CDM wameshindwa kulinda kura za jimbo moja la Igunga wataweza nchi nzima? Labda CCM wasambaratike vinginevyo tutaendelea kuongozwa na serikali ya CCM hadi CCM watakapofarakana
nani kasema ccm itatawala milele?lets wait and see!i hate magamba
CDM wameshindwa kulinda kura za jimbo moja la Igunga wataweza nchi nzima? Labda CCM wasambaratike vinginevyo tutaendelea kuongozwa na serikali ya CCM hadi CCM watakapofarakana
Kwa wale wanoandika andika hapa kuhusu mheshimiwa waziri wa mambo ya nje bernard membe kua anafaa kua urais nafikiri wanatoka familia ya Jk kwani membe hana tofauti na JK kiuongozi. hii ina maana mambo yatakua yale yale kwa watz wengine wasiotoka ukoo huo unaongoza kwa sasa..tafakari hatutaki tena episode za KiJK JK hizi zirudi
umekunywa viloba vingapi?? maana nyie watu wa viloba na bia za bukubuku mkishalewa mnaleta pumba hapa.
Chadema they can forget about it, hatuezi kuwapa nchi wahuni na NGO za kisanii.
Ninyi watu mmetawaliwa na personal vendetta kuliko facts na hoja. Sasa kutuambia eti Membe ni JK pt 2 unataka sisi tufanye nini? Hebu tuambie ubaya wa Membe au ufisadi au uhujumu wa uchumi alionao nasi tuujue? Wakati mwingine mtu kujisifu kwamba ng'ombe wako siyo walafi huku hujawahi kuwapitishia karibu na shamba ni upuuzi mtupu!! Leo wengi wetu tunaamini eti Mbowe au Slaa ni waadilifu,, je wameshawahi kushika uongozi gani serikalini ili iwe kipimo cha huo uadilifu? Believe me, hawa ni watanzania tu kama wengine, hawajashuka toka mbinguni,, kati yao wapo wapigaji na mafisadi tena wengi tu,, wanangoja nafasi tu. Angalau Membe tumemuona ktk kipindi alichotumika si fisadi na ni mzalendo,, japo haimaanishi kusema kwamba ndiyo anagombea urais 2015.
Nitakubali nini?Huna ujanja huo we endelea kuwa zuria la mafisadi tu,soon utakubali mwenyewe.