Mahesabu
JF-Expert Member
- Jan 27, 2008
- 5,971
- 3,829
Tarehe 19-januari-2011 RAIS wa JMT mh.dr.J.M K amezindua mpango wa elimu ya sekondari awamu ya pili
Huku mpango wa MES awamu ya kwanza ukionyesha mafanikio mengi kuliko mapungufu awamu ya pili umejikita zaidi katika kukabiliana na mapungufu/changamoto zilizojitokeza katika awamu ya kwanza
Mafanikio katika awamu ya kwanza ni pamoja na IDADI YA WANAFUNZI KUONGEZEKA,IDADI YA SHULE KUONGEZEKA(maarufu kama "shule za kata") (toka shule 800 mwaka 2004 kuwa zaidi ya 3500 sasa),AJIRA KUONGEZEKA(walimu zaidi ya 8,000 wapya)
Baadhi ya changamoto ni kama vile WALIMU KUWA WACHACHE,MAABARA KUTOKUWEPO,NYUMBA ZA WALIMU n.k
MES awamu ya pili imejipanga kuhakikisha inakabiliana na changamoto hizo na zaidi ya hizo huku tayari mipango makini na utekelezaji ikiwa imepamaba moto.
Tayari benki ya dunia na wadau wengine wa elimu wakijitoa kwa hali na mali
TANZANIA NI KATI YA NCHI ZILIZOPIGA HATUA KUBWA KATIKA KUTIMIZA MALENGO YA MILENIA NA TAYARI IMESHAPEWA TUZO KWA KUFANYA VIZURI ilhali sisi wenyewe tunabeza maendeleo yetu...."KWELI NYANI HAONI KUNDULE"
Wenzetu wameona maendeleo na jitihada zetu na kutupongeza sisi tunaona hatujafanya kitu
HONGERA SEKTA YA ELIMU.....JUHUDI ZAIDI ZAHITAJIKA
NI mimi mwalimu MAHESABU