Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!

Membe???? If I had to choose of the two evils, I will go for Lowassa! By the way siyo kila mwana JF amemchoka Lowasa! Gizani hatujaingizwa na Lowassa bali na Jakaya! Why should u blame a child for the wrongs of his father?

Jobo, well said, Membe?! hapana jamani tuacheni ushabiki kwenye masuala nyeti ya kitaifa, tumeshaona ushabiki ulipotufikisha kwa JK tusirudi huko tena
 
Hapa nimefurahishwa na POINT ya Mama Clinton.
1. Hivi mbona mpaka leo NEEMA ya umeme bado?
2. nani alimleta Tanzania?
3. Kwanini alisema aliyoyasema?
 
Hapa nimefurahishwa na POINT ya Mama Clinton.
1. Hivi mbona mpaka leo NEEMA ya umeme bado?
2. nani alimleta Tanzania?
3. Kwanini alisema aliyoyasema?

Mafisadi wa bongo noma
Hapa bado wanataka wamlete Obama nae anakuja kuzindua kampuni ya mfukoni
 
Wote hawa uliowataja has to disapear we dont need them!!!!!
To me they are
peace of gabbage
waachie watu wengine
watuongoze! Majizi
wanafki tuu
 
Kwanini usingempigia simu Membe kumhabarisha mpaka ukapitishia humu???????????
 
Mh waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa hajamfahamu adui yake no 1. Hii inatokana na ukweli kuwa vita anayopigana inamhusisha yeye na adui asiowajua. Membe anaamini adui zake wakubwa ni Rostam na Edward.Amepotoka.

Membe napenda nikufahamishe ya kuwa, usipoangalia, yatakupata makubwa zaidi ya yale yaliyompata Harrison. Unapigana na watu hatari na wanaotumia akili nyingi sana kwenye game hili la siasa.

Katika baraza la kwanza la JK uliteuliwa kuwa deputy wa home affairs. Ulilalamika sana kwa JK. SMS ya kulalamika kwako uliyomtumia JK, iliwafikia Rostam na Edward at the same time bila wewe kufahamu. Tafakari kwanza!

Richmond haijaletwa na Rostam wala Edward nchini. Wewe unafahamu vyema jinsi JK alivyocheza dili la Richmond kishamba akishirikiana na Gire baada ya mazungumzo yao huko U.S. Baada ya mambo kuharibika ndipo rostam na edward wakashirikishwa. Unafahamu vizuri role aliyoicheza rostam kuhakikisha angalau dowans inazaliwa ili kumwokoa JK.Ya lowassa kujiuzulu unayafahamu vizuri sana sitaki kuyazungumzia kwa sasa.

Sitta hakuwahi kuwa rafiki wa Harrison hata siku moja. Alimtumia tu ili kutimiza malengo yake ya kumwondoa Lowassa kwenye nafasi yake. Wewe ndiye uliyekuwa ukiwachonganisha mara kwa mara JK na PM wake Lowassa. Hata nafasi ya nje uliipata kwa jungu kubwa na la ustadi wa hali ya juu ulilochezewa na vijana wawili wa usalama wa taifa kwa kumchafua Lowassa. JK akaanza kukuamini.Ulicheza vizuri karata kwani ulijua fika jinsi gani sitta alivyomchukia rostam na Lowassa kwa yale waliyomtendea ili asiwe PM na kwa ustadi wa hali ya juu ukamshawishi sitta alitumie bunge ili kumwadhibu lowassa.

Mwakyembe ana ugomvi wa siku nyingi na rostam hata kabla ya JK kuwa rais. Alitumia nafasi hiyo kumnyonga Lowassa na rafiki yake Rostam na kwa bahati mbaya akakiri ndani ya bunge kuwa kuna machafu mengi yameachwa ili kunusuru heshima ya serikali. Kosa kubwa sana kuwahi kufanywa na mtu aliyepitia idara ya usalama wa taifa. Unafahamu vyema kuwa hili kosa ndilo linalomgharimu Harrison huko Appollo. Baada ya Lowassa kuangushwa, ulikumbatiana na Mwakyembe, Rais akawapongeza, mkafurahi, mkabweteka na kumwamini JK. Kosa la pili kubwa.

