 
asanteni. Ila pia ningependa kujua na bei zake kwa m2 yeyote anayejua bei zake, plz!
bei zake ni
128MB inauzwa 4000
256 inauzwa 5000

1GB inauzwa 6000 na ziko za 7000 wanadai ndio original . zina sticker za kungarangara na MB zake ni nyingi kidogo kuliko hizo za 6000. nakusudia MB that you can use. ijapokuwa zote n 1GB lakini unajua sio MB zote 1000 unazoweka kutumia

2GB inauzwa buku kumi. 10000
 
Back
Top Bottom