Tofautisha taarifa kamili na.kuthibitisha,Breaking News ni News flash mkuuMkuu kwa nini unasema hii ni breaking news wakati huna taarifa kamili???? Subiri ukishakuwa na taarifa kamili ndo uanzishe uzi.
Hata mimi nimeona hiyo facebook, nkajua utani!! Ilikua na uwezo wa kubeba watu wangapi??