Meli ya mafuta yateketea kwa moto kisiwani mafia.

John locke

JF-Expert Member
May 6, 2012
828
1,261
Meli inayofahamika kama Bahara. Iliyokuwa imebeba mafuta lita elfu 50,000 za dizeli. Mali ya TANESCO. Chanzo cha moto ni gari iliyokuwa imebebwa ndani ya meli hiyo. Inasemekana kuwa wakati wanaifanyia testing gari hiyo sparks zilitoka na kusababisha moto.
 
nimeisikia bungeni......isije kuwa wamechakachua mafuta so wanafuta ushaidi...kwa serikali dhaifu kila kitu kinawezekana...
 
Meli inayofahamika kama Bahara. Iliyokuwa imebeba mafuta lita elfu 50,000 za dizeli. Mali ya TANESCO. Chanzo cha moto ni gari iliyokuwa imebebwa ndani ya meli hiyo. Inasemekana kuwa wakati wanaifanyia testing gari hiyo sparks zilitoka na kusababisha moto.
 
Meli ya mezigo iliyokuwa ikisafirisha mafuta kwenda mafia imeteketea kwa moto...

Source: ITV
 
Hawa jamaa wanatufanya watoto! Spark iwashe diesel? Wamechakachua hawana lolote.
 
hiyo meli ya mafuta ilibeba gari la nani na kwa sababu gani?na inakuwaje gari linafanyiwa testing wakati bado mafuta hayapakuliwa?!tujuze mtoa mada.
 
du tanzania! uongo mwingine aufanani na ukweli kwa nini watest wakat wanajua wamebeba mafuta? watupe sababu nyingine
 
531760_10151021213808608_135801228_n.jpg
 
Back
Top Bottom