Member from Mwanza

ha ha ha, ujue tayari nina mme
afu sijui kanitia limbwata siku hizi?

Nimeanza kumpenda kwa kasi kweli, kama limbwata ni tamu hivi bora aliongeze aisee ili niwe zezeta wa mapenzi zaidi lol

mhuuuuu!!! Asante kwa kunitoa tongotongo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom