Membe amshukia KITINE, amfananisha na "Kingwendu"

akanushe na ghorofa anayojenga kwenye ufukwe wa bahari mjini mtwara, kaua mazalia ya samaki anakuja kuongea mambo ya ajabu hata dhamira haimwumi. Sijui viongozi hawa wakoje
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema mtu yeyote anayehitaji kugombea urais mwaka 2015 anahitaji kusikia sauti ikimwambia omba na si kukurupuka.

Membe alisema hayo leo jijini Dar es Salaam, wakati akijibu maswali yaliyoulizwa na waandishi wa habari likiwemo la kutajwa kuwania urais 2015.

Katika mkutano huo uliolenga kuzungumzia msimamo wa Tanzania kuhusu Jamhuri ya Watu wa Sahara Magharibi na Morocco, Membe alisema hajaisikia sauti ikiniambia omba urais ila kwa ubunge aliisikia.

“Mtu yeyote anayetaka kuomba urais 2015 anahitaji kusikia sauti ikimwambia kila saa omba, yani akilala sauti hiyo anaisikia na hata akitembea … kama akikurupuka lazima awe ameteuliwa na chama chake na kukubalika.

“Kwa upande wangu mimi sijaisikia hiyo sauti ikiniambia omba urais ila kwa ubunge niliisikia, hivyo nikiisikia nitawaambia,” alisema.

Akizungumzia tuhuma zilizoelekezwa na mmoja wa viongozi wastaafu nchini kwamba anajenga hoteli nje ya nchi, alisema kuwa aliyezitoa tuhuma hizo hana tofauti na mganga anayedaiwa kutoa uchawi mkoani Lindi aitwaye Kingwendu ambaye amekuwa akitoa habari za kutatanisha.

“Kingwendu amekuwa akipita katika baadhi ya vijiji na kukusanya wananchi na kuwaambia anayeua watoto wenu ni mama mmoja ana macho mekundu, anakaa upande wa kushoto.

“Wananchi huenda kumkamata mzee na kumjeruhi na wanapokamatwa wanadai ni Kingwendu kawaambia wakati yeye Kingwendu akiitwa anasema hajataja mtu jina.

“Katika ngazi ya Taifa tumeweza kuwa na vingwendu wengi, hivyo ni lazima tuwawajibishe watu kama hao vinginevyo wataleta matatizo, kama tunataka kuwa na taifa lenye ustawi lazima tuwabane watu kama hawa wazungumze ukweli,” alisema.

Membe alitaka atafutwe aliyetoa tuhuma hizo na ahojiwe ili aeleze ukweli na endapo atamtaja yeye ndipo ahojiwe huku akisisitiza kwamba kuwepo na vingwendu kutawatesa wananchi hivyo wanapaswa kuwajibishwa

Sosi:
HabariLeo | Membe- Msikurupuke kuwania urais 2015
 
Wakuu someni magazeti, Nipashe leo wameandika kwamba Kitine amekataa kutaja jina la anayemtuhumu na kasema hajui Membe atapambana na nani! Haya huyo ndio Kingwendu, kaombwa ataje jina na yeye kalala mitini. Muongo wa mchana kweupee.

Kama membe angalitumia busara kidogo tu, angejua kuwa hakupaswa kujibu lile swali la mwandishi wa habari. Kuhangaika kutoa majibu kwake ndipo wenye ujuzi wa SYLLOGISM wanaunganisha premises na kupata jibu. Hapo kwa mtu mwenye utashi wa binadamu wa kawaida unapata jibu tu.

Kama hakumtaja mtu, membe akarukia kujibu swali, leo kitine anasema hawezi kumtaja wakati tayari kuna mtu kajishuku hivi unataka amtaje ili iwe nini? Hapa naona katika wale wataalam wa research wanajua kwamba kila fact inamchango katika tafiti, kwa nini sasa tume ya maadili isianze uchunguzi wake iwe kama moja ya HYPOTHESIS? Tume tunayo inashindwa nini kuanzia hapo? The fact kwamba findings zaweza kuwa positive au negative hiyo ndiyo reseach mwisho wa siku mambo yataeleweka.

Bado sioni tatizo kwa Dr. Kitine kukataa kutaja jina, tayari wenye upeo washapambanua, kilichobaki ni kufanya investigation, hiyo ni kazi ya vyombo mbalimbali vya dola na tume ya maadili ya viongozi, isisubiri kuletewa list ya mali anazotaja pia ijikite kuwasaka zaidi wabadhirifu.

