mgeni wenu
JF-Expert Member
- Jan 2, 2012
- 3,664
- 1,730
Kavaa nguo za cCm ndo maana,yupo uwanja wa taifa
Waziri membe anazomewa na halaiki ya watu huku
Waziri membe anazomewa na halaiki ya watu huku
Ndugu uko nje ya uwanja au ndani? Maana sisi tulioko ndani ya uwanja huu wa taifa tunaona watu wanavyoshangilia kwa nguvu zote haswa alipokemea ufisadi, kuzungumzia changamoto za mfumuko wa bei na kuzungumzia haja ya kutumia mchakato wa katiba kuipata tanzania tunayoitaka yenye neema tela, yenye haki sawa, ambayo wananchi watafurahia na kunufaika na rasilimali zao nk.
Waziri membe anazomewa na halaiki ya watu huku
Mwache azomewe mnafki sna hyo,anataka uraisi kwa hoja ya oic.
kaingiza mambo ya katiba kwenye tamasha la pasaka alitegemea nini?
Kavaa nguo za cCm ndo maana,yupo uwanja wa taifa
nimetembelea blogs kadhaa na zote kuna hili suala la membe kuzomewa.Shirikisha ubongo mkuu
Membe kazungumza mambo mengi sana hasa role ya dini kwenye mshikamano wa Taifa.
Don't single out jambo la katiba na kupotosha watu
OTIS
hapo bado lema yuko kwenye maombi na mfungo !
Kavaa nguo za cCm ndo maana,yupo uwanja wa taifa
Yakitukuta poa iwapo tutakuwa TUNATENDA KA MIZIMU AU MAZUZU KA SI MAJIZI NA WAZUGAJI.Endeleeni kufurahia watoto kuwazomea wazee, ipo siku yatawakuta nyie!
naona una tatizo la kutofautisha kelele za kushangilia na zile za kuzomea.kuna threads kama tatu zinaelezea jamaa kazomewa sasa unataka tukuamini na post yako moja.
nimetembelea blogs kadhaa na zote kuna hili suala la membe kuzomewa.
Acha kutumia ugwe mgongo kufikiri!