Meli ya Kijerumani yaokoa abiria 75 wa Kibongo...Meli nyingine ziligoma kutoa msaada!

Shadow

JF-Expert Member
May 19, 2008
2,897
671
Hamburg - A German container ship rescued 75 passengers from a sinking passenger ship off the coast of Tanzania on Thursday, a spokesman for the German ship's operators said.

He said the MS Dorian responded to an SOS from the stricken vessel after other ships in the vicinity declined to provide assistance, fearing the call was a trap set by pirates.

The incident happened in an area where pirates have often attacked commercial shipping and held their crews for ransom.

The captain of the German vessel radioed international shipping authorities in London to confirm the identity of the sinking passenger ship, the Ile D'Anjouan.

When he was given the all clear, he set course for the ship, which he reached four hours later, the spokesman for the German shipping operator Komrowski said.

The German ship rescued four children, 11 women and 32 men as well as 28 crew from the Ile D'Anjouan despite a heavy swell. One crewmember of the passenger ship died when he was crushed between a lifeboat and the ship's hull.

The survivors were being cared for in empty containers on the deck of the 22,000-ton MS Dorian, which later resumed its journey to Zanzibar.


Read more: "German vessel rescues 75 from sinking ship off East Africa - Monsters and Critics" -
 
Thats the side effect of Pirates. thanks Germany for be ready to face Pirates for your brave decision which eventually saved lives
 
Ukiokoa binadam mmoja ni kama umeokoa binadam wote. Ahsante sana captain wa meli ya Kijerumani kwa kuchukuwa uamuzi huo wa kishujaa na kuokoa roho za binadam wengi kiasi hicho.

Inafaa apewe tunzo.
 
Mungu akubariki Kapteni wa meli ya Ujerumani. Hakika umefanya jambo la kukumbukwa katika historia ya Anjuani na dunia kwa ujumla.
 
Mungu Ambariki Kampeni wa Meli ya Ujerumani.


Waungwana hebu jiulizeni kwa nini hii haipo hata kwenye news flash (just news flash)za Ulaya au America wakati ambapo yule Kampteni wa Maesk Alabama tulionyeshwa live mpaka akiwa chumbani na mkewe siku alipofika USA..!!! Hizi double standards zinaboa sana.
 
Labda masahihisho kidogo.
Haijulikani kama walikuwa wabongo au watu wa nchi nyingine. Nafikiri ulikuwa mchanyato wa wabongo na Mataifa mengine au taifa jingine maana hata jina la meli linaonyesha kuwa ni la nchi ya Comoro.
 
Back
Top Bottom