Kama Kitine kakataa kumtaja anajua messege imefika ndo maana of all the people akajitokeza membe kujishuku! To me inatosha kupata jibu.
 
Mkuu wacha unafiki na kujipendekeza kama popo kwa kujifanya kila upande uwepo!!

baba yako na mama yako walihongwa millioni200 (source Sophia Lioness/simba ndani ya CC ya CCM) za Jeetu Patel,walishawahi kukana au nao ndio walisema Sophia ni Kingwendu?!!!
Kwa nini bado tunaendeleza sera hizi za matusi? William hastahiki kutukanwa kwa makosa ya wazazi wake (kama wanayo). Ingekuwa busara kuanzisha uzi rasmi kwa hawa wazee wa William ili tuwajadili wao na sio mtoto wao. Tuipeni JF hadhi yake ya kuwa kisima cha busara.

Mkuu wangu tuhuma ulizomshushia willy na wazazi wake ni kubwa sana inabidi uziletee ushahidi.
Nilishaandika hapo juu, kwa nini kama mtu ana hakika na anacho kisema haleti hapa tukakijadili badala ya kujificha kwenye visogo vya watoto/wazazi wao?
Kwa kifupi nilimpunguzia Maksi Mzee Kitine, kwani kama angekuwa na uzalendo kisha awe na ushahidi wa uhakika wa aliyoyaongea nadhani angemtaja huyo mtu ili tumjue na ikiwezekana Sheria ifuate mkondo wake... Kiukweli kitendo cha mzee Kitine ni cha kinafiki.
Bado tutarajie kuwa atajirudi na kuweka kila kitu wazi. Kuendelea kumwaga sumu na majungu kutazidi kumfanya aonekane mnafiki na mwenye chuki binafsi, lakini zaidi MWOGA.

Naamini mtu kama yule kwa status yake hawezi kuwa amekurupuka tu, na hata kama ameongea eti kisa ya ugomvi wake na membe kama inavyosemekana hiyo sisi haituhusu cha muhimu ni authenicity of the allegations!
Noted!

- Daamn right, ninatokea kwenye familia ya politics so everything on me is a fair game, do yuo have a problem with that? I don't ndio siasa, ninaita biashara ya utumbo huwezi kuogopa harufu yake unless wewe sio a good politician.

- Ni tabia yangu kusimamia haki na ukweli, sio majungu majungu, halafu elewa kwamba ninaingia kwa jina langu kamili so I am very much aware ya the record, ninasema taifa hailwezi kuendeshwa kwa majungu majungu, Kitine ana elimu kubwa kuelewa hilo, ukitoka kwenye mlo kubali tu yaishe lakini sio kuvuruga amani ya taifa na majungu!
William.
Angalau kwa hili niko pamoja nawe Mkuu, kwa ujasiri wako wa kuingia kwa jina lako na kukabiliana na matusi ya humu, lakini umemaliza, "ukiuza utumbo usiogope nzi", ingawaje naamini kuwa sio lazima kila siasa huwa ni utumbo bali zile labelled SIAZA ZA UTUMBO. Hizo epukana nazo.
 
Kama membe angalitumia busara kidogo tu, angejua kuwa hakupaswa kujibu lile swali la mwandishi wa habari. Kuhangaika kutoa majibu kwake ndipo wenye ujuzi wa SYLLOGISM wanaunganisha premises na kupata jibu. Hapo kwa mtu mwenye utashi wa binadamu wa kawaida unapata jibu tu.

Kama hakumtaja mtu, membe akarukia kujibu swali, leo kitine anasema hawezi kumtaja wakati tayari kuna mtu kajishuku hivi unataka amtaje ili iwe nini? Hapa naona katika wale wataalam wa research wanajua kwamba kila fact inamchango katika tafiti, kwa nini sasa tume ya maadili isianze uchunguzi wake iwe kama moja ya HYPOTHESIS? Tume tunayo inashindwa nini kuanzia hapo? The fact kwamba findings zaweza kuwa positive au negative hiyo ndiyo reseach mwisho wa siku mambo yataeleweka.

Bado sioni tatizo kwa Dr. Kitine kukataa kutaja jina, tayari wenye upeo washapambanua, kilichobaki ni kufanya investigation, hiyo ni kazi ya vyombo mbalimbali vya dola na tume ya maadili ya viongozi, isisubiri kuletewa list ya mali anazotaja pia ijikite kuwasaka zaidi wabadhirifu.

Kama Kitine kakataa kumtaja anajua messege imefika ndo maana of all the people akajitokeza membe kujishuku! To me inatosha kupata jibu.

- Hapana kwenye siasa usipojibu mapema inageuka kuwa ukweli muulize Salim, Ktine hakutaja jina na Membe hakutaja jina, lakini one thig ipo wazi Kitine ana tabia ya udokozi na uongo!

Es!
 
Kwa nini bado tunaendeleza sera hizi za matusi? William hastahiki kutukanwa kwa makosa ya wazazi wake (kama wanayo). Ingekuwa busara kuanzisha uzi rasmi kwa hawa wazee wa William ili tuwajadili wao na sio mtoto wao. Tuipeni JF hadhi yake ya kuwa kisima cha busara.

Nilishaandika hapo juu, kwa nini kama mtu ana hakika na anacho kisema haleti hapa tukakijadili badala ya kujificha kwenye visogo vya watoto/wazazi wao?

Bado tutarajie kuwa atajirudi na kuweka kila kitu wazi. Kuendelea kumwaga sumu na majungu kutazidi kumfanya aonekane mnafiki na mwenye chuki binafsi, lakini zaidi MWOGA.

Noted!

Angalau kwa hili niko pamoja nawe Mkuu, kwa ujasiri wako wa kuingia kwa jina lako na kukabiliana na matusi ya humu, lakini umemaliza, "ukiuza utumbo usiogope nzi", ingawaje naamini kuwa sio lazima kila siasa huwa ni utumbo bali zile labelled SIAZA ZA UTUMBO. Hizo epukana nazo.

- FULL STOP!

eS!
 
- hapana hili taifa tufike mahali tuchoshwe na majungu majungu, siku zote tunaishia kuwachafua viongozi wazuri kisa majungu majungu tu, tujadili policies za membe kama waziri kama ni mbovu basi tumhukumu on those lines, lakini sio majungu majungu tu!

- habari za siasa za baba hazinihusu mkuu, mimi nina siasa zangu na nido hizi kukataa majungu majungu, membe ana haki ya kugombea urais akitaka kama wewe na mimi pia tunavyoruhusiwa na sheria, ninajua for a fact kwamba viongozi wengi wa sasa walihusika na kampeni za siasa against baba yangu, so what? Kwa hiyo kwa sababu viongozi hawa walihusika na kampeni za siasa against wapinzani, basi wapenzi wa upinzani wawachukie tu bila sababu?

- kampeni ni kampeni, sasa ni saa ya kutawala tunasahau na kuwa one thing na kwenda kwa mbele, mimi siwezi kulipwa kumtetea kiongozi yoyote mwizi will never do that, unanijua vizuri sana, lakini siwezi kuja hapa kuanza siasa za visasi na mtu eti kwa sababu aliwahi kusimama kwenye uchaguzi agaiinst baba yangu, please pm jina lako kubwa sana huku jf!

William.

mkuu willy mimi nakuheshimu sana ...kama unavyoheshimika hapa ....you know kwa pamoja humu ndani tumekuwa pamoja kwenye mengi ya kutetea taifa hili na ni nadra sana kuwa agaist na wewe ...mara nyingi imetokea misimamo yetu ikafanana...lakini with good faith na najuwa hununuliki....hawa watu wa membe project wanakuingiza choo cha kike.....please chukuwa ushauri wangu......

Play neutral for now........hawa wanataka wakutumie kama walivyomtumia mtoto wa apson ....na kuishia kumpa ubunge wa uteuzi ..one term ....narudia tena bill ...play neutral ...for now hadi uchaguzi ndani ya chama uishe ndio angalau unaweza kuamua nani wa kuside nae....wanakutumia hawa kama condom...kwa kuwa wanataa kura za huruma za wafuasi wa mzee wako ....ambao ni wengi sana nchini mkuu.......

Sikuazimishi kukubali maoni yangu ....ila kama hutaki tutakutana hapa miaka miwili ijayo god wishing........na utaniambia....

