Meli za kibongo

Kertel

JF-Expert Member
May 11, 2012
5,267
4,973
Hii sina uhakika nayo,inasemekana kuwa baadhi ya meli zetu hapa tanzania zilikua ni vivuko.Vivuko hivyo vimefanyiwa mautundu ili viwe na mwonekano wa meli.Je unafahamu chochote kuhusu hili?
 
Back
Top Bottom