"MEMBE ni mwekezaji mwambao mwa ziwa Nyasa"

mwe!mtoa mada aliyekutuma mwambie kachemka,kwani utata wa malawi na tanzania umeanza membe akiwa na mnyasa wake au?kila siku membe,tumewachoka!mara kajenga hoteli mtwara,mara mbambabay!za huyo anayekutuma mbona huzitaji?
 
bora membe amiliki hata hotel kumi, lakini ziwa tulimiliki pia...kuna makosa gani kwa membe kuwa na hotel huko? amefanya kosa gani, yeye kama raia wa tz katiba inamruhuusu kuwa na private property....
 
Back
Top Bottom