Kama umekubali maoni yangu ya ku play neutral ...jiandalie mwenyewe exit strategy yako ya kujiondoa kwa huyu jamaaaa.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
- Ohhh my God, looong post lakini empty Kitine na Mkewe wamekamatwa red handed kwamba ni wezi, mawaziri wameondolewa juzi kwa sababu ya ripoti ya CAG, sasa wewe kama una evidence weka hapa waondolewe hao viongozi wengine, tunaongelea FACTS, kwenye case ya Kitine na mkewe zilitolewa FACTS sio longo longo la waziri ana hela nje anataka kugombea urais, mtaje anaanza kugwaya!

- Daamn right, ninatokea kwenye familia ya politics so everything on me is a fair game, do yuo have a problem with that? I don't ndio siasa, ninaita biashara ya utumbo huwezi kuogopa harufu yake unless wewe sio a good politician.

- Majungu majungu ya Kitine, hii sio mara ya kwanza analeta kizaa zaa na majungu, kuna wakati akiwa mbunge asliema mawaziri wezi, akaambiwa na Masilingi awataje akasema amenukuliwa vibaya na media, now here he is again sema jina la waziri hawezi, sasa nini maaana ya majungu in your understanding ya majungu?

- Ni tabia yangu kusimamia haki na ukweli, sio majungu majungu, halafu elewa kwamba ninaingia kwa jina langu kamili so I am very much aware ya the record, ninasema taifa hailwezi kuendeshwa kwa majungu majungu, Kitine ana elimu kubwa kuelewa hilo, ukitoka kwenye mlo kubali tu yaishe lakini sio kuvuruga amani ya taifa na majungu!

William.

Nazidi kupata uelewa juu ya utofauti mkubwa uliopo kati ya taasisi binafsi na zile za Serikali lakini vile vile Elimu ya Duniani na ile ya Darasani na zaidi ni utumwa wa ahadi na fikra binafsi chanya.

Nikushukuru sana!

MEITINYIKU L. Robinson
 
“Kingwendu amekuwa akipita katika baadhi ya vijiji na kukusanya wananchi na kuwaambia anayeua watoto wenu ni mama mmoja ana macho mekundu, anakaa upande wa kushoto.

“Wananchi huenda kumkamata mzee na kumjeruhi na wanapokamatwa wanadai ni Kingwendu kawaambia wakati yeye Kitine akiitwa anasema hajataja mtu jina.

teh teh teh , kwa hiyo moja kwa moja Kitine ni Kingwendu

mkuu willy mimi nakuheshimu sana ...kama unavyoheshimika hapa ....you know kwa pamoja humu ndani tumekuwa pamoja kwenye mengi ya kutetea taifa hili na ni nadra sana kuwa agaist na wewe ...mara nyingi imetokea misimamo yetu ikafanana...lakini with good faith na najuwa hununuliki....hawa watu wa membe project wanakuingiza choo cha kike.....please chukuwa ushauri wangu......

Play neutral for now........hawa wanataka wakutumie kama walivyomtumia mtoto wa apson ....na kuishia kumpa ubunge wa uteuzi ..one term ....narudia tena bill ...play neutral ...for now hadi uchaguzi ndani ya chama uishe ndio angalau unaweza kuamua nani wa kuside nae....wanakutumia hawa kama condom...kwa kuwa wanataa kura za huruma za wafuasi wa mzee wako ....ambao ni wengi sana nchini mkuu.......

Sikuazimishi kukubali maoni yangu ....ila kama hutaki tutakutana hapa miaka miwili ijayo god wishing........na utaniambia....

Kama umekubali maoni yangu ya ku play neutral ...jiandalie mwenyewe exit strategy yako ya kujiondoa kwa huyu jamaaaa.

- Mkuu PM, heshima sana lakini naomba ukubali one thing kwamba sina anything to do na kambi ya mtu yoyote hapa Tanzania, kwenye kampeni za EAC nimeomba kura kwa wote, sikujali makundi, na nilienda kuwaona wote uso kwa uso; Waziri Membe to me ni mwananchi kama wengine ana haki ya kugombea anything, kama ana mapungufu iwe kwa policies zake na hasara zake kwa taifa.

- Otherwise, maneno yako ni mazito sana na ninayasikia sana na kuyatafakari ila sina kundi, wala situmiwi na mtu yoyote sijawahi na haitakuja kutokea, siasa ni mchezo mchafu you know that, ila zikipita tunasahau na kusonga mbele, Tom is my good friend I respect him, kama kuna kosa alifanya ilikuwa kugombea NEC against Mwandosya that was a wrong political move, ninaamini kwamba he is a politician na anajua hilo.

