Membe vs January Makamba

Lazima sasa kutakuwa na bifu la Membe na January lakini kwa uwezo na ujuvi wa mambo January is far ahead

This guy has built a reputation of being a boot licker and syconphant! Huo uwezo unaouzungumzia labda ni wa mambo ya siri lakini siyo elimu na utumishi wa umma. Kwa vile wewe ni mpagazi wa mafisadi kutokana na njaa zako, you are entitled to your stupid opinion.
 
One can conclude sasa January vs Membe for MFAIC! Hivi tetesi za cabinet reshufle zina ka-ukweli hivi?

Unamuuliza nani wakati wewe ndiyo ulizua hicho unachoita tetesi. Hivi unadhani ukiwa mbwa wa mfalme na wewe unakuwa mfalme. Unlike ubunge ambao aliupata kwa rushwa, uwaziri haupatikani kwa rushwa au majungu na fitina. Ingekuwa hivyo angeshaupata toka Novemba last year maana majungu hayo yalifikia kilele wakati huo lakini mkubwa akayapuuza. Wasubri waunde serikali yao ya kifisadi ndiyo atakuwa na sifa maana vinara wao wote ni vilaza na ndiyo maana wanaishia kutumia magazeti yao ya udaku wanayoyamiliki kuchafua wenzao. JK ni kichwa bwana, anajua ujinga wa yule dogo ndiyo maana alipokosa hata unaibu waziri familia nzima iliweka matanga!
 
Sasa jamani,

Mnataka kulinganisha nini hapa?? Kuna uwiano wowote?? hapa ni kama kulinganisha Farasi (Membe) na Kinyonga(J Makamba) kwa mbio. Wastage of time. The answer is there.
 
Unamuuliza nani wakati wewe ndiyo ulizua hicho unachoita tetesi. Hivi unadhani ukiwa mbwa wa mfalme na wewe unakuwa mfalme. Unlike ubunge ambao aliupata kwa rushwa, uwaziri haupatikani kwa rushwa au majungu na fitina. Ingekuwa hivyo angeshaupata toka Novemba last year maana majungu hayo yalifikia kilele wakati huo lakini mkubwa akayapuuza. Wasubri waunde serikali yao ya kifisadi ndiyo atakuwa na sifa maana vinara wao wote ni vilaza na ndiyo maana wanaishia kutumia magazeti yao ya udaku wanayoyamiliki kuchafua wenzao. JK ni kichwa bwana, anajua ujinga wa yule dogo ndiyo maana alipokosa hata unaibu waziri familia nzima iliweka matanga!
kijana marope kukosa uwaziri si jambo la ajabu kwa wanaojua ufupi wa akili yake...kamwe huwezi linganisha hawa watu wawili.
napata shida hata kuweka vigezo vya kufanya huo ulinganifu.
 
Hivi si inajulikana Lugha ya Taifa ni kiswahili?Mojawapo ya Lugha za Afrika ni Kiswahili,Identity ya Culture yetu katika lugha ni Kiswahili na tunastahili kujivunia culture yetu.Lakini kuna kitu Extra,katika kujieleza katika vikao ambavyo ni informal and more of social Interactions lazima utumie Either French,Portugeese,English,au Spanish ili uweze kuelewana na wajumbe wengi ambao wanaweza kusoma mawazo yako na kukusoma zaidi kwenye social interactions.Kwa jinsi ninavyoona,wabunge wote wana uwezo wa kwenda kutuwakilisha kwenye bunge la Afrika linapokuja swala la kiswahili kama Lugha,Coz wote wanajua kiswahili(Ikiwa lugha itatumika kama Endorsement criteria).

Kwa hiyo itakuwa Busara kupeleka watu wenye added advantage kwenye lugha ,i mean wanaojua kiswahili na kiingereza.January anasikitisha kwa sababu ni mtu mwenye taaluma ya Diplomasia,na anajua dhana ya cultural hegemony kama alivyo Membe,mimi na wengine humu JF.Kinachoshangaza,anapotosha kwa sababu ya ukada bila kuzingatia hali halisi ya Sasa.He's sick!!!
 