Kwa bahati mbaya sana ukaungana na Mwakyembe, Mengi, Sitta, na wafuasi wake kwa ajili ya kuutafuta urais tena kwa kumtumia mwanaye Ridhiwani. Hili ni kosa la tatu kubwa kwani ulichanganya kwenye kundi lako watu wasio marafiki wa JK ambao kwa hakika wata-demand umburuze JK mahakamani pindi utakapokuwa rais.

Rostam-JK-lowassa

1. Hawa ni marafiki wakubwa ambao licha ya wawili kuwa nje ya serikali lakini wote watatu wanaendesha serikali na hawasiti 'kuwanyamazisha'' wabaya wao wanaogusa interest zao.Individually wanatofautiana ila wakiwa watatu ni wamoja.Membe naomba ufahamu hili.
2. Wewe ulimtaka sitta awe spika kwa mara nyingine tena. JK alimtaka sitta pia lakini katika kikao cha watatu akakubaliana na pendekezo ingawa kwa shingo upande la Anne kuwa spika.
3. JK atakuwa safe kama lowassa akiwa rais.Hatakuwa safe endapo mmoja wenu atakuwa rais.Anafahamu hili fika.
4. Richmond itarudi bungeni kabla ya 2015.Wakati wa kujadili, wewe na mwakyembe mko tayari kusema ukweli.Ili kuwazima, mwakyembe 'ataondoka' then wewe waweza kufuata!.Haya yatafanywa na umoja wa hawa watatu na si individually
5. Ndani ya CC iliyopita zilipigwa kura za siri ili kumfukuza Lowassa uanachama.Kati ya wajumbe 32, 19 walimsupport lowassa na 13 kwa JK!.Hapa wanaonekana ni wapinzani ingawa wakiwa watatu ni wamoja.
6. JK anaweza kukusikiliza na kujifanya mko pamoja naye. Lengo ni kutaka kujua what's going on in your group ili wawamalize vizuri.
7. JK hakumtaka Bilal, lakini umoja ukalazimisha ndiye awe makamu wa rais. Mkapa alitumwa bila kuelewa.
8. Hawa watatu kwa pamoja walimteua Mkama. Wewe hujui hilo ingawa mwenzako chiligati alishastukia!
9. Membe unafahamu ya kwamba kujivua gamba ni hoja iliyoletwa na rostam kwa mara ya kwanza kwenye kikao cha watatu hao ili game iishie bungeni kwenye kujadili Richmond upya? Symbion iko nchini Membe. Unajua kaileta nani?. Je, nani kamleta Mama Clinton nchini?
10. Membe muulize Mwandosya akwambie jinsi watatu hawa wanavyomtesa. Umesahau tulipokuwa Marekani jinsi Balali alivyosema kuhusiana na chanzo cha afya yake kuzorota?.
etc, etc, etc, etc

Ushauri wangu kwa Membe
:

Be careful sana katika game hili Membe. Kama kweli unautaka urais lazima kwanza uufahamu mchezo unavyokwenda. Wenzako wanacheza game nzito na kisayansi zaidi. Know your enemy first. Na kwa kukusaidia, adui yako namba moja ni huo utatu and not an individual person

jamani ukweli ndiyo huu hata km hatutaukubali au kwa kuwa hatumkubali Lowassa...ukweli ni kwamba JK ni mtu mnafiki sana na ni mtu hatari sana anajua kuuma na kupulizia akiwa na kundi moja anaongea nao km yuko nao pamoja akienda kundi jingine anafanya hivyo hivyo. kwa habari za kutoka ndani jikoni ni kwamba Lowassa ndiyo aliye fadhili uchaguzi wa igunga for more than 80% yeye ndiye aliye kodi helcopter mbili zilizotumiwa na CCM igunga toka nairobi kenya na kumtuma Januari Makamba kwenda kuzifuata. In short ni kwamba jamaa bado ana nguvu sana CCM na huwezi kumtenganisha na JK alishasema hawakukutana barabarani. It's true Membe watch out....!
 
