Meli ya mizigo yazama Tanga

Pole sana maana umegundua kuwa uko targeted kuwa marehemu mtarajiwa kwa kafara za wanasiasa....... ' Hakuna uchawi wala uganga juu ya wanaomwanini YESU KRISTO' karibu sana shemeji yangu 'mzee wa rubisi katika ufalme wa uzima.......huku kiu ya rubisi itakoma utakunywa maji ya uzima'

Nimekuvumilia sana..
 
Tatizo watu hawataki kufanya kazo zao wamebaki kusubiri vikosi kazi na tume viundwe au ziundwe baada ya maafa kutokea. Kama mamlaka husika zingekuwa na kawaida ya kukagua vyombo vya usafiri na utekelezaji wa kanuni mbalimbali katika uendeshaji wa vyombo hivyo sijui kama tungekuwa tunasikia ajali zinazo maliza au kulemaza watu kwa wingi kama sasa. Leo basi, kesho lori, keshokutwa meli, asubuhi pikipiki jioni bajaji ili mradi ajali wakati wote!
 
inasadikika M.KA.PA NI FREEMASONS ndo mana enzi za utawala wake kulitokea ajali nyingi sn za majini, nch kavu, ajali za moto kwenye mashule na watu wengi sn walipoteza maisha, hy ilikua KAFARA kutimiza sharia za chama chake, JE NA HUYU AMIRI JESHI WA SASA NAYE NI FREEMASON? MANA AJALI ZINAZOTOA ROHO ZA WATU ZINATOKEA KILA KUKICHA,
 
Ungesoma between lines ungeona aliyesema (niliyemjibu) ' tutakufa mwaka huu' alidai kuwa ni mwaka wa kafara kwa ajili miaka hamsini ya uhuru .....NASISITIZA WANAOMWAMINI YESU KRISTO HAWATAKUFA KWA KAFARA KWA VYOVYOTE VILE' wasiomwamini kazi kwao......

mix with yours

haya ndugu. kuna imani nyingi sana zinafanya kazi katika jamii za wanadamu. kila mtu na imani yake. Umewahi kuangalia CD ya free mason? ulijifunza nini!!!
 
inasadikika M.KA.PA NI FREEMASONS ndo mana enzi za utawala wake kulitokea ajali nyingi sn za majini, nch kavu, ajali za moto kwenye mashule na watu wengi sn walipoteza maisha, hy ilikua KAFARA kutimiza sharia za chama chake, JE NA HUYU AMIRI JESHI WA SASA NAYE NI FREEMASON? MANA AJALI ZINAZOTOA ROHO ZA WATU ZINATOKEA KILA KUKICHA,

naamini ni freemason kwani ndo maana akienda state, hupenda kujihusiha na wadau wa free mason waliojitangaza kuwa member wa free mason. mfano ni wanamziki wa marekani, ni washirika wake wakubwa.
 
Mods inabidi muanzishe Jukwaa la Ajali na Maafa.

nadhani hili linatosha kinzchotakiwa ni mtumiaji kuwa makini kuchagua mada ya kusoma na kuchangia. ninanchoshauri mimi kuwepo na mchaanganuo wa mada na michango ya wadau ili iwe rejea japokuwa material tuandikayo ni unpublished. bt yanaweza kutumika siku za usini hasa kwa watoto wetu, wanaweza kuona sie tulikuwa tunaishije kupitia jamii foramu
 
Back
Top Bottom