Membe atembelea mpaka wa Tanzania na Malawi, awaondoa wasiwasi wananchi

Tina

JF-Expert Member
Jul 9, 2007
572
579
Membe jana ametembelea mpaka wa Tanzania na Malawi eneo la Kasumulu na kupata maelezo ya wazee waliozaliwa maeneo ya ziwa hilo wakiwamo waliozaliwa katika eneo ambalo sasa limeshamezwa na maji.

Baadhi ya wazee wamesema maeneo walimokuwa wakiishi na walikozikwa wazee wao, sasa limefunikwa na maji.

Taarifa zaidi kuwajia.
 
jeshi letu lipo mpakani kulinda mipaka yetu lakini au wapo hazina wanapigana vikumbo kuwaibia watanzania hazina yao kiduchu???
 
Kumbe alikua na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Shabani Kandoro
 

Attachments

  • uploadfromtaptalk1351628727533.jpg
    uploadfromtaptalk1351628727533.jpg
    132.1 KB · Views: 46
  • uploadfromtaptalk1351628784345.jpg
    uploadfromtaptalk1351628784345.jpg
    104.1 KB · Views: 50
  • uploadfromtaptalk1351628911754.jpg
    uploadfromtaptalk1351628911754.jpg
    47.7 KB · Views: 49
Wapo busy na kusafirisha mapene kwenda Uswizi
dah! wanapigana vikumbo kwenye airbus tu, enzi za mwalimu hawa wote wanacharazwa bakora tu, bakora 12 wakati wanaenda keko(segerea), na bakora 12 wakati wanatoka ili wakawaonyeshe na wake zao..........enzi za ****** nikuchekeana tu........
 
nilikua naelekea Dodoma nimekutana na msafara nikajua Waziri Mkuu au Rais! nikagundua ni Membe, alikua na ulinzi kamili. nadhani ktk suala hilu ka Malawi anaenda akiwa kamili na baraka za wenzake wote. Hii ndio Tanzania tuitakayo, umoja ktk mambo ya kitaifa japo sasa nasikia CCM Kyela walienda na sare za kijani bila aibu wakati jambo husika kinataka umoja.
 
Back
Top Bottom