Kwa hiyo itakuwa Busara kupeleka watu wenye added advantage kwenye lugha ,i mean wanaojua kiswahili na kiingereza.January anasikitisha kwa sababu ni mtu mwenye taaluma ya Diplomasia,na anajua dhana ya cultural hegemony kama alivyo Membe,mimi na wengine humu JF.Kinachoshangaza,anapotosha kwa sababu ya ukada bila kuzingatia hali halisi ya Sasa.He's sick!!![/SIZE]

he has mental diarrhoea
 
Januwari wamethibitisha kwamba bado fikra ndani ya bunge ni baina ya CHADEMA na CCM. Mantiki ilimshinda kabisa akawa bize kutetea msimamo wa CCM kwa sababu tu alisikia CCM wakipiga makofi kwa wingi.

On another note, alichofanya Membe ku-support hoja ya upinzani katika bunge letu is very ver rare. Will it cost him?

Ilikuwa ni lazima Membe afanye hivyo kuepusha kuumbua wengi ambao wangeungana na kung'ang'ani hoja ya Makamba............... si unajua CCM wanavyofuataga upepo pasipo kujua wanakoelekea mkuu?
 
Kufuata upepo ilhali nchi inateketea. Badala ya wao kupiga makasia wanafuata upepo ambao siku sio nyingi utakoma.
 
Makamba hajui anafanya nini. Anafikiri bunge lina kwa fikara zake binafsi na mabunge yote ulimwenguni yanatekeleza fikara zake.:alien:
 
I am afraid January is right in principle, but the AU structure is not ready.

Kulazimisha watu wasiojua kuongea kiingereza kuongea kiingereza kutaleta matatizo makubwa kuliko watu hao kuongea kiswahili na kutafsiriwa.

Asilimia ngapi ya Watanzania wanajua kiingereza? Kwa nini kiingereza kiwe kigezo cha kumnyima mtu uwakilishi katika bara la waafrika?

I am all for people being fluent in English and all, lakini kwa nini iwe issue ya kumkosesha mtu uwakilishi?

Hizo kanuni za bunge inabidi zibadilishwe, si ndizo hizi zinazompa Spika Makinda umangimeza wa ku practice censorship over Wenje ? Sasa kwa nini tunaziangalia kama amri kumi za "mungu" ? Worse still, hata bunge la AU nalo linaendeshwa kwa ukoloni mamboleo. Hivi Afrika ili kuwasiliana ni lazima kutumia lugha za wageni?

Only in Tanzania. Rais wa zamani wa Msumbiji, Joachim Chissano, ambaye hata si mtanzania wala nchi yake hawaongei Kiswahili en masse, alishawahi kuhutubia mkutano wa AU ( farewell address as AU chairman) kwa kiswahili na kutilia mkazo haja ya waafrika kutumia lugha zetu AU. Sasa tushafagiliwa hivyo, lakini bado tunajikongoja kwa ukoko wa ukoloni mamboleo.

And can we look at this on it's merit and quit the political innuendo ?
 
Hivi si inajulikana Lugha ya Taifa ni kiswahili?Mojawapo ya Lugha za Afrika ni Kiswahili,Identity ya Culture yetu katika lugha ni Kiswahili na tunastahili kujivunia culture yetu.Lakini kuna kitu Extra,katika kujieleza katika vikao ambavyo ni informal and more of social Interactions lazima utumie Either French,Portugeese,English,au Spanish ili uweze kuelewana na wajumbe wengi ambao wanaweza kusoma mawazo yako na kukusoma zaidi kwenye social interactions.Kwa jinsi ninavyoona,wabunge wote wana uwezo wa kwenda kutuwakilisha kwenye bunge la Afrika linapokuja swala la kiswahili kama Lugha,Coz wote wanajua kiswahili(Ikiwa lugha itatumika kama Endorsement criteria).

Kwa hiyo itakuwa Busara kupeleka watu wenye added advantage kwenye lugha ,i mean wanaojua kiswahili na kiingereza.January anasikitisha kwa sababu ni mtu mwenye taaluma ya Diplomasia,na anajua dhana ya cultural hegemony kama alivyo Membe,mimi na wengine humu JF.Kinachoshangaza,anapotosha kwa sababu ya ukada bila kuzingatia hali halisi ya Sasa.He's sick!!!

