Meli ya Samaki za Magufuli yaendelea kuzama

dosama

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
912
957
meli maarufu kama meli ya magufuri iliyokamatwa kwa uvuvi haramu ikivua samaki aina ya jodari inaendelea kuzama bahari hindi katika bandari ya Nundu mara baada ya kupata matundu madogo madogo.

Mahakama ilitoa uamuzi wa kuitaifisha na nakumbuka ilipangiwa na majukumu sijui hawa watendaji wetu wanatusaidia kwa lipi meli ya bure imetushinda hadi inaelekea kuzama kabisa Mungu atunyime tu.
 
Ulitegemea nani akusaidie! ? Serikali ya CCM? Bora mkoloni kuliko CCM
 
Kulikoni kuiacha izame, ni bora waikodishe kwa mtu binafsi aifanyie kazi. Inasikitisha sana.
 
I wish ningezaliwa Kismayu somalia ningejua moja..vita daily rather than amani inayo2maliza ktk uchumi.
 
meli maarufu kama meli ya magufuri iliyokamatwa kwa uvuvi haramu ikivua samaki aina ya jodari inaendelea kuzama bahari hindi katika bandari ya Nundu mara baada ya kupata matundu madogo madogo.

Mahakama ilitoa uamuzi wa kuitaifisha na nakumbuka ilipangiwa na majukumu sijui hawa watendaji wetu wanatusaidia kwa lipi meli ya bure imetushinda hadi inaelekea kuzama kabisa Mungu atunyime tu.
Hiyo meli si izame tu... Taifa lenyewe hili lisha zama kwenye dimbwi zito la umasikini wa fikra
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom