Meli ya "Samaki wa Magufuli" yazamishwa kwa hujuma

Kwani ilikuwa na samaki bado? Kwasababu according to Archimedes principle, you won't expect a massive body like ship being submerged with such easiness.

walisha tolewa,wanacho kifanya hao wanaolinda ni kuiba vipuli na mafuta ya yaliyoko melini
 
Tulianza filamu yamwakyembe inakuja tera la meli anko,twaacheni tumalize movie ya sumuuu! vichwa vyetu havina kumbukumbu chondechonde
 
wakati mnachagua rais kwa kuangalia tabasamu na uzuri wa sura mlikuwa mnataka nini?
Lakini kwa urembo.....mh!!!
Huoni hata wakimtukana kwenye magazeti yao huko kwa kameruni bado anaenda tu.....chezeya tabasamu wewe!!!
 
Kwani ilikuwa na samaki bado? Kwasababu according to Archimedes principle, you won't expect a massive body like ship being submerged with such easiness.

Mkuu Radhia, Kwa Tanzania hizo Archimedes au Newtons law huwa haziaply. huku ni mabao ya kete tu na kila mtu anachukua chake fasta. inawezekana kwenye hili swala la meli kuzamishwa Magufuli naye anahusika maana umaarufu alioutaka kashaupata na sasa anatekeleza sera ya chama na serikali'' Chukua chako mapema kwa ARI ZAIDI, NGUVU ZAIDI NA KASI YA UPEPO''
 
bado kuna nyingine ya IZRAEL & TANZANIA inakuja.

Dowans msisahau wakuu
halaf kuna hili la mikataba ya kuchimba naona Mh. Ngeleja kila siku anasaini mikataba mipya japo siku hizi anasainia nchini sio tena kule kwa Cameron
 
Tulianza filamu yamwakyembe inakuja tera la meli anko,twaacheni tumalize movie ya sumuuu! vichwa vyetu havina kumbukumbu chondechonde

Kama kuna filamu ambayo itakuwa tamu mwaka huu ukitoa ile ya Dr. Ulimboka itakuwa ya Dr. Mwakyembe na sterling wote ni wa Mbeya. na leo imezaliwa nyingine kati ya Sugu na Ruge. Uko wapi Kanumba uchukue hizi theme utuletee mamovie sie
 
Kwani ilikuwa na samaki bado? Kwasababu according to Archimedes principle, you won't expect a massive body like ship being submerged with such easiness.

Archmedes principle states that when a body is whole or partially immersed in a fluid, it experiences un upthrust which is equal to the weight of a fluid displaced. NILIPOKOSEA SAHIHISHENI
 
wakati mnachagua rais kwa kuangalia tabasamu na uzuri wa sura mlikuwa mnataka nini?
Lakini kwa urembo.....mh!!!
Huoni hata wakimtukana kwenye magazeti yao huko kwa kameruni bado anaenda tu.....chezeya tabasamu wewe!!!

Asilimia kubwa ya akina dada ndiomliotufikisha hapa
 
Kwani ilikuwa na samaki bado? Kwasababu according to Archimedes principle, you won't expect a massive body like ship being submerged with such easiness.

Radhia Sweety, kumbe umsoma Archimedes Principle? lakini inaelekea umekalili. Kumbuka Meli ya MV Bukoba 1995 (?) ilipo overtun, Jamaa wa marine kwa kuwa hawakusoma AP wakaona njia ya kuwaokoa abiria waliokuwa wamenasa ndani ya cabin za meli ni kutoboa tundu kwa juu. You know what happened? Meli ambayo ilikuwa semi floating ika suck maji na kuzama yote completely to the bed of L. Victoria.

Therefore massive body like ship ya Magufuli ca submerge easily, kama itatobolewa kwa chini! Zimezama Costa Concordia, Titanic, seuse hiyo ya Magufuri?
 
Back
Top Bottom