memory card ya camera yangu imefutika?

blackdog

Member
Jan 9, 2011
89
8
Niliitoa memery card ya camera yangu, kwa bahati mbaya picha zote zimefutika. Kuna njia gani ya kuzirudisha .au
 
Tafuta software za recovery. Ziko nyingi sana zitatatua shida yako ili mradi usiitumie hadi huwe umemaliza ku recover. Otherwise utapoteza kila kitu.
 
Ndugu nipo kijijini sana si mjini,nashindwa kwenda kutafuta hivi karibuni kwani ninashughuli nazifanya ,akuna link ya kuniokoa?
 
Back
Top Bottom