technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 11,975
- 48,842
Kwanza lazima tuwe wakweli ili uwe Rais wa miaka hii lazima ujiandae sio kwenda kujifunzia kuongoza ikulu hapo lazima utatawala tu.
Kwa maoni yangu baada ya kuchunguza utawala na si uongozi wa awamu ya Tano nimegundua mambo yafuatayo.
1: Aliyetakiwa kupewa nchi ni Membe kwa sababu Membe ni mbobezi katika diplomasia na alikuwa ameshazunguka dunia yote kuitangaza Tanzania.
Alikuwa anajulika Kuanzia marekani mpaka Japan sio tu kwamba angefanikisha urais wake lakini nijuavyo depomasia yake ingesaidia kuipeleka nchi yetu uchumi wa kati.
Membe tabia aliyokuwa nayo ni kama ya Kikwete sizani kama chini ya Membe wanafunzi wengi wangelikosa mkopo kama livyo sasa.
Sizani chini ya Membe kama pesa za watu wa tetemeko zingepigwa panga na kwenda kusikojulikana mpaka sasa
Sizani kama chini ya Membe MCC wangefunga ofisi yao nchini na taifa kukosa 1.6 trions. Sizani kama chini ya Membe kama tungekosa dawa hospitali hata chanjo wakati huo tukajenga uwanja wa ndege mtama ndani ya mwaka wa kwanza wa budget.
2 : Lowassa vile vile ni msomi wa maendeleo na tajiri wa kiwango cha kati sizani kama angekubali ndani ya mwaka wake wa budget tuweke VAT kwenye utalii na kupoteza watalii na kuua biashara ya utalii nchini ikiwemo kupoteza ajira za watanzania ....
Sizani kama Lowassa angekubali kuzuia watu wasiuze mazao yao nje ya nchi wakati hakuwasaidia kulima na yeye anajua nini maana ya biashara..
Sizani kama lowassa angekubali tuendelee kuilipa IPTL mamilioni ya pesa uku serikali ikiendelea kuipa TANESCO ruzuku.
Sizani kama Lowassa angeshindwa kutufanya tumjue nani mmiliki wa Simbioni ambayo ndio Richmond kwanini ipo mpaka sasa pale ubungo inazalisha umeme?
Bado naamini tulitakiwa kuwa na Rais aliyejiandaa kuongoza watu na kushirikiana na mataifa mbali mbali sio kututawala kimazingira na kifikra.