Membe au Lowassa mmoja ndiye alitakiwa kuwa Rais!!

Haaah eti mungu Siku hizi mungu anafanya mambo ya kishetani kama haya...

Mungu ana deals na kanisa na misikiti sio unafiki mwingine

Mambo ya utawala wa nchi si ya Kishetani. Mungu anahusika nayo, kwa vile Mungu anahusika na mwanadamu kwa ukamilifu wote yaani mwili, nafsi na roho pamoja na mahusiano ya mwanadamu na Mungu mwenyewe na wanadamu wenzake
 
Kwanza lazima tuwe wakweli ili uwe Rais wa miaka hii lazima ujiandae sio kwenda kujifunzia kuongoza ikulu hapo lazima utatawala tu.
Kwa maoni yangu baada ya kuchunguza utawala na si uongozi wa awamu ya Tano nimegundua mambo yafuatayo.

1: Aliyetakiwa kupewa nchi ni Membe kwa sababu Membe ni mbobezi katika diplomasia na alikuwa ameshazunguka dunia yote kuitangaza Tanzania.
Alikuwa anajulika Kuanzia marekani mpaka Japan sio tu kwamba angefanikisha urais wake lakini nijuavyo depomasia yake ingesaidia kuipeleka nchi yetu uchumi wa kati.

Membe tabia aliyokuwa nayo ni kama ya Kikwete sizani kama chini ya Membe wanafunzi wengi wangelikosa mkopo kama livyo sasa.
Sizani chini ya Membe kama pesa za watu wa tetemeko zingepigwa panga na kwenda kusikojulikana mpaka sasa

Sizani kama chini ya Membe MCC wangefunga ofisi yao nchini na taifa kukosa 1.6 trions. Sizani kama chini ya Membe kama tungekosa dawa hospitali hata chanjo wakati huo tukajenga uwanja wa ndege mtama ndani ya mwaka wa kwanza wa budget.

2 : Lowassa vile vile ni msomi wa maendeleo na tajiri wa kiwango cha kati sizani kama angekubali ndani ya mwaka wake wa budget tuweke VAT kwenye utalii na kupoteza watalii na kuua biashara ya utalii nchini ikiwemo kupoteza ajira za watanzania ....

Sizani kama Lowassa angekubali kuzuia watu wasiuze mazao yao nje ya nchi wakati hakuwasaidia kulima na yeye anajua nini maana ya biashara..
Sizani kama lowassa angekubali tuendelee kuilipa IPTL mamilioni ya pesa uku serikali ikiendelea kuipa TANESCO ruzuku.

Sizani kama Lowassa angeshindwa kutufanya tumjue nani mmiliki wa Simbioni ambayo ndio Richmond kwanini ipo mpaka sasa pale ubungo inazalisha umeme?

Bado naamini tulitakiwa kuwa na Rais aliyejiandaa kuongoza watu na kushirikiana na mataifa mbali mbali sio kututawala kimazingira na kifikra.

Wahenga walisema yaliyopita si ndwere tugange yajayo.
 
Kukusanya kodi ni kitu kimojawapo kikubwa kwa nchi yeyote kuleta maendeleo. Ukikwepa kodi China ni kifo, Marekani ama Uingereza ni kifungo cha muda mrefu. Tanzania inaendelea pengine hauna macho. Sio lazima asafiri, Tanzania ina mabalozi na WATU wengi waweza kuwakilisha. Tulikuwa na Rais bwana msafiri maendeleo hatukuyaona, hakuna ushahidi wa kuunga mkono uliyoyandika. Tuwache siasa za kitoto tumuunge mkono RAIS MAGUFULI, Tanzania si yake pekee, ni ya WATANZANIA wote.
Mkuu tulishajitolea kumuunga mkono na kumpigia kura tatizo nchi ishakuwa yake vitu vingi kavifanya vyake na kutoka nje ya sheria nfo kinachowauma watanzania
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
 
Kweli hali mbaya adi watu wanamkumbuka kikwete na membe watu ambao by 2015 kila mtanzania alikua kawachoka.. Kweli there is BAD SITUATION and there is WORST SITUATION.
 