BIG UP JF's: Yaani mpaka 2015,tutakuwa tumeyasikia mengi sana...kamwe siwezi kaa mbali na JF!
 
swali rahisi sana ambalo wanapaswa wajiulize, kama wanaogopa kufungwa kwanini wanaiba? haya yote ya kutuchagulia rais yanatokana na matendo yao, wanajuwa kwamba atapoingia mwingine ambaye siyo mwizi mwenzao basi huo ndiyo utakuwa mwisho wao. wanapoteza maisha ya watu kila siku hili kujilindi, yaani ukifikilia indeep inatisha sana, mkapa anajilinda, kikwete naye anajilinda,karume naye anajilinda, kwahiyo mwendo ndiyo utakuwa hivi hivi, na watakaye muweka nae atakuwa wao, kwahiyo ataiba tena mwisho wa siku nae atamtafuta wa kumuweka hili amlinde, mzunguko gani huu jamani, li Magufuli limeshaungana nao, ona watakavyoanza kumnadi sasa.
 
Haya mambo ni makubwa, Tuanze kuunganisha dots

Makundi ndani ya CCM (Wanamtandao)
  • Lilikuwa likitengenezwa na akina JK, EL, RA S6,.... n.k
Makundi mengine madogo madogo ambayo hayakuwa na nguvu kama lamtandao mf. la Prof. Mwandyosa, Kagoda n.k
Baada ya kuzidiana kete wakati wa kugawana vyeo mtandao ukaparanganyika :
  • Mafisadi (wanaotuhumiwa kulihujumu taifa, kwasababu hawa ndio wanaofanya maamuzi serikalini kwa maslahi yao)
Hapa tuna JK, EL, RA, EC na wapambe wadogo wadogo
  • Wanaojipambanua kuwa ni makamanda dhidi ya mafisadi(Hawa ni kwa sababu wapo nje ya maamuzi makubwa hivyo kukosa mgao, hawapo tayari kuona upinzani ukiwa na nguvu hata pale inapoonekana wanazungumza lugha moja)
Hapa tunakutana na S6,Dr. Mwakyembe, A.Kilango,O. Sendeka.
NB: Wale waliokuwa wanaliamini kundi hili kuwa ni la wazalendo kama akina Uncle Fred, waliamua kukimbia Chama moja kwa moja pale walipohisi unafiki unanukia kwenye kundi hili. Big up Uncle Fred

Baada ya kupakana matope sana na kukamiana, kundi la mafisadi linaonekana kushindwa nguvu ya hoja, kundi la wanaojiambanua limefanikiwa kuimba ukosi(chorus) ya wananchi wengi , hivyo kupata nguvu ya hoja.

Swali, nini hatima ya kila moja wa hao former wanamtandao?

Ili mafisadi wabaki salama, lazima mwezao awe rais, iwe ni key member wao au mpambe wao. VInginevyo ni jela au kuhama nchi, ingawa kuna Interpol (sijui kama watajificha). Kufanya hivyo lazima watumie mbinu yoyote ile kuwamaliza nguvu wao wanoimba chorus ya wananchi,maana kama wakisimama kugombea Urais au mpambe wao akasimama, basi itawaweka katika hali tete.

Hii ni hatari, maana sasa tunashuhudia mambo yanayoendelea sasa,...anyway ni speculations may be. Ila mi naiita kuunganisha nukta/matukio.

Hii ya Nape na Malisa ni mchezo wa hawa Mafisadi kufanya watu waamini miongoni mwao kuna mfarakano, nidhahiri tunaamini kuwa Nape ni JK, Malisa ni EL. Baadae waje kumuweka mtu ambaye tutafikiri ni Neutral kumbe ni mpambe,...hahaha, hawa jamaa ni game makers kweli, yaani hata hawa Malisa na Nape hawajijui kuwa wanatumiwa na mtu/ watu wamoja.

Ila tu wamesahau kuwa Watanzania wamehamisha mawazo yao kwao, sasa hivi wanacheza nyimbo za CDM, na hapo ndipo patachimbika kama wakijaribu kuwagusa wapiganaji wetu, sisi hatutumii vikao vya siri kuwashughulikia, tunatumia nguvu ya umma,

Umma tukiwakataa, hata mtumie jeshi zima hamtaweza, sana sana jeshi hilo hilo litatusaidia kichinichini na baadae waziwazi.

Ushauri: Kwa wana CCM ambao bado wanao uzalendo kwa nchi hii, mjue madereva wenu wa chama ni ma criminal, wanafanya mambo ambayo yatasababisha kupotea kwa amani, Jiungeni na wazalendo wa kweli ambao ni umma, ukiongozwa na CDM.
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Vita vya Panzi ,furaha ya kunguru!CHADEMA jiandae vizuri kuchukua nchi,watauana wote wataisha,leo hii tunaamnbiwa kumbe waliohusika na kumpiga risasi na kumuua Kombe waliachiwa huru toka mwezi wa tano,kwa msamaha wa raisi!Nilikuwa sijui kama na waliohukumiwa kunyongwa wanapata msamaha wa raisi,kweli mauaji ya Kombe mlipanga nyie,na sasa mnapanga ya Mwakyembe maana wauaji wake wakikamatwa mtawapa msamaha!

I LOVE THIS COUNTRY!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Nasikia kizunguzungu sijui niamini lipi kwani habari zote zinatoka radio Mbao FM,hebu mtupe uthibitisho kama hizo habari hazitoki radio Mbao FM
 
Yani kama movie based on true story the THE LAST DON.Anyway nadhani ndio maana kumbe tuko hivi,manake BASI hii ni hatari na SICILY ni DAR ES SALAAM.

Mkuu ni movie based on a fiction book by Mario Puzzo THE LAST DON (Actually the book is better than the Movie)
 
Samahani kwa atakaye nielewa vibaya,lakini lazima niseme hatuhitaji tena wacheza ngoma hapo Magogoni. Tunataka rais muadilifu na mchapa kazi. Ambaye hata jamii anayotoka ni watu wachapa kazi na wapenda maendeleo. Wapiga kura wako ktk jimbo bado ni mafukara wa kutupwa,unatwambia unataka urais wa Tanzania ili kutufanyia nini? Imetosha.
 
Mtu mzima hatishwi nyau

I've stayed out of this Lowasa and his clown episodes lakini naona sasa gloves are off....
The difference between Lowasa & Membe ni kuwa tofauti zao ni sawa na Usiku na Mchana. And the is that Lowasa hasn't got a 'story' which comes anywhere close not only to JK lakini to Membe.
Just like JK, Mheshimiwa Membe is the son of of an ordinary MKULIMA, who rose from poverty to become one of our best foreign ministers. He has a proud record of political integrity and has never been afraid to put the interests of this country first.


Mkuu if anything kwenye hizi post zote nimeona mtu mwenye propaganda ni wewe badala ya kusema point by point muandishi amedanganya wapi wewe unaleta story za kwamba Membe na JK watoto wa wakulima rising from no where na kuserve their country!!! Please Give me a Break wame-raise kwenda wapi na kufanya nini....???

Kama kweli unataka kumsafisha JK pinga shutuma zilizotolewa hapo juu na sio kuleta hadithi za kusadikika za saving their country wakati they have nothing to show for it...

Saving your country wakati Jahazi ambalo ni Chama Chake tu kinamshinda na hizi internal fightings na anashindwa to put his foot down na kuziondoa..., Tell me what kind of a leader he is if he fails even to lead his battalion how can he lead the whole army..!!

Please mkuu take a step back na kusoa mada kuonyesha wapi imepikwa au ongezea kwamba na fulani pia sio msafi sio kujaribu kusafisha wachafu kwa kusema wengine ni wachafu zaidi... Please Two Wrongs Don't Make a Right
 
Back
Top Bottom