Mshume Kiyate
JF-Expert Member
- Feb 27, 2011
- 6,766
- 894
Tv za Tanzania wanapiga miziki tu hii ndio Tanzania
Tusubirie wakubwa wa JF waamke,Zaidi ya Abiria mmmhh hiyo meli imeeizidi Mv bukoba kweli????
Kunajamaa anasema yeye alipigiwa simu 02.00 Am na ngudu yake aliyomo kwenye meli hiyo iliyozama lakini hawakuweza kuelewana kutokana na kelele na vilio kwenye meli hiyo, toka muda huo simu yake haikupatikana tena.
Nakuunga mkono Mkuu. Hata Rms Titanic haikuuwa watu zaidi ya 1500
Watu waliokufa ni zaidi ya 1000,waliokuwepo bandarini unguja wakati meli inaondoka wanasema meli ilikua imejaasana mizigo nawatu walikua niwengi mno,na ilibinuka kama ilivyobinuka mv bukoba,imeelea zaid yamasaa3 bila kuzama hakuna msaada wowowo waliopata mpk imezama,
are u sure or r u guessing??? 1000 people????,,,
kama ni kweli, this is a biiiig national disaster, mimi sitaki kuamini unless otherwise proven,, wengine wanasema watu 30, wengine watu 2000, tunashindwa tuamini yupi sasa
Watu waliokufa ni zaidi ya 1000,waliokuwepo bandarini unguja wakati meli inaondoka wanasema meli ilikua imejaa sana mizigo nawatu walikua niwengi mno,