Membe sasa apania Kuvunja muungano

Ogwari

Member
Apr 14, 2011
26
15
waziri wa mambo ya Nje na usirikiano wa kimataifa Bernard membe sasa ameonyesha dhairi ana mikakati ya siri ya kuvunja muungano kwa kuinyima zanzibar fursa ya kutembelewa na viongozi wa kimataifa pindi wanapofanya ziara Nchini .Sisi wazanzibar tunasikitishwa na kitendo cha waziri membe kuweka utaratibu mbaya wa kutoleta viongozi wa kimataifa zanzibr tunafahamu ana ajenda ya siri na akuanza leo ameanza siku nyingi mifano ipo hai akiwa ofisa mwandamizi wa ubalozi wa Tanzania Itali aliwahi kukataa kukutana na wanafunzi wa kizanzibar waliokuwa wakisoma Italy kwa madai kuwa yeye sio mzanzibar na mambo ya Zanzibar hayamhusu.

Viongozi waliotembelea Tanzania bila kufika Zanzibar na Nchi zao kwenye mabano ni Rais wa Marekani (George Bush) Rais Hu Jintao wa (China) Rais Abdulah Gur (Uturuki) Waziri Mkuu wa India Mohan Singh na waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton hawa viongozi wote wamefika Tanzania hakuna hata MMoja aliyefika zanzibar
 
Mbona hata shinyanga hawakufika lakini sisi hatulalamiki?kama mnajitenga jitengeni tu,hakuna faida yoyote ya kuwa kwenye muungano na watu kama nyinyi ambao ni walalamishi sana!Zanzibar ni kama mkoa,kama hamtaki basi jitengeni!!!
 
Ukabila una rangi nyingi na kwa hili wewe kweli ni mkabila. Eti wamekuja Tanzania halafu hawajafika Zanzibar? Mmmh, hapa anayevunja muungano ni nani? Sio wewe mwenye makengeza ya uzanzibari?
 
Unajua glucose ikipungua mwilini,adhari zake ni mpaka kwenye kutoa hoja. Hebu tuanze kwanza,umepata kifungua kinywa?
 
Kama hawataki kutembelea huko walazimishwe? Mbona hutaji viongozi waiowahi kutembelea Zanzibar bila kufika Bara?
 
waziri wa mambo ya Nje na usirikiano wa kimataifa Bernard membe sasa ameonyesha dhairi ana mikakati ya siri ya kuvunja muungano kwa kuinyima zanzibar fursa ya kutembelewa na viongozi wa kimataifa pindi wanapofanya ziara Nchini .Sisi wazanzibar tunasikitishwa na kitendo cha waziri membe kuweka utaratibu mbaya wa kutoleta viongozi wa kimataifa zanzibr tunafahamu ana ajenda ya siri na akuanza leo ameanza siku nyingi mifano ipo hai akiwa ofisa mwandamizi wa ubalozi wa Tanzania Itali aliwahi kukataa kukutana na wanafunzi wa kizanzibar waliokuwa wakisoma Italy kwa madai kuwa yeye sio mzanzibar na mambo ya Zanzibar hayamhusu.

Viongozi waliotembelea Tanzania bila kufika Zanzibar na Nchi zao kwenye mabano ni Rais wa Marekani (George Bush) Rais Hu Jintao wa (China) Rais Abdulah Gur (Uturuki) Waziri Mkuu wa India Mohan Singh na waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton hawa viongozi wote wamefika Tanzania hakuna hata MMoja aliyefika zanzibar

sijui ndo nini vile???? mbona kumbukumbu zangu zinaonyesha walishawahi kuja viongozi wengi tu wa kikoloni kuja kuitembelea znz na hawajafika bara?? huo ni utumbo uliowazi kushabikia kutembelewa na wakoloni wa leo.
 
waziri wa mambo ya Nje na usirikiano wa kimataifa Bernard membe sasa ameonyesha dhairi ana mikakati ya siri ya kuvunja muungano kwa kuinyima zanzibar fursa ya kutembelewa na viongozi wa kimataifa pindi wanapofanya ziara Nchini .Sisi wazanzibar tunasikitishwa na kitendo cha waziri membe kuweka utaratibu mbaya wa kutoleta viongozi wa kimataifa zanzibr tunafahamu ana ajenda ya siri na akuanza leo ameanza siku nyingi mifano ipo hai akiwa ofisa mwandamizi wa ubalozi wa Tanzania Itali aliwahi kukataa kukutana na wanafunzi wa kizanzibar waliokuwa wakisoma Italy kwa madai kuwa yeye sio mzanzibar na mambo ya Zanzibar hayamhusu.

Viongozi waliotembelea Tanzania bila kufika Zanzibar na Nchi zao kwenye mabano ni Rais wa Marekani (George Bush) Rais Hu Jintao wa (China) Rais Abdulah Gur (Uturuki) Waziri Mkuu wa India Mohan Singh na waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton hawa viongozi wote wamefika Tanzania hakuna hata MMoja aliyefika zanzibar

waende ZNz hili iweje?
 