But there is a difference between busara na a qualifier. Acheni waongee kiswahili, wengine hata kiswahili hawajui, sasa tuwavue ubunge ?
 
I am afraid January is right in principle, but the AU structure is not ready.

Kulazimisha watu wasiojua kuongea kiingereza kuongea kiingereza kutaleta matatizo makubwa kuliko watu hao kuongea kiswahili na kutafsiriwa.

Asilimia ngapi ya Watanzania wanajua kiingereza? Kwa nini kiingereza kiwe kigezo cha kumnyima mtu uwakilishi katika bara la waafrika?

I am all for people being fluent in English and all, lakini kwa nini iwe issue ya kumkosesha mtu uwakilishi?

Hizo kanuni za bunge inabidi zibadilishwe, si ndizo hizi zinazompa Spika Makinda umangimeza wa ku practice censorship over Wenje ? Sasa kwa nini tunaziangalia kama amri kumi za "mungu" ? Worse still, hata bunge la AU nalo linaendeshwa kwa ukoloni mamboleo. Hivi Afrika ili kuwasiliana ni lazima kutumia lugha za wageni?

Only in Tanzania. Rais wa zamani wa Msumbiji, Joachim Chissano, ambaye hata si mtanzania wala nchi yake hawaongei Kiswahili en masse, alishawahi kuhutubia mkutano wa AU ( farewell address as AU chairman) kwa kiswahili na kutilia mkazo haja ya waafrika kutumia lugha zetu AU. Sasa tushafagiliwa hivyo, lakini bado tunajikongoja kwa ukoko wa ukoloni mamboleo.

The biggest problem lies in the failure by a section of contributors to know the basic issue. It is not about whether Kiswahili should be a continental language. It is about whether those who are vying for slots in the PAP should be interviewed using kiswahili or conform to the House Rules that require that candidates be subjected to a rigorous proficiency test of the english language (a medium of transaction in PAP). Whether Chissano is a near native kiswahili speaker or not is not an issue and on this, January Makamba couldn't be more mistaken. Those who think this was a contest between two MPs are damn wrong as the two can never be comparable.
 
Kiranga, kwa jinsi usivyopenda ukoloni mamboleo ndivyo hivyo wengine hatupendi mawazo mgando ya watu kama kina January.

Huyo mtu wa kumtafsiria mjumbe kiswahili kwenda kiingereza wakati wa lunch breaks and other informal interactions atatoka wapi? Kwa hiyo wawakilishi wetu baada ya mikutano watafute wakalimani ili waweze kuongea na wawakilishi wengine?

Hakuna anayebisha kuhusu alichofanya Chisano na uzuri wake. Wote tunajivunia ila atakayechaguliwa kuwa mwakilishi nje ya nchi lazima ajue lugha zote mbili kwa ufasaha. Period.
 
Sijawahi kuona mawazo mgando kama haya. Hivi unadhani uwaziri unagombaniwa. Kama JM ni bora kwa nini appointing authority haikumuona? Tusifike mahali tukaukanganya umma na hoja za kitoto. Hoja ilikuwa ni kwamba wagombea wa nafasi za uwakilishi bunge la afrika lazima wapimwe proficiency yao katika kiingereza maana ndiyo lugha inayotumika huko PAP. Sasa hilo la kujifanya mzalendo na kutetea kiswahili wakati anajua kwamba si wagombea wote wanajua kiingereza na kujua lugha hiyo ni sehemu ya sifa muhimu ni unafiki uliopitiliza. Hata kama kuna wanaomu-admire JM hapa hapakuwa mahali pake maana ni wazi kwamba alichemsha.

Hata yale mawazo kwamba Membe na JM wana ushindani ni potofu maana hawa hawana chochote cha kufanana zaidi ya kwamba wote ni wabunge. Upeo, uwezo na uzoefu wa Membe ni kama mlima kilimanjaro ambao unajaribu kuulinganisha na lori moja la kifusi. Kuna watu wanasema eti kwa kuingia kwenye sekretarieti basi jamaa amepata nafasi ya kuchimba dili za Membe na waarabu. Good idea lakini hatapata chochote maana hakuna madili yoyote. Lakini kama atachunguza basi afanye hivyo na aende mbele kuchunguza zilipo fenicha za shilingi 84 milioni ambazo zilitumika wakati wa mkutano mkuu wa CCM mwaka 2010 na ambazo zilikuwa chini ya uangalizi wa Katibu Mkuu wa CCM na ambazo sasa zimetoweka na minong'ono inasema zimepeklekwa kwenye hoteli ya baba yake kule Morogoro. Huu ni ufisadi ambao kwa kweli atakisaidia chama kuutokomezwa na kupendekeza hatua za kuchukua dhidi ya baba yake. Hata huko kujigamba kwamba alifanya kazi foreign affairs ni kichekesho maana hata miezi mitatu haikufika na kwa maisha yake ya ikulu amekuwa na kazi ya kutayarisha draft speeches. Hajui chochote kuhusu international relations na the rest ni ujinga tu.
Umenena mkuu!!!!!
 
The biggest problem lies in the failure by a section of contributors to know the basic issue. It is not about whether Kiswahili should be a continental language. It is about whether those who are vying for slots in the PAP should be interviewed using kiswahili or conform to the House Rules that require that candidates be subjected to a rigorous proficiency test of the english language (a medium of transaction in PAP). Whether Chissano is a near native kiswahili speaker or not is not an issue and on this, January Makamba couldn't be more mistaken. Those who think this was a contest between two MPs are damn wrong as the two can never be comparable.

The biggest problem is this notion that even entertaining Swahili as a language of communication at AU should be off the table.

EU wanatumia lugha gani ya Afrika ?

Hii snobbery itawanyima watu wengi uwakilishi. What is good for the TZ parliament should be good for the AU parliament.

What's next? Mtasema sophistication ya university degree ni muhimu kwa hiyo kina form four hawatakiwi ?
 
Miafrika bana. No wonder some (if not many) white folks feel it is their burden to civilize none whites! Bunge la Afrika lakini lugha ya mawasiliano ya wazungu. Halafu mnategemea mmpate heshima toka kwao kuwa eti na nyie mnaweza. Mnachoweza ni kitu gani wakati hata kutumia lugha zenu hamuwezi?
 
Hapa January tunampa umaarufu wa bure. Ni sawa nianze kujilinganisha na Dr. Slaa au Tundu Lissu eti tuko sawa. Ni uendawazimu tu. Suala ni kujifunza kutoka kwao basi. Huyu yeye atakuwa anatafuta ligi. Uzuri ni kwamba Yanga ikiomba kucheza na Real Madrid wataingia watu wengi sio kuiona Yanga bali Real Madrid na kwa vyovyote Yanga wataneemeka na mapato hata kama watafungwa 7-0! Tumpotezee huyu.
 
Wabongo wengi naona tunashindwa kuongea issues tunaishia ku discuss personalities, ndiyo maana hatuna hata ideologies.

Kichwa cha thread tu ushambenga.
 
Miafrika bana. No wonder some (if not many) white folks feel it is their burden to civilize none whites! Bunge la Afrika lakini lugha ya mawasiliano ya wazungu. Halafu mnategemea mmpate heshima toka kwao kuwa eti na nyie mnaweza. Mnachoweza ni kitu gani wakati hata kutumia lugha zenu hamuwezi?

Waambie son.
 
bunge la afrika lugha ya mawasiliano ya wazungu.....

Kwa hiyo mwakilishi kutoka Tanzania akikutana na mwakilishi kutoka Ethiopia au Benin wanaongea kiswahili? Lugha ya waafrika?

Narudia hakuna anayepinga kiswahili kutumiwa kinachosemwa hapa ni mwakilishi ajue lugha zote mbili! Kisichoeleweka hapa ni nini?

Kwa hiyo tutafika mahali tutasema sio lazima Waziri Mkuu ajue Kiingereza? Au Waziri wa Mambo ya Nje kama anajua kiswahili inatosha? Tuache kujidanganya kwamba kuongea kiingereza ni ukoloni. Unatakiwa ujue lugha zote mbili kama mwakilishi ili iwe rahisi kujenga mahusiano na kujifunza kutoka kwa wengine.
 
Back
Top Bottom