Please, rest assured kwamba sina kundi wala sina mpango wa kujiunga na kundi lolote la siasa hapa nian siasa zangu mwenyewe, na wala za baba sina muda nazo, ninayo macho na ninayo masikio, siku zote huwa ninasimamia haki, kwenye hili la Membe na Kitine, ninasema Kitine is wrong na anahitaji kumuomba Membe radhi, hatuwezi kuendesha taifa kwa majungu majungu, Kitine amesoma sana amewahi kushika nafasi kubwa sana kwenye Usalama wa Taifa letu unawezaje kuruka na serious accusations kama hizo bila kuonyesha FACTS?

HESHIMA MBELE BRO, NA NIMEKUSIKIA SANA!

William.
 
mkuu willy mimi nakuheshimu sana ...kama unavyoheshimika hapa ....you know kwa pamoja humu ndani tumekuwa pamoja kwenye mengi ya kutetea taifa hili na ni nadra sana kuwa agaist na wewe ...mara nyingi imetokea misimamo yetu ikafanana...lakini with good faith na najuwa hununuliki....hawa watu wa membe project wanakuingiza choo cha kike.....please chukuwa ushauri wangu......

Play neutral for now........hawa wanataka wakutumie kama walivyomtumia mtoto wa apson ....na kuishia kumpa ubunge wa uteuzi ..one term ....narudia tena bill ...play neutral ...for now hadi uchaguzi ndani ya chama uishe ndio angalau unaweza kuamua nani wa kuside nae....wanakutumia hawa kama condom...kwa kuwa wanataa kura za huruma za wafuasi wa mzee wako ....ambao ni wengi sana nchini mkuu.......

Sikuazimishi kukubali maoni yangu ....ila kama hutaki tutakutana hapa miaka miwili ijayo god wishing........na utaniambia....

Kama umekubali maoni yangu ya ku play neutral ...jiandalie mwenyewe exit strategy yako ya kujiondoa kwa huyu jamaaaa.

PM japo umechelewa kidogo lakini kufika umefika salama. Umeamua kutomumunya maneno.

MEITINYIKU L. Robinson
 
- Hapana kwenye siasa usipojibu mapema inageuka kuwa ukweli muulize Salim, Ktine hakutaja jina na Membe hakutaja jina, lakini one thig ipo wazi Kitine ana tabia ya udokozi na uongo!

Es!

Bado sitaki kuamini kwamba Kitine ni muongo na mzushi kama unavyoiweka. Unafahamu fika status yake katika jamii yetu despite ya ile kashfa. Willie kumbuka hata sheria inasema mtu alieshtakiwa na mahakama yenye mamlaka na kukutwa na kosa hawezi kushtakiwa mara ya pili kwa kosa lilelile. Hapa unataka kujenga hoja kuwa angepelekwa mahakamani, kumbuka aliamriwa kurudisha pesa na akafukuzwa uwaziri, hivi huoni ilikuwa ni adhabu ya kiutawala ambayo naamini kuna vifungu vinampa president discretionary power katika kumuadhibu kiongozi? Labda hiyo ni loophole inayoweza kufungua pandora box but the point here is that, i think he has already paid his price now let him come clean. Hata kama angekuwa alifungwa nadhani tayari angekuwa ametoka je unadhani angekuwa hajajifunza kuwa muadilifu?

Hapa tusihangaike kucheza na maneno, tuwe wakweli, sina sababu ya kuhangaika na bad character ya mtu wakati alishapata adhabu na kuitumikia, kwani maana ya adhabu ni nini? Naweza kusema adhabu hutolewa kwa ajili ya kuadhibu lakini pia kuzuia yasitokee mengine pia humfundisha mkosaji kutorudia tena ili awe raia mwema. Naamini Dr. Kitine amekuwa raia mwema, ni imani yangu na ndo maana leo anayo nguvu ya kunyooshea mtu kidole.
 