Tukuyu pia hawajafika lakini hatulalamiki, hivi nyie mbona mna gubu hivyo? Kwani hao wageni wanakuja Tanzania au au huwa wanaagaje, wakitoka huko kwao?
Kama mnawapenda sana na kuwajali hao wageni si mje kuwapokea huku dar au mmekatazwa? alaa!!!
 
Tuachananeni naye kilaza huyo, hoja zao zote zimekaa kukrashiwa krashiwa tu, hakuna hata moja inayomfanya mtu achangie kitu
 
viongozi wa kitaifa wanapozuru nchi yetu huwa ni wageni wa ikulu au wa waziri? na huwa wanapangiwa ratiba na waziri?

kaka nazani kwa uwezo wako wakuudhuria humu ndani unaweza kutofautisha hoja na jungu, bila kumthalilisha mleta hoja hapa haka nikajungu kadogo
nimependa avatar yako
 
Mbona hata shinyanga hawakufika lakini sisi hatulalamiki?kama mnajitenga jitengeni tu,hakuna faida yoyote ya kuwa kwenye muungano na watu kama nyinyi ambao ni walalamishi sana!Zanzibar ni kama mkoa,kama hamtaki basi jitengeni!!!

Tusitake kupotosha Ukweli tuwe honest Shinyanga ni Mkoa na zanzibar ni sehemu ya muungano ,Hoja ya ogwari ni ya msingi and it look kuna tatizo kubwa Foreign ,State house na Wezi wa protocol.Ni mwenye fikra finyu tu ndiye anayeweza kulinganisha Kigoma, Kagera na Zanzibar. Zanzibar ni Nchi ina Rais , Mawaziri ila hawana wizara ya mambo ya Nje ,kulingana na katibu ya Jamhuri ya Muungano kuna wizara ambazo zitakuwa chini ya serikali ya mapinduzi Zanzibar na kuna wizara zitakazokuwa chini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Membe hawezi hakakwepa hizi lawama anahusika moja kwa moja na Hili suala .Solution ni Kihipa kura CDM muachane na Magamba yote CUF na CCM
 
waziri wa mambo ya Nje na usirikiano wa kimataifa Bernard membe sasa ameonyesha dhairi ana mikakati ya siri ya kuvunja muungano kwa kuinyima zanzibar fursa ya kutembelewa na viongozi wa kimataifa pindi wanapofanya ziara Nchini .Sisi wazanzibar tunasikitishwa na kitendo cha waziri membe kuweka utaratibu mbaya wa kutoleta viongozi wa kimataifa zanzibr tunafahamu ana ajenda ya siri na akuanza leo ameanza siku nyingi mifano ipo hai akiwa ofisa mwandamizi wa ubalozi wa Tanzania Itali aliwahi kukataa kukutana na wanafunzi wa kizanzibar waliokuwa wakisoma Italy kwa madai kuwa yeye sio mzanzibar na mambo ya Zanzibar hayamhusu.

Viongozi waliotembelea Tanzania bila kufika Zanzibar na Nchi zao kwenye mabano ni Rais wa Marekani (George Bush) Rais Hu Jintao wa (China) Rais Abdulah Gur (Uturuki) Waziri Mkuu wa India Mohan Singh na waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Hillary Clinton hawa viongozi wote wamefika Tanzania hakuna hata MMoja aliyefika zanzibar
Wewe huna akili hata kidogo, sasa hapo Membe anahusika vipi? Wageni wa nchi Tanzania wewe unamlaumu Membe! Mbona hata Bagamoyo hawakufika? Ukabila na ubaguzi mnao ninyi wenyewe na wengine tushachoka makelele hayo hayo kila kukicha.
 
Tusitake kupotosha Ukweli tuwe honest Shinyanga ni Mkoa na zanzibar ni sehemu ya muungano ,Hoja ya ogwari ni ya msingi and it look kuna tatizo kubwa Foreign ,State house na Wezi wa protocol.Ni mwenye fikra finyu tu ndiye anayeweza kulinganisha Kigoma, Kagera na Zanzibar. Zanzibar ni Nchi ina Rais , Mawaziri ila hawana wizara ya mambo ya Nje ,kulingana na katibu ya Jamhuri ya Muungano kuna wizara ambazo zitakuwa chini ya serikali ya mapinduzi Zanzibar na kuna wizara zitakazokuwa chini ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Membe hawezi hakakwepa hizi lawama anahusika moja kwa moja na Hili suala .Solution ni Kihipa kura CDM muachane na Magamba yote CUF na CCM

kwani hao wageni walitaka kutembelea zanzibar na Membe akagoma? sijasikia kiongozi yeyote aliezuru Tanzania akilalamika kuwa wizara imemzuia asiende zanzibar
 
Back
Top Bottom