Membe be careful, adui yako wa kweli humjui!


Ushauri wangu kwa Membe
:

Be careful sana katika game hili Membe. Kama kweli unautaka urais lazima kwanza uufahamu mchezo unavyokwenda. Wenzako wanacheza game nzito na kisayansi zaidi. Know your enemy first. Na kwa kukusaidia, adui yako namba moja ni huo utatu and not an individual person

Usimtishe kiasi hicho mwenzako na hao wanaojidai wana science sana waambie mwanzilishi wa science (author of creation) anasema hivi watapiga mbio sana lakini kwa mlango mmoja wataingia kwa milango saba watatawanyika...ndege yao walioipanda niliiona ikiungua moto hewani wasijipe moyo sana kuwa wako safe...it does not matter how speed do they travel the same speed is taking them to hell...The power hand is changed yes I said it watch and see!
 
Mwenyezi Mungu ndio anapanga kila kitu, wote tutakufa hata kama Mwandosya na Mwakyembe wako njiani. Mungu anajua nani atatungulia, si ajabu kifo cha wabaya wao kitakua kibaya zaidi.

Hawajui hao ndugu yangu. Wengine wana kiharusi, tena bila hata kuguswa na mtu.
 
guys acha wamweke lowassa kugombea urais ndio itakuwa kiama kwa magamba
kwanza wao kwa wao watagawanyika.
ukiangalia magamba wote hakuna anaefaa au hata kuwa na mvuto wa kuwa rais
upinzani unganeni sasa wakati ndio huu.
 
Membe???? If I had to choose of the two evils, I will go for Lowassa! By the way siyo kila mwana JF amemchoka Lowasa! Gizani hatujaingizwa na Lowassa bali na Jakaya! Why should u blame a child for the wrongs of his father?
 
Hivi kuna watanzania wenye nazo ambao kweli wanaweza kupoteza hata dakika moja kujaribu kutafuta Rais kutoka ndani ya CCM? Tena kwa kujadili RA, EL, Membe na Kikwete?

Hivi huyu mtoa hoja na wenzake wanaolumbana juu ya membe na EL ni Watanzania kweli wanaoipenda nchni yao kwa dhati? Hizi kwani tusikubaliane kama jamii iliyojifunza kutoka na makosa kuwa kuwajadili hao kosa na tusi katika jamii yetu?

Kama JF inataka kuitendea haki Tanzania basi wajue ukweli kuwa kujadili hao hayawani kwa lengo la kuwapigia kampeni ni matusi ambayo yangetosha kumpa mtu Bann hata milele, hii si sawa na kitendo cha kuruhusu kumsifia shetani Kanisani na ndani ya Misikiti? Sisi tuna mchango gani katika Taifa letu kama hata hatuwezi kusema kuwa Kumpigia Kampeni Lowasa, Membe, Mwinyi, Magufuri na waovu kama hao ni kosa na ni sawa kuhujumu Taifa letu?

Hivi ni mpumbavu wa kiasi gani bado anafikiria juu ya hawa watu? Naamini hii si nguvu ya fedha bali ni ujinga wa wahusika, sasa ifikie wakati tusiwape nafasi kabisa, maana mtu mpumbavu hana aibu.
 
Hilo group la watu watatu linamnyemelea Sitta baada ya kumwangamiza Mwakyembe kwa sumu. Mipango yote inatekelezwa na Rostam.

Na huko Appolo alikokwenda ndipo wanaenda kummalizia kabisa, Kwa nini wasipelekwe hospitali nyingine? Wahindi wanaoshirikiana na Rostam wanahakikisha kila anaepinga interest zao za kuimaliza TZ anapelekwa huko na huko ndiko madaktari waliolipwa na kodi zetu wanawamaliza.

Hivi majuzi nikiwa nasafiri kutoka Tz kwenda mashariki ya kati nilisafiri na mmoja wa wanafamilia wa JK ila mwanzoni sikumjua kwani tulianza maongezi bila ya kufahamiana mwisho nilipokua naunganisha ndege nyingine nikafahamiana nae kwa majina ndio nikatambua alikua ni mmoja wa wanafamilia wa JK.

Ila tuliyoyaongea kweli yanatisha na ndipo nilipojua sasa hivi ni zamu ya Sita, baada ya Mwakyembe.

Ila cha kushangaza hata JK anajua kinachoendelea. Halafu kwa unafiki anaenda kumtembelea nyumbani huku akijua kinachomtokea Mwakyembe.

MUNGU IBARIKI TZ NA UIPONYE
 
Hii kali ya mwaka akya mbongo binti mwamadi, mimi mwenyewe nipo hapa magogoni mwaka wa sita huu hii mambo sikudhania!!!! Lkn yana ukweli ndani yake!!!!!!!
 
Mhhhhhhhhh ni hayo tena. Mpaka tufike 2015 tutayasikia mengi. Kuna siku kila kitu kitawekwa hadharani. Mungu ibariki Tz
 
Mwanakijiji hujaitendea haki hii thread. You cannot be this economical with facts. We need your robust contribution please!


I hope jana ulisikia speech na malalamiko ya Rais Mstaafu Mzee Ally Hassan Mwinyi,kisha ludi nyuma kusikiliza speech kihistoria ya Mwalimu Julius Kambarage katika Uwanja wa Mpira Mbeya siku ya Mei Mosi hakika jibu utalipata kwanini hayo yanasemwa.Kwa lugha nyepesi aliyotumia Mzee Mwanakijiji baada ya kuisoma thread hii na yeye kuchangia ujumbe wake. Uitaji kuuumiza kichwa kama kweli wewe ni mwelewa wa mambo ya kulekebisha na kujenga mambo mazuri na si ushabiki wa kichama fulani au mtu wa chama fulani humu ndani ya JF.

Kwa hiyo unataka facts uletewe kama mtoto mdogo anavyoletewa na Baba yake chocolate au peremende pindi baba huyo anapolejea toka kazini. Naona hivyo basi iwe kuwa hii hapa ndio picha kamili yenye sura ya kimafia, au wewe kama mwanajf utumie busara ambazo ndio daima zinazotatua matatizo yenye sura tajwa hapo juu na si jaziba na pupa.

Mfano mleta thread kwa kipimo hicho juu yaonyesha anajua mengi sana,kuhusiana na mchezo mzima lakini kwa kujua umhimu wa JF nae kawamegea kidogo ili wewe,Mzee Mwanakijiji na wengine wengi humu JF waunge pamoja na mengineyo waliyonayo kwenye vichwa vyao basi wapigie mstari au kikwetu tunasema "AKILI MKICHWA" na basi kama unaweza unachukua hatua unavyoona wewe mwanajf, kama ambavyo mleta mada anamshauri Bwana Membe kuchukua hatua.Kwa taarifa yako mwambiwaji anaujua mtiti wake yeye mwenyewe,vinginevyo haya ni mambo ya watu wazima hayataki bra bra.
 
This thread has done us one significant favour. For the first time, the serial killers have claimed responsibility for what has befalled two of our dedicated Tanzanians who are now bed ridden in India. They are also claiming responsibility for what is in stoke, as far as eliminating their critics and competitors is concerned. But don't think that Tanzanians are so stupid. They will not stand aside and watch as you execute these murderous acts unabetted. Again, don't drag our beloved President into this suicidal plot because we know our preseident more than what you think we know.

The thread has clearly told us that your king fears competition and criticism and he is the Charles Taylor of this country who thinks he can eliminate everybody to ascend to the coveted seat. He assumes that God will bless these satanic plans through and through. They have confirmed that these are dirty people who cannot be trusted with any junior position in the service of this country. We now know that Membe is next on the list and Tanzanians have taken note of this and they are watching!

Kwenye nyekundu, do u really know him?
 
Hilo group la watu watatu linamnyemelea Sitta baada ya kumwangamiza Mwakyembe kwa sumu. Mipango yote inatekelezwa na Rostam.

Na huko Appolo alikokwenda ndipo wanaenda kummalizia kabisa, Kwa nini wasipelekwe hospitali nyingine? Wahindi wanaoshirikiana na Rostam wanahakikisha kila anaepinga interest zao za kuimaliza TZ anapelekwa huko na huko ndiko madaktari waliolipwa na kodi zetu wanawamaliza.

Hivi majuzi nikiwa nasafiri kutoka Tz kwenda mashariki ya kati nilisafiri na mmoja wa wanafamilia wa JK ila mwanzoni sikumjua kwani tulianza maongezi bila ya kufahamiana mwisho nilipokua naunganisha ndege nyingine nikafahamiana nae kwa majina ndio nikatambua alikua ni mmoja wa wanafamilia wa JK.

Ila tuliyoyaongea kweli yanatisha na ndipo nilipojua sasa hivi ni zamu ya Sita, baada ya Mwakyembe.

Ila cha kushangaza hata JK anajua kinachoendelea. Halafu kwa unafiki anaenda kumtembelea nyumbani huku akijua kinachomtokea Mwakyembe.

MUNGU IBARIKI TZ NA UIPONYE


Hapo kwenye Red wana JF ndipo kiini cha tatizo la Taifa letu, Jamani hilo ndio Janga la Watanzania lilipo lala daima.Hakika Mizimu ya Babu na Bibi zetu itasema na hawa jamaa manake ukisema wabantu wenye madaraka na wanamfumo walionyeshwa kahawa za kiarabu na tambuu za kihindi wanasema ubaguzi ubaguzi,jamani tumeuza ardhi ya Mtanzania kwa kulishwa limbwata la kahawa na tambuu.

Ila Mungu na Mizimu ya Babu na Bibi zetu watasikia kilio chetu Watanzania iko siku isiyo na jina.
 
I believe it'd be fair to focus on our present/ current problems and how to get permanent solution instead of the race fo 2015 presidency. We do not know how many would succumb to that date in the current hardship. So, lets put forward matters relating to our today and immediate future on disscussion NOW. PLEASE!!!!
 
EL will come out and silence all of you.

Membe, who is Membe? Nchi hii hatutaki tena rais aliyeshika portfolio ya Mambo ya nje! Tunataka mtanzania na mtanzania aliyenazo ili asiimbe aendeleze nchi yetu.

Miaka 50 tunacheza cheza tu mbona visiwa vya far east vimepiga hatua kubwa? Tuache upumbavu tuamke tuna kila kitu hapa TZ tatizo ni viongozi wasio na upeo kama Membe.
 
Back
Top Bottom