Kugombea Urais Tanzania ni pagumu kuliko hata kugombea US, coz watu hawako wawazi wanajaribu kuficha mambo yao sana ndio maana inatoa room kubwa kwa wengine kujijazia majibu yao kwenye open ended questionnaire ya mgombe!! Mpaka sasa kila mmoja anaogopa kusema kama anautaka..haya ngoja tuwaone around August 2015
 
Bado sitaki kuamini kwamba Kitine ni muongo na mzushi kama unavyoiweka. Unafahamu fika status yake katika jamii yetu despite ya ile kashfa. Willie kumbuka hata sheria inasema mtu alieshtakiwa na mahakama yenye mamlaka na kukutwa na kosa hawezi kushtakiwa mara ya pili kwa kosa lilelile. Hapa unataka kujenga hoja kuwa angepelekwa mahakamani, kumbuka aliamriwa kurudisha pesa na akafukuzwa uwaziri, hivi huoni ilikuwa ni adhabu ya kiutawala ambayo naamini kuna vifungu vinampa president discretionary power katika kumuadhibu kiongozi? Labda hiyo ni loophole inayoweza kufungua pandora box but the point here is that, i think he has already paid his price now let him come clean. Hata kama angekuwa alifungwa nadhani tayari angekuwa ametoka je unadhani angekuwa hajajifunza kuwa muadilifu?

Hapa tusihangaike kucheza na maneno, tuwe wakweli, sina sababu ya kuhangaika na bad character ya mtu wakati alishapata adhabu na kuitumikia, kwani maana ya adhabu ni nini? Naweza kusema adhabu hutolewa kwa ajili ya kuadhibu lakini pia kuzuia yasitokee mengine pia humfundisha mkosaji kutorudia tena ili awe raia mwema. Naamini Dr. Kitine amekuwa raia mwema, ni imani yangu na ndo maana leo anayo nguvu ya kunyooshea mtu kidole.

- Tatizo sio mara yake ya kwanza kuzusha majungu, kuna wakati akiwa bado mbunge alizua makubwa sana kwamba mawaziri wanakula rushwa, akaambiwa na Waziri Masilingi, awaseme akaishia kudai media imekosea hakusema hivyo, this time again huyooo anaulizwa jina la waziri anayemsema hawezi kulisema!

- Halafu wewe Great Thinker unasema he is clean, please!

William.
 
- Mkuu PM vipi tena Kitine amemuita Membe, mwizi anayeficha hela nje agombee urais nazo, sasa akiitwa kingedu hutaki vipi? Una tatizo na Membe nini mkuu wangu, hafai kwa kosa gani hasa alilofanya kwenye policies zake akiwa Wizara ya nje?

- Kwenye kampeni za siasa kuchafuana ni kawaida, lakini hukalii kukumbatia ya zamani unasahau unaanza upya, I mean wacha chuki na Waziri Membe, kama ana makosa kwenye policies zake ziseme, lakini ya kampeni za siasa yalishapita sasa yupo kwenye kutawala, onyesha mapungufu yake kiutawala,

- Kitine hana u-senoir wowote ni simply muongo sana na ni mwizi, tena yeye na mkewe, ila kwa vile system yetu ni ya kusameheana ndio maana ana ubavu hata wa kuita wengine wezi, nashangaa mtu makini kama wewe kumuita a proven thief wa hela za wananchi kwamba ni senior, senior wa nini hasa? labda wizi wa hela za wananchi, wananchi wanakufa Muhimbili pale kwa kukosa dawa, wengine wanadanganya na kuiba hela za wananchi hao hao na kwenda nje kufanya shopping, wewe unamuita senior pleaseee!

- Waziri Membe na wananchi wote wa nchi hii wana haki ya kugombea anything, hawa kina Kitine ndio tatizo kubwa sana kwa taifa letu, maana ni majungu majungu tu alipokuwa usalama aliwahi kumakamata nani? PM wewe nakuheshimu sana kwani najua ni mtu makini sana lakini huwa una tatizo sana na mtu yoyote anayetaka uongozi CCM, isipokuwa Lowassa tu, huwa sikuelewi!

William.

mh! Kwa hiyo tusahau epa, iptl, kiwira, richmond, deepgreen, n.k. Kweli we gangwe
 
Kiranga, Membe naye na hii sauti kila akiulizwa utagombea anasema hajasikia sauti ikimwita! Hivi hii sauti itatoka wapi kwamba akilala asikie sauti akitembea asikie sauti. Nikisoma vitabu vitakatifu huwa nakutana na sauti zikiwaita mitume wakafanye kazi ya Mungu kama vile Sauli alivyoitwa. Sauti kama anayoisema Membe huwa inatoka kwa Mungu kwensa kwa wateule wake ili wamfanyie kazi. Ina maana anasubiri sauti toka kwa Mungu?

Kama ya Babu Ambilike wa LOLIONDO! pindi akishaambiwa na hiyo sauti basi mara moja atagombea Urais ...kaazi kweli kweli !
 
Back
Top Bottom