Kaitaba
JF-Expert Member
- Jun 30, 2009
- 916
- 52
Jamini hii meli ina muda mrefu hapa ilikuwa ikipakwa rangi, ipo usawa wa stand ya posta mpya si kwenye meli za Zanzibar, si dhani kama ni ya mafuta kwa jinsi inavyoonekana.
Halafu si meli hii ni Boat tu.
Ina maana tofauti kati ya meli na mtumbwi hatuijui au???!!
Nataka taharifa kamili, ni meli au mtumbwi?, alafu ilikuwa na mafuta au ilikuwa inakarabatiwa?
Ni vyema tukawa na utamaduni wa kutoa information zenye ukweli, hata hivyo nawashukuru wote waliojitolea kutujulisha hiyo ajari. MUNGU awabariki.