Kwanza lazima tuwe wakweli ili uwe Rais wa miaka hii lazima ujiandae sio kwenda kujifunzia kuongoza ikulu hapo lazima utatawala tu.
Kwa maoni yangu baada ya kuchunguza utawala na si uongozi wa awamu ya Tano nimegundua mambo yafuatayo.

1: Aliyetakiwa kupewa nchi ni Membe kwa sababu Membe ni mbobezi katika diplomasia na alikuwa ameshazunguka dunia yote kuitangaza Tanzania.
Alikuwa anajulika Kuanzia marekani mpaka Japan sio tu kwamba angefanikisha urais wake lakini nijuavyo depomasia yake ingesaidia kuipeleka nchi yetu uchumi wa kati.

Membe tabia aliyokuwa nayo ni kama ya Kikwete sizani kama chini ya Membe wanafunzi wengi wangelikosa mkopo kama livyo sasa.
Sizani chini ya Membe kama pesa za watu wa tetemeko zingepigwa panga na kwenda kusikojulikana mpaka sasa

Sizani kama chini ya Membe MCC wangefunga ofisi yao nchini na taifa kukosa 1.6 trions. Sizani kama chini ya Membe kama tungekosa dawa hospitali hata chanjo wakati huo tukajenga uwanja wa ndege mtama ndani ya mwaka wa kwanza wa budget.

2 : Lowassa vile vile ni msomi wa maendeleo na tajiri wa kiwango cha kati sizani kama angekubali ndani ya mwaka wake wa budget tuweke VAT kwenye utalii na kupoteza watalii na kuua biashara ya utalii nchini ikiwemo kupoteza ajira za watanzania ....

Sizani kama Lowassa angekubali kuzuia watu wasiuze mazao yao nje ya nchi wakati hakuwasaidia kulima na yeye anajua nini maana ya biashara..
Sizani kama lowassa angekubali tuendelee kuilipa IPTL mamilioni ya pesa uku serikali ikiendelea kuipa TANESCO ruzuku.

Sizani kama Lowassa angeshindwa kutufanya tumjue nani mmiliki wa Simbioni ambayo ndio Richmond kwanini ipo mpaka sasa pale ubungo inazalisha umeme?

Bado naamini tulitakiwa kuwa na Rais aliyejiandaa kuongoza watu na kushirikiana na mataifa mbali mbali sio kututawala kimazingira na kifikra.
Kwa jinsi unavyobadilika sitashangaa ukimpiga kura Magufuli 2020.
 
Wahenga walisema yaliyopita si ndwere tugange yajayo.

Membe alikuwa kiongozi mwenye ubinafsi, mwenye majivuno na mpenda maisha ya juu kwa jasho la Watanzania wengi. Aliunga mkono wasiolipa kodi na kusema angewaachia na kuwapa mda wa Miezi mitatu kulipa kodi. Aliwaahidi wafanyakazi kwenye ministry yake angepata urais asingewasahau engewafikilis wao kwanza, hiyo ni ahadi ya kifisadi. Membe alikuwa Waziri wa nnje kwa miaka mingi na kujuwana na viongozi wa nchi mbalimbali ameiletea nini Tanzania zaidi ya kukabidhi nchi kwa mafsadi? Tunashukuru Membe hakuupata Urais Watanzania tungekoma, ufisadi ndiyo ungekomaa, Mali za umma zingetoweka mojamoja, na Tanzania ingekuwa na mabilionea 10 na zaidi ya milioni 49 Watanzania madikini wa kutupwa. Tanzania hiyo ya Membe MUNGU apishe mbali. Tanzania ya Magufuli ya kutetea wanyonge ndiyo Tanzania tuitakayo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom