Member gani wa JF ushakutana nae Face 2 Face

Madame B

JF-Expert Member
Apr 9, 2012
29,858
31,887
Title yahusika.

Me kuna mmoja humu alinirushia PM tukawa tunawasiliana fresh tu,
Na utani wa hapa na pale.

Ila siku niliyokuja kuonana nae,sikuamini kabisa,
Kumbe alikuwa ni Boss wangu wa pale Manispaa Kinondoni.
Nadhani anajijua.

Wewe je,yupi uliewah kukutana nae na hukuamini/tarajia kukutana nacho?

P'se SIHUSIKI NA MTAJANO WA USERNAME!
 
So far mie nina raha sana. nina mchakato kila weekend nakutana na wawili.

mmoja sat, mwengine sunday. so far not bad. tayari nishafikisha 16, nashangaa

Kaunga darl unaweka siri kuwa unapenda tukutane. teh teh teh. Preta nitakutafta shostito.
 
tutafutane mwaya....twenzetu club mpaka kukuche.....
 
Last edited by a moderator:
me laadhidhi tu! anajijua cna haja ya kumtaja. . . ila beibe nasty kila tukipanga kukutana miadi inaharibika. dah mpk nahc huenda tunachangia ndo mana tunachengana!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom