Meli ya kivita Tz kunani?

Mpangamji

JF-Expert Member
May 12, 2010
540
140
Heshima kwenu. Asubuhi hii imeingia meli ikiwa full mabunduki, rada kama ya chenge. Kunani au tumekamata ali-shabab\zenj
 
Meli ya nchi gani? Vinginevyo ni nchi rafiki ambayo imekuja kututembelea na kubadilishana uzoefu.
 
bongo tumezoea amani sana..ndo maana utamkuta hata askari wanatembea na virungu tuu...madude kama haya kukatiza hovyo hovyo inaezekana ni ishara mbaya sana kwa usalama wa nchi hasa ishu ya zanzibar
 
Heshima kwenu. Asubuhi hii imeingia meli ikiwa full mabunduki, rada kama ya chenge. Kunani au tumekamata ali-shabab\zenj
Mkuu mpangamji, tunaambiwa picha ya avatar yako ni "too sexy to display". Uliweka picha ya utupu???
 
Tujikumbushe historia: 130 British nationals and 12 journalist were evacuated on 17 jan 1964 by royal navy ship H.M.S Owen.
 
Meli za kivita za nchi rafiki wa Tz huwa zinfanya tour hapa nchini.
Ila jeshi la TZ halifanyi tour kwa sababu hatuna meli kubwa,hela zote zipo mikononi mwa viongozi.
 
Hiyo imekuja kuwatisha wana uamsho ili wasidai uhuru wa zanzibar!
 
Mkuu mpangamji, tunaambiwa picha ya avatar yako ni "too sexy to display". Uliweka picha ya utupu???

Hapana si ya utupu bali ni picha ambayo kwa binti anaiona ni handsome, kwa mwanaume anaona ni beatiful. anyway nafikiri umeni-compliment
 
Back
